Mfumo wa matokeo ya K4 na K6 unapaswa kuwa wa GPA ili kuendana na mifumo ya NACTE na TCU ya udahili yenye mifumo ya GPA Kuwezesha udahili wa watahiniwa kujiunga na elimu ya juu kufanywa na mifumo ya Kompyuta unaowarahisishia watahiniwa kuomba kujiunga na vyuo vya Kati na elimu ya juu kwa simu au...
Tunaharibu Jukwaa hili kwa kuwa wazushi! Kwenye website ya NECTA kuna tangazo linalokanusha taarifa za mabadiliko haya kuwa ni za UONGO na zimetolewa na watu kwenye mitandao ya kijamii kwa nia ya kuzusha taharuki na kupotosha jamii ya watanzania. Baraza la Mitihani limewataka watahiniwa wote na...
Baraza la mitihani limeshakanusha kuwa taarifa hizo za mabadiliko zilizotolewa na baadhi ya watu kwenye mitandao ya kijamii ni za UONGO na zimelenga kupotosha jamii na kuleta taharuki kwa watanzania, na limewataka watanzania kuzipuuza.
Kwa hoja na Mitazamo yako kaka au dada umefulia. Umejidanganya wewe na mtoto wako. Siyo mbaya, ni mitazamo yenu ambayo siyo sahihi, na haiukubaliki, any way.
MchunguZI
pole sana kwa kuwa hujui ulisemalo wala ulitendalo. Umedanganywa na kijana wako kwa kuwa kuvuja paper la NECTA Siku hizi ni ndoto za mchana. Pengine umetumwa, hata Kama umetumwa, umetumia hoja dhaifu. Pole!!!
Utaratibu ni kama ilivyo CSEE. uzito wa A= 5, B+=4, B=3, C=2, D=1 E=0.5 na F=0.
GPA= Jumla ya Pointi za masomo 3 ya tahasusi (combinational subjects) gawanya kwa 3.
Sema unahitaji kujua sifa za kujiunga na K5' wala usiingize utani kwa kuweka sifa za BRN, kwa kuwa hizo hazipo. Sifa kujiunga na K5 kwa watahiniwa wa shule (gov na Private) ni Kama ifuatavyo:
1. Awe amepata daraja la siyo chini ya Credit (awali lilijulikana Kama Div.III),
2. Awe anaufaulu wa...
Kinachofanya ufaulu kuwa juu private VS PUBLIC schools ni
1. Wanachukuwa watoto waliofaulu azidi
2. Miundo mbinu na walimu wakutosha
Hakuna hoja ya kuchuja watahiniwa azide kwa ufaulu wao. Mitihani wa K.2 ukishapima wanaofaulu wanapaswa kuendelea kuelimishwe hadi mitihani wa K4, na ndio sera...
Hatuishi kulalamika. Matokeo K.2 miaka yote hutoka Februari. Na matokeo haya hayazuii mwanafunzi kuendelea na K.3 kwa sasa. Wanafunzi wote waliofanya mitihani ya K.2 huendelea na masomo hadi matokeo yakitoka ambapo wanaotakiwa kurudia hubainishwa. Hivyo, subra yavuta heri, yatatoka tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.