Search results

  1. Y

    Kero: Mita za Umeme zilizopo juu ya nguzo

    mita za kufungwa juu ya nguzo ni janga lingine la kitaifa.
  2. Y

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    TANESCO toeni taarifa kwa umma kabla ya kuanza kukata umeme. Kinyume na hapo ni kuwaumiza wananchi.
  3. Y

    Harusi zinafilisi, sichangii tena mtu - Acha wanitenge

    Mmmmmmmmhh ww ulishamaliza???
  4. Y

    Walimu waingiliwa kimwili usiku huko Kibondo, Kigoma

    Mmmmmmmmhh picha!!!??? í-½í¸€í-½í¸€í-½í¸€
  5. Y

    Hii tabia ya Polisi Tanzania imenishtua

    Dawa yao ni kuwanyima tu. Ukiwapa unaendekeza upumbavu. Mimi sijawahi kuwapa pesa hawa watu. Watanzania nchi hii tunaijenga wenyewe na kuibomoa wenyewe. Big up mleta uzi. Lakini isije kuwa uliwapa hapa unakataa!!
  6. Y

    Barua ya wazi kwa Mh. Rais JM Kikwete

    Nkurunziza amepumzika BURUNDI.
  7. Y

    Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way

    Lakin mkuu kumbuka kuwa haya magari yetu yanatokana na vipato vyetu. Lkn pia kumbuka kuwa kila mtu anafanya anachokipenda. Ukitaka vitz haya, opa, ist, spacio, Benz, ni ww tu. After all hakuna wa kukuuliza. Ka passo kangu kananirahisishia mengi. So it's a wrong idea.
  8. Y

    Kutoka magazetini kesho (Yanga)

    *Wadaiwa wa Simba waisambaratisha Yanga. *Dida aacha gumzo Tunisia. *Refa aiua Yanga. *Yanga yaendeleza historia kwa timu za kiarabu. *Yanga yatolewa kiume. *Sababu____ za Yanga Kutolewa CAF.
  9. Y

    Kwisha! Yanga yatolewa CAF

    Sikumbuki!!
  10. Y

    Kwisha! Yanga yatolewa CAF

    Kelele kwisha kwisha kwisha kabisa! Kifo cha mende.
  11. Y

    Baadhi ya yadi za magari Tanzania si Salama kununulia magari yetu

    Mkuu umeongea kitu muhimu sana. Siku hizi Japan ni kama kwenda Mbeya.
  12. Y

    Hii ndio sababu ya uporwaji wa silaha kwenye vituo vya Polisi

    Polisi sitaki hata kuwasikia! Kwanza sijui wapo kwa ajili ya Nani! Niliibiwa vifaa vyangu nikaripoti kwao. Kilichotokea mwizi wamemjuwa, ili wakamfuate mwizi wangu wakaniomba rushwa ya 100,000. Nikagoma, nikawaambia mwizi huyo wamuache aendelee kupeta tu. Hii ni Polisi jamii au Polisi rushwa??
  13. Y

    Kama kuna Polisi mwenye Division One, basi vyeti si vyake

    Mkuu Amavubi huyu naye ni div gani aisee!!
  14. Y

    TRA na Fire-Extinguisher za Pikipiki...mmmh! jamani

    Hata mimi nililipia, nikauliza nikachukuwe wapi? Jibu nililopewa ha ha ha ha!! Wanajisahau wanafikiri sisi ni watz wa enzi za Nyerere.
  15. Y

    Makadirio ya kulipia TRA kwa mwaka

    Mkuu idawa situmii EFD! mtaji nitautoa wapi?
  16. Y

    Makadirio ya kulipia TRA kwa mwaka

    Tanganyika yetu umenena kitu cha msingi sana! Siipendi sisiem.
  17. Y

    Geita: Mwanamke amuua mwanae kwa kumchoma na mkuki

    Sheria ichukuwe mkondo wake.
Back
Top Bottom