Wanajamii forum,
Toka wiki iliyopita kuna kamatakamata ya bajaji kwa kigezo kwamba kuna katazo la bajaji zisizoendeshwa na walemavu kuingia mjini.
Binafsi sijasikia katazo Hilo naomba anayejua zaidi tujuzane.
Mimi ni mhanga wa kupoteza ajira kutoka mwaka Jana mwezi wa kumi na moja. Nimefuatilia kupata mafao yangu hadi leo hakuna kinachoeleweka ni kalenda tu. Kila ninayemwona pale anasikitika hakuna anayetoka na jibu la matumaini.
Hivi hii ndio sera ya mfuko au ya serikali au ni bahati mbaya tu?
Naomba wajuzi mnisaidie kuhusu hii haki ya mfanyakazi inayoitwa severance anapewa mtu mwenye sifa gani?
Na hili ni takwa la kisheria au ni hisani ya mwajiri?
Kama hijapewa unafanuaje?
Ahsanteni
Naomba msaada kwa mwenye ifahamu wa sheria ya ajira, kuna kitu kinaitwa severance kwa mtu aliye maliz amkataba wa ajira,
Inamlazimu mwjiri kukupa au ni hiari tu ya mwajiri. Ahsanten
Naomba kuuliza wenye kujua hii kitu SAVERANCE kwenye sheria ya ajira anastahili kupewa mtu mwenye sifa gani?
Ninavyojua kwa mtu mwenye mkataba anapomaliza anastahili kupewa, sasa je kama mwajiri hajakupa ufanyeje ili upate hakiyako hiyo?
Ahsanteni
Naomba mwenye kujua kuhusu jkt , sifa za kujiunga, yani elimu, umri, na ni kozi gani zinatolewa uko na ni kwa muda gani pia ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mwenye uelewa kama kuna uwezekano wa mtu aliyesoma masoma ya bodi za wataalamu kama PSPTB na NBAA nk, wanaweza kujiunga na vyuo hapa Tz bila kua na matokeo ya form six au diploma na pia kama inawezekana ni kwa level zipi.
Naomba mnisaidie wenyekujua Mimi nimesoma masuala ya procurement, nimepata elimu hiyo kwenye bodi ya wataharamu wa ugavi na ununuzi, psptb. Nimefikia level inayoitwa p3 . Natakakujua Kama kuna uwezekano wowote WA kutumia matokeo hayo nikajiunga na masomo ya degree bila Kuwait na matokeo ya form...
Wana jamvi vipi kuhusu uunganishaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii imefikia wapi, nasikia kuna mifuko mpya unaitwa psssf.
Kama upo tayari vipi kwa sasa MTU anayepatwa na janga anaudumiwa na mifuko upi, ?
Janga kama vile, kuachishwa kazi, kuacha kazi, kupunguzwa kazi, au kuacha kwa sababu za...
Wana jamii forum nimepata taarifa kutoka kwenye zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya taifa mkoani Kagera.
Kama mnavyojua kule ni mpakani na nchi jirani zipatazo tatu hivyo wahamiaji haramu in wengi mno.
Pamoja na taarifa za kuwepo kwa usiri mkubwa kati ya maafsa uhamiaji na...
Naomba mwenye kujua utaratibu was kujiunga na open university ngazi ya certificates, ada zake pamoja na minimum requirements zake. Specifically certificate in law .
Thanks
Naomba mwenye kuwa na taafifa za chuo kikuu huria Tanzania nikihusisha kozi zitolewazo na ada zake ,
Specific nikilenga certificate in law , ada zake na minimum qualification,.
Thanks
Leo nimekua pale stand ya mabasi ya mikoani ubungo nimekua kuna upungufu mkubwa wa wapigadebe waliozoeleka kudakia watu na kujifanya wanatoa; Msaada wa watu kupata tiketi.
Pamoja na kuwa kwenye msimu wa wasafiri wengi sijaona wapigadebe ambao walikua kero kubwa kwa abilia, Licha ya changamoto...
Wadau WA jf, kuna kitu kwenye simu kinaandika screen overlay protected, kinazuia apps nyingi kufunguka, nifanyeje nimeshindwa kukiondoa Kwa maelekezo yanayoonyesha
Nisaidieni
Nitakua mnafiki nisiposema nimestaajabu mno, kwa kile kilichotokea Kenya hii Leo, hili ni kwa nchi za kiafrika, inafahamika kwamba sheria huwa ni kwenye maandishi tu, Kama Kenya wamefikia hapo Basi wanastahili pongezi.
Tujipange kushindana tuache polojo bila hivyo tutakuja jikuta tumeachwa...
Naomba mwenye kujua sifa za kusoma chuo cha ualimu ngazi ya cheti, kwa matokeo ya GPA, sababu kwenye guide book za nacte hawajafafanua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana jf naimba mnisaidie kuhusu bajaji ,nataka kufahamu bei zake, upatikanaji wake ,aina zake ,na hata Tabia zake.
Na yangu ni kutata kuingia kwenye biashara hiyo. So kama kina mjuzi naomba anisaidie. Bajaji zile za abilia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.