Search results

  1. M

    Vigogo wagawana viwanja vya Gezaulole

    Jamani viwanja 1800, viwanja vya wanaolalamikiwa ni viwanja havizidi 50 inamana 1750 wamepewa walalahoi sasa malalamiko ya nini? mbona tumegeuka kama wale jamaa wanaolalamikia kilakitu? mi ningekuwa mojawapo ya wanaolalamika kama wangechukua viwanja 500.
  2. M

    Kupewa mara moja tu kwa mwezi...

    Pole sana kaka kwa kweli maisha ya ndoa lazima mwanaume uishi kwa akili na mkeo kuna mambo kadhaa nayo ni:- 1- Mnapofanya mapenzi haujawai kumsisimua akafurahia, kwahiyo mapenzi yako kwake anakubali sababu tu we ni mumeo 2- Jikumbushe mwanzo mlikuwaje? pengine we kuna vitu umembadilisha...
  3. M

    Pinda na Mawaziri wanaonewa

    Kwa kweli mambo JK sio ya kawaida kaziba masikio.
  4. M

    Wasifu wa Deo Filikunjombe

    Huyu jamaa nijasiri sana alimlipua Mbunge mstaafu mbele ya wananchi wakati wa kura za maoni. Waliokuwepo siku iyo wanaweza wakasema vizuri, kifupi Prof. Mwalyosi aliishiwa nguvu hakuamini macho yako kwani ilikuwa kama sinema. Mhe, Filikunjombe alimchana live bila chenga na kuwaambia wananchi...
  5. M

    Vincent Nyerere and Deo Filikunjombe

    Kwa kweli tungekuwa na wabunge kama hawa kama kumi mawaziri wangenyooka. lakini pia lingine lililonikuna nikuwa eti tangu jana mawaziri wanalalamikiwa lakini hakuna hata mmoja alie jiuzuru. Jambo lililo niuma ni lile la wanafunzi wanapigwa virungu kumbe hela zimeliwa na wakuu wa vyuo. Hongera...
  6. M

    Mawaziri wanaongoza kwa wizi serikalini - Deo Filikunjombe

    Huyu Mhe, Filikunjombe alikuwa Polisi kwaiyo anaposema anaoushahidi atakuwa amejipanga lakinio pia jamani wenye ushahidi wakumsaidia kuongeza nguvu Mhe, Filikunjombe wampe ili watanzania wajue Serikali ilivyo na uozo.
  7. M

    Rais rudi huko uliko bungeni kumechemka

    Basi akirudi atapewa ujumbe wake, Lakini ameshawavumilia sana anatakiwa atoe maamuzi magumu sasa.
  8. M

    Tume ya katiba na hoja tata kutoka kwa jamii

    Raisi alitakiwa kuangalia hayo yote ili kukidhi vigezo ili kusiwepo malalamiko kama haya. Mimi namuunga mkono mzee Mtei kwani hata waislamu wangelalamika kama Wakristo wangekuwa 23 na Waislamu wangekuwa 7, pamoja nakuangalia ubara na uzanzibar alitakiwa kuangalia mambo ya dini pia kwani hapa...
  9. M

    Mwongozo wa JF: What should start Tume Huru ya Uchaguzi au Katiba?

    Hakuna kitu kinanikera kama Tume ya uchaguzi iliyo jaa wazee watupu hawataki kwenda na teknolijia wanatuweka ktk zama za kuhesabu kwa visude badala ya kutumia kompyuta.
  10. M

    Kauli ya mwalimu julius nyerere mwaka 1990

    Nchi iyumbe mara 2? afadhali uharibifu wa Mkapa kuliko wa JK, Mkapa alikuwa mkali na ukimwangalia usoni kweli amenuna mpaka watanzania tukasema ananuna mno! tukataka smiling face sasa chamoto tunakipata.
Back
Top Bottom