Search results

  1. iamwangdamin

    Unahitaji mtoto wa Kambo au Kumuasili?

    Doctor Gwajima Mungu akubariki zaidi
  2. iamwangdamin

    Meet congolese ota benga

    OTA na yule mdada wa kisauzi huwa wananiuma sana . AKUMBUKWE mchizi OTA
  3. iamwangdamin

    Mazishi ya mtoto anayedaiwa kuuliwa kwa kuchapwa na mwalimu yaahirishwa. Mwili wake unaendelea kufanyiwa uchunguzi

    Sema tuache masikhara , walimu wa kibongo wanachapa masela. NDIO MAANA ENZI ZETU TUKIMALIZA TULIKUWA TUNAANDIKA ( AKUMBUKWE NIGGA BISHOP aka mtaalamu wa kujaladia )
  4. iamwangdamin

    Suala la mipango miji ndo imetushinda kabisa waafrika.

    Yani hata huku afrikaa kuna miji imetulia sana Ras
  5. iamwangdamin

    Suala la mipango miji ndo imetushinda kabisa waafrika.

    Nakumbuka jinsi inavyoniuma ile KIPINDI NDEGE inakaribia KUTUA. Unaanza kuona MABATI YA KIPAWA NA GOMZ na BONGO YOTE. Inauma sana . Ukitoka airport mitaa haieleweki. Huwa naumia sana nikiwa natoka nje ya nchi. Najiuliza kwa viongozi wakubwa . Je ni sawa ?
  6. iamwangdamin

    Wakishaolewa, acheni kuwafuatilia mlio zaa nao, ni hatari

    Ninajuta kuzaa nae. Kumbe anataka kunikill me. Scooby dooo where are you?
  7. iamwangdamin

    Usiku wa mwisho wa MH370

    World wonder
  8. iamwangdamin

    Siri hadharani: Siyo Vyama vya Upinzani ni Vyama Vya Watoa Taarifa

    Nice. Kidumu chama tawala. Ccm OYEEEE. MAMA SAMIA MITANO TENA
  9. iamwangdamin

    Pesa kufuru za Victor Jango ni nani huyu?

    Wote mnaomdiss victor hammjui vizuri . Huyo ni mtoto wa mzee wa madini na pia yeye mwenyewe ana deal na madini since akiwa mdogo. Hizo kufuru kaanza miaka hata 16 nyuma . Sema now media ndio nyingi na hana mambo ya kupost mtandaoni ila watu wanMpost sana
  10. iamwangdamin

    Serikali ilitakiwa kuwa na nyumba nyingi za makazi kwa ajili ya wananchi wake

    Ocean road ni nyumba za serikali tulinunua . Mimi ni mkazi pale . Ila aghakhan ni Nhc
  11. iamwangdamin

    Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

    Mbagala , yombo , pugu , kinondoni shamba , uwanja wa fisi , tabata , na sehem nyingi
Back
Top Bottom