Kumekuwepo na usumbufu wa kamatakamata ya bajaji ndani ya jiji la dar es salaam lakini hakuna maelezo kutoka kwa mamlaka, tunaomba wenye mamlaka au yeyote anayejua undani wa sualahili atufahamishe vizuri
Wanajamii forum,
Toka wiki iliyopita kuna kamatakamata ya bajaji kwa kigezo kwamba kuna katazo la bajaji zisizoendeshwa na walemavu kuingia mjini.
Binafsi sijasikia katazo Hilo naomba anayejua zaidi tujuzane.
Mimi ni mhanga wa kupoteza ajira kutoka mwaka Jana mwezi wa kumi na moja. Nimefuatilia kupata mafao yangu hadi leo hakuna kinachoeleweka ni kalenda tu. Kila ninayemwona pale anasikitika hakuna anayetoka na jibu la matumaini.
Hivi hii ndio sera ya mfuko au ya serikali au ni bahati mbaya tu?
Umri wangu ni below 40, nimemaliza mkataba tu na sijapewa mwingine sijalipwa severance ninastahili kisheria? Kama nastahili na sijapewa nifanyeje, au sistahili kisheria?
Naomba wajuzi mnisaidie kuhusu hii haki ya mfanyakazi inayoitwa severance anapewa mtu mwenye sifa gani?
Na hili ni takwa la kisheria au ni hisani ya mwajiri?
Kama hijapewa unafanuaje?
Ahsanteni
Naomba msaada kwa mwenye ifahamu wa sheria ya ajira, kuna kitu kinaitwa severance kwa mtu aliye maliz amkataba wa ajira,
Inamlazimu mwjiri kukupa au ni hiari tu ya mwajiri. Ahsanten
Naomba kuuliza wenye kujua hii kitu SAVERANCE kwenye sheria ya ajira anastahili kupewa mtu mwenye sifa gani?
Ninavyojua kwa mtu mwenye mkataba anapomaliza anastahili kupewa, sasa je kama mwajiri hajakupa ufanyeje ili upate hakiyako hiyo?
Ahsanteni
Wapendwa wanajanvi napenda kuingia kwenye changamoto ya biashara ya bajaj. Tatizo sijui chochote kiusahihi kuhusu biashara hii. Kuanzia changamoto zake, beizake, zinaripaje.
Na hata aina naziona tu barabarani. Ningeomba kama kuna mdau anieleze pia kwa dar es salaam in eneo gani linalia...
Kwanini bando zenu za dar supa in zinatofautiana, Luna wanaopewa mb nyingi wengine chache, wengine dakika nyingi wengine kidogo
Mala bei nayo inapanda mala inashuka vipi mbona havieleweki
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais alisema mifuko itumie kanuni zilizokuwa zinatumika kwa kipindi hiki cha mpito, adi 2023 sasa mbwembwe zingine zinatoka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.