Search results

  1. M

    qualification za nyongeza kujiunga na Udom!!!

    1-speed angalau kilomita kumi kwa saa2-mlo mmoja kwa siku3-maji lita tano kila unapotembea 4-bukta ya dhalula ndani ya sulali au siketi5-uwe tayari kulala popote hata ukumbi wa disko6-usisahau mazoezi kwenye vilima nk,ukifanikiwa kumaliza jeshini polisi au jkt,jwtz unaanza na rank ya nyota moja
  2. M

    CHADEMA na tishio la Tendwa kukifuta Chama kisa Maandamano/M4C

    huyu msajili wa vyama vya siasa anatumika na ccm hainiingii akilini kuwa chadema wanasambaza mbegu za chuki wakati wa kujadili maslahi ya taifa kwenye mikutano yao walitaka nani aseme wanyamaze mpaka uchaguzi ujao jamani kazi ya chama cha siasa ni nini. kinachozikumba nchi za afrika leo hii ni...
  3. M

    Maandamano ya Chadema yatishia Serikali ya CCM madarakani

    kwa jinsi nilivyooangalia taarifa ya habari ni mapango mzima umesukwaq ili kukichafua chadema hoja ziko wazi waeleze hayo maneno ya vitisho na uchochezi yakoje huu ni mkakati maalmu uliopangwa wanakiogopa chadema kwa kuwa ndio sauti ya vijana wengi ambao ndio mtaji wa kisiasa hakuna cha...
  4. M

    Benki ya nbc dodoma wezi+wasanii

    hawa jamaa wa tawi la NBC dodoma barabara ya nyerere ni wezi jamani angalieni walichomfanyia mshikaji wangu jamaa alililipiwa ada na mtu wake wa karibu benki tela alichokifanya kapokea pesa alafu akasaini slip na kisha kugomga muhuri wa benki kisha ile pesa akuingiza kwenye akaunti ya chuo...
  5. M

    Benki ya nbc dodoma wezi+wasanii

    hawa jamaa wa tawi la NBC dodoma barabara ya nyerere ni wezi jamani angalieni walichomfanyia mshikaji wangu jamaa alililipiwa ada na mtu wake wa karibu benki tela alichokifanya kapokea pesa alafu akasaini slip na kisha kugomga muhuri wa benki kisha ile pesa akuingiza kwenye akaunti ya chuo...
  6. M

    Kesho ya Kikwete ni chungu kuliko leo ya Mkapa

    # kweli aliiiomba mwenyewe na leo jakaya anabeba madhambi yake na katiba aisemi kuwa kuwa ukiwa rais ufanye mazuri kisha ujichukulie kama vyako hata mtume musa aliimtii mungu lakini kosa dogo tu hakufika nchi ya ahadi kaanani mkapa kaaribu kweli kweli na tutaendelea kusema angalia madudu ya...
  7. M

    Mapungufu ya Katiba

    jamani naomba kufahamishwa na member aliyebobea katika masuala ya katiba au anayeifahamu vizuri mapungufu yake au kipi cha kubadilishwa kifungu cha zamani na ushauri wa kifungu kipya.naona watanzani wengi hawafahamu vifungu vilivyopitwa na katiba ingwa sio kosa lao kwani soma la siasa tulikuwa...
  8. M

    Elections 2010 Hadija Kopa amtukana Slaa!!

    kama mh kinanana leo anamalalamikia mgombea kiti cha ubunge wa chadema kupitia jimbo la temeke kuwa jana katika hotuba yake alimkashifu mh rais kikwete je, leo kwa masikio yangu nilikuwepo mwembe yanga hadija kopa anasema hivi dr slaa kaanguka choo cha hoteli kaumia je akiingia choo cha ikulu...
  9. M

    Imevuja: Jokate anaishi na Hasheem Thabeet

    sii hivyo, anachokiseama jamaa chaweza kuwa kweli kabisa si kama unavyosema kuwa hazitaki mbichi hizo,ninachomuasa hashimu ni kuwa demu wa kweli ni yule aliyekuwa akimpenda wakati yuko makongo so kwa hawa mademu wa kibongo watakaojipendekeza sasa ni kwa kuwa wewe ni another level kuwa...
  10. M

    Elections 2010 Jenerali amshambulia Musyoka kwa kumsapoti JK

    "By the way nawaelewa sana hawa watu..nimeishi nao muda wa kutosha, hawatuheshimu kabisa, in most cases wanatudharau. And, most of the time wanajaribu kupandikiza chuki dhidi yetu" nakubaliana kabisa nawe hasa katka kipengele hicho cha juu nilichokukoti hawa jamaa wanatuoana sisi tuko nyuma...
  11. M

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Sishangai leo hii yaarifiwa kuwa katika misikiti mingi ya hapa jijini ukiwemo wa Manyema kwa Sheikh Jongo wamemmpigia debe mh, Jakaya Kikwete katika misingi ya udini waziwazi ingawa inaeleweka wazi kuwa Sheikh Jongo ni CCM damu nanadhani kati ya watu wanotumika sana na CCM. Hhii inatokana na...
  12. M

    Makwaia anamsema JK au?

    2. Jamaa anamhusudu Nyerere religiously, huwezi kusema Nyerere alivyostaafu hakukubali trappings za power wakati kawaachia wabongo wampe zawadi kemkem na jeshi limemjengea jumba kubwa huko kwao, kama angekuwa kweli hataki trappings za power angekataa zawadi na kusema ile service ilikuwa ni...
  13. M

    Fatma Maghimbi huyoooooo!

    "kwenye msafara wa mamba na kenge,mjusi wamo" wako wengi lakini watajichuja wenyewe kutokana na mabadiliko ya siasa ndani ya vyama vya upinzani ambavyo navyo vinafanya demokrasia katika michakato yakupata viongozi hakuana aliyezaliwa kuongoza wote twafaa kwa kujifunza na vipaji huree mh...
  14. M

    Clouds Media wamwandalia Kikwete Birthday 2010?

    unajua uchaguzi unavibweka kweli kweli eti clouds ndiyo ya kumwandalia mheshimiwa rais kikwete sherehe ya kuzaliwa kwake na kwanini isiwe Tbc ili watanzani wote waone sherehe ya rais wao kuna nini kati ya hawa clouds na mheshimiwa inamaana hata wakina salva kule ikulu wameshindwa kumwandalia mh...
  15. M

    hii ndiyo maana ya msanii kioo cha jamii????

    jamani leo katika pitia pitia yangu ya gazeti la michezo la bingwa kuna makala moja imeandikwa na mwandishi mmoja anaitwa ojuku abrahamu anazungumzia kuhusu wasanii anawashangaa hivi kwa meseji yao kwa jamii hivi au kutambua kwao nini jamii inahitaji kwa wakati gani ingawa mimi ningelipenda...
  16. M

    Tabora iliyodidimia inahitaji kuinuliwa...

    mkuu Sikonge i salute you!! Yaani unaijua vizuri tabora mimi nimewahi kufika urambo miaka ya 98 lakini hivi juzi tu miezi kama miwli iliyopita nilifika bukene kwa mara ya kwanza kama baaada ya miaka kumi nilivyopaacha ni vilevile nilivyopakuata haki yanani hata maji bomba hakuna kimji kizima...
  17. M

    Anayempinga Kikwete si mzalendo

    yangu macho maana watoto wote wanaokulakeki yao kupitia chama cha mapinduzi kupitia kwa uncler wak baba mama hawaelewi nini umuhimu wa changes!!!
  18. M

    Mchango wa harambee kusafirisha wanavyuo kwenda kupiga kura

    mkuu hii sijui lakini nilivyodokezwa utaratibu huu kwa sheria za uchaguzi hauruhusiwi kwa mgombea au chama iatakuwa kama kumshawishi mtu aje kukupigia kura akishindwa mgombea anaweza kukata rufaa sasa ni nani apewe jukumu la kushika michango hiyo ipo kazi kweli haki ya wasomi inapotea my be waje...
  19. M

    Tabora iliyodidimia inahitaji kuinuliwa...

    Jamani sijui wenzangu kama mmepata kung'amua kitu hiki mkoa wa Tabora ni kama vile umekufa. Kwa jinsi nionavyo mimi licha ya wakazi wake kuwa na chakula pengine cha kutosha lakini miaka nenda rudi nikipita hapo sioni mabadiliko utafikiri vile hakuna wazawa waliokwenda shule mpaka leo mbavu za...
Back
Top Bottom