Search results

  1. ukikaidi utapigwa2

    Tatu Malogo FC ndio timu pekee iliyo pewa odds nyingi ikiwa nyumbani

    Kumanisha Giant uchwara!
  2. ukikaidi utapigwa2

    Je, Mayele alikuwa Yanga kwa mkopo au kwa mkataba?

    Ukweli wote huu hapa kaongea mwenyewe siongezi neno wala sipunguzi neno Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  3. ukikaidi utapigwa2

    Taarifa kwa umma

    Ukinuna uwe na sababu
  4. ukikaidi utapigwa2

    Bodaboda kumi wafariki dunia ajali ya lori Migori, Kenya

    Kenya. Watu 10 wamepoteza maisha leo Jumamosi Aprili 8, 2023 katika Kaunti ya Migori nchini Kenya kutokana na ajali ya lori ambalo inaelezwa lilifeli breki na kuparamia kijiwe cha bodaboda Watu hao waliopoteza maisha inaelezwa ni vijana wa bodaboda waliokuwa wakisubiria wateja kwenye kijiwe...
  5. ukikaidi utapigwa2

    Hii ni kwa wale wasioamini ushirikina, naombeni mnipe sababu za kisayansi kwenye mkasa huu

    Kijana Henry James (28) Mkazi wa Kijiji cha Kandaga Wilayani ya Uvinza Mkoani Kigoma ambaye aliyefariki na kuzikwa mwezi April 2022, amepatikana akiwa hai December 28, 2022 na kuungana tena na Familia yake huku akisema “mlipokuwa mnazika nilikuwa nimesimama pembeni kwenye mti” Mama mzazi wa...
  6. ukikaidi utapigwa2

    Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu

    Tuliaminishwa proganda eti Al Ahly wakitaka kumtoa mkopo shariti club ya kwanza iwe Simba kikowapi sasa? Luís huyoo uarabuni tena mkopo una options wa kununua moja kwa moja wale jamaa wa kujifanya wakubwa wako wapi? Nyie ni wenzetu tu wa hapa hapa
  7. ukikaidi utapigwa2

    Naomba kufahamu hawa ni wadudu aina gani?

    Straight kwenye point leo nlikua nafanya usafi nyumbani kwangu nikakutana na hawa wadudu ( kwenye picha hapo) awali nilidhani kama mbegu za either maboga au matunda mengine jamii hio baadae nikagundua wana tembea nme attach video hapo chini, naomba kufamishwa ni wadudu gani hawa na hawana...
  8. ukikaidi utapigwa2

    Yupo wapi Baba T wa East Africa Radio

    Mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki wa Reggae, mara nyingi nasikiliza online hasa radio za Kenya mfano Getho radio, Vybyz radio etc. Kwa Tanzania kipindi cha Lover's Rock cha EA radio kulikua kina nivutia sana na sababu ni moja tu mtangazaji wake Baba T jinsi anavyo host kipindi, matamshi yake pia...
  9. ukikaidi utapigwa2

    Mbuzi wanauzwa (wanyama)

    wapo dar es salaam wapo 70 kwa mteja anae hitaji ani PM bei rahisi .
  10. ukikaidi utapigwa2

    Naanza kuhisi harufu fulani ITV

    Kuna nini ITV na Lowassa? Mbona kila siku taarifa ya habari ni yeye tu? Kuna maswali ya kujiuliza hapo: 1.Anayetafuta wadhamini CCM ni Lowassa tu? 2.Hao wengine sio habari mpaka huyo tu? 3. Watazamaji wa ITV wote wanapenda habari za mtu mmoja tu? Tafadhali sana ITV mnajishushia...
  11. ukikaidi utapigwa2

    Hadji Manara simuelewi

    mpka sasa nashindwa kumuelewa msemaji wa simba kuhusu swala la Ramadan Sigano kwnn alikurupuka kusema vitu asivyo kua na uhakika navyo pili wao wamepokea uongozi kutoka uongozi wa kina Rage hayo mambo ya simba kumsomesha Rama kayafahamu lini haoni kua kasha haribu sycology ya mchezaji? kama hii...
Back
Top Bottom