Search results

  1. D

    Naomba kujuzwa namna ya kubadili usajili wagari ndogo kutoka Burundi, to Tanzania

    Naomba niweke hili kwa lugha mbili pale inapobidi kutokupoteza maana. Hilo la permit ya siku 90 ni sawa inaitwa temporary importation na lazima ulipie. Free entry ni week mbili kama sikosei unataka kuja na gari yako Tanzania yenye usajili wa Burundi. Kama ni zaidi ya muda wa free entry utaweza...
  2. D

    Uchaguzi 2020 Watanzania lazima tuhoji kuhusu michango hii inayochangishwa na CHADEMA

    Mchango wa hiari. Waulize hela za maafa Bukoba, Arusha, Corona zilitumika vipi ndiyo waje hapa? Vyama vimenyimwa kufanya siasa miaka mitano, kutokuwa na mikutano ya ndani na kesi lukuki eti walikuwa wapi? Waulizwe CCM wanatoa wapi hela za kubeba watu kuleta kwenye mikutano. Msafara wa mgombea wa...
  3. D

    Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa yanayokaribiana na bei ya trekta jipya

    Nakubali kama hujawahi kufanya transfer au kufanya transfer ya kiwango kikubwa hata PayPal kwa kiasi kama pounds 10,000 ni kikubwa. Hii ni kampuni reliable cha msingi ili uwe na amani kitu cha kwanza ni kumuomba reference za watu walionunua kwao hapa Tanzania uongee nao ikiwezekana kuona hizo...
  4. D

    Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa yanayokaribiana na bei ya trekta jipya

    Jamaa wa Dumelow ni mtu wa uhakika na ameshafanya kazi na tafiti Tanzania akiwa Chuo cha Kilimo cha Sokoine Arusha. Ana experience na mazingira ya kilimo ya Tanzania ingawa bei za tractor bei ni ghali kwa £ za UK na yuko na ujuzi wa MF. John Dumelow Director Dumelow International Limited Email...
  5. D

    Rais Magufuli ni Dikteta?

    Watanzania tumekuwa na maneno mengi sana kuhusu Awamu ya Tano na mbaya zaidi kuwa Raisi wetu John Pombe Magufuli ni Dikteta na maneno mengi ya kejeli. Ukweli unabaki pale pale JPM ni mzalendo kweli hata kama ana mapungufu yake kama binadamu ila amefanya mengi ambayo yanahitaji nguvu za ziada na...
  6. D

    Natafuta chuo kinachotoa masters ya transport and logistic management Tanzania

    Jaribu ESAMI walikuwa course kama hiyo sijui kama bado wanatoa. ESAMI AFRICA - ESAMI AFRICA
  7. D

    This is the most disrespectful thing the Mount Kilimanjaro Marathon have written in their website

    Uandishi pia hauko sawa. Kutoa aibu hiyo page inatakiwa kuandikwa upya
  8. D

    Vodacom kuanza kuuza hisa Machi 9

    Ukiangalia kesi nyingi Vodacom,TRA na wengineo kama wafanyakazi kama wakishindwa ni zaidi ya billion 100. Faida ya 124bn 2014 na kushuka mpaka 32bn mwaka 2015 hapa na mashaka kidogo kama ni hiyo minara peke yake.
  9. D

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Msaada wa usafirishaji mkuu nimeku PM
  10. D

    TRA valuation system ya magari haiko fair

    Pole jamaa yangu. Ushauri ungepitia website ya TRA wanaonyesha bei ya gari kulingana mwaka wa kutengenezwa na siyo bei uliyonunulia. Wanatumia retail selling price ambayo hiyo V50 ni kati ya dola 60,000 mpaka 67,000. Hapo ndiyo kukokotoa kunaanzia hapo na dhamani ya gari yako haitumiki...
  11. D

    Hatari: Zanzibar ni zaidi ya inavyonenwa!

    Uchambuzi mzuri tujifunze kusoma
  12. D

    Kauli ya Serikali dhidi ya TANESCO ni siasa za uongo Tanzania

    Mkuu hili ni shamba la bibi kweli haingii akilini Waziri anasema haya tarehe 19 Septemba hata mwezi haujaisha serikali itashusha bei ya umeme, leo tunaambiwa hakuna umeme tatizo mvua. Gesi tungeambiwa suala la kiufundi lakini umeshasema majaribio yamefanyika na gesi inafika sawa sasa uongo...
  13. D

    Kauli ya Serikali dhidi ya TANESCO ni siasa za uongo Tanzania

    Namkubali Prof. Mhongo kwa utendaji sema siasa ya Tanzania bila kusema uongo serikali ndani ya CCM huendi mahali na yeye alikuwa smart na mtu wa facts pia hakuwa na kipawa cha kuongea na watu wa kawaida..yuko academic sana. Kaingizwa chaka na wenye serikali kwenye rushwa na kapoteza sifa nzuri...
  14. D

    Kauli ya Serikali dhidi ya TANESCO ni siasa za uongo Tanzania

    Watanzania tunapenda kusikiliza uongo wa serikali ya CCM kwa miaka 50 sasa, utaona jinsi issue ya umeme ilivyowekwa kisiasa mpaka inafika mwisho tunazidi kudanganywa… Waziri anasema tusherekee hata dakika moja kero ya umeme imeisha..leo anasema gesi ni mradi wa mtu binafsi wakati anasema...
  15. D

    Siyo CCM au UKAWA ufisadi upo - SERA NA KATIBA Itajenga Tanzania Mpya

    Katika tathmini yangu binafsi ninaona watanzania tunaendeshwa kwa siasa za ujanja ujanja na maneno yasiyo na msingi katika kampeni za uchaguzi. Siasa zimekuwa ni ufisadi na kuchafuana kati ya wanasiasa hata kuingiliana kwa mambo binafsi. Tukianzia na ufisadi siyo CCM wala upinzani rushwa na...
  16. D

    Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!

    Inabidi ujue kuagiza electronics kupitia mitandao mfano Amazon hairuhusiwi. Na kwa upande mwingine siyo ujinga kutumia third party ni biashara kama biashara nyingine kwa wajasiriamali waTZ wenzetu wenye physical addresses US etc then wanatuma kwa njia zao vitu kuja TZ.
  17. D

    Wafanyakazi wa chuo cha Uhasibu Arusha walazimishwa kuandika 'fake statement' dhidi ya CHADEMA

    Aliyefungua kesi ni nani? Maelezo yaliwekwa hayastahili Lema kutokupewa dhamana na hii inaonyesha jinsi serikali inavyojiabisha kwenye mambo usiyotegemea; · “Dhambi mbaya na kubwa kuliko zote duniani ni woga” na hivyo kuwataka wanachuo wasiwe waoga Hapa kuna uchochezi gani? aliwaambia wasiwe...
  18. D

    Serikali ya Awamu ya 4

    Nchi iko kwenye wakati mgumu sana na mambo mengi au tuseme yote ni kwa sababu ya serikali ya awamu ya 4. Tunaona matatizo mengi hasahasa human rights violations, tumesikia ya Ulimboka, Kibanda, Mwangosi, kuchomwa kwa makanisa, kuuliwa au kutishiwa viongozi wa dini lakini hatuoni mabadiliko ila...
  19. D

    First lady wa Kenya

    She could be younger than him, gray hairs doesn't tell someone is old and some people inherit from parents..and I think one of her parent is white that can have something to tell about gray hairs. Look at Obama and Uhuru, they are almost of same age and one is full of gray hair now!
  20. D

    Vituko vya Afrika

    A SCHOOLBOY aged eight ties the knot — with a woman aged 61 Read more: 8-year-old schoolboy marries a 61-year-old mum of five | The Sun |News
Back
Top Bottom