Search results

  1. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sasa ESTONIA inaweza kuifanya nini nchi kama Urusi ambayo Ulaya wote na Marekani wameungana wameshindwa?? Nimewahi kufika Estonia mara 3 yaani ni kanchi kadogo mnoo..Kuhusu maendeleo hapa kwetu sisi sio Masikini shida ni Majizi ndio yanatuchelewesha...Tungekua na uongozi imara hata mikufu na...
  2. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Estonia ni Kama Bunju tu haina kitu kabisa....hao Estonia sisi tunawapiga na platoon 2 tu
  3. Somoche

    Hoteli ya bilionea Mrema yapigwa mnada, sasa kuvunjwa

    Watanzania hatujui kabisa kushika Utajiri na kuuusukuma mbele na kurithisha Vizazi unaona Mrema kafa kila kitu kwisha..Watoto wengi wa Matajiri huwa wajinga sana sijui kwanini lakini Wahindi huandaa watoto smart na kuwaachia Mali. Subash Kwa mfano alikufa mtoto akashika mali mambo...
  4. Somoche

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Ni Kweli siku hizi Mziki hatuna pa kucheza mlikua mnamuita Mbowe DJ nae kaamua kuacha sasa..Wakati Mbowe ni mtu mjanja angetupa vitu vya hatari pale Billicanas
  5. Somoche

    Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

    Hizi Colonial post hazina maana
  6. Somoche

    Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

    Nimefikiria una jambo kumbe unakurupuka kama mwizi unaandika kama kuku wa kideri
  7. Somoche

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    Agiza Balimi Kaka ntalipa mimi..wakupe baridiiiii..Haya manamake majizi ni mengi sanaa..Wanaume tuunganee haya majitu yana ushetani na sisi tudai haki...imetoshaaa
  8. Somoche

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    Wanalitumia kuhalalisha maovu yao yasionekane....unakuta anafanya umalaya..anakuibia ukijua ukauliza unaambiwa wewe mnyanyasaji..shenzy Sasa hao ni kuwatosa tu..
  9. Somoche

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    Wanawake wa KIAFRICA GO BACK TO THE ROOTS...acheni mambo ya kipuuzi ya Kuiga...Mke wa Mosha ametajwa kama Mwizi kwenye hiyo Hukumu..amekua akiibia mumewe huyu ni jambazi na mna tabia hizo kuiba na kufanya umalaya mkubwa mkiwa kwenye ndoa mkipigwa utosini mnakimbilia mitandaoni..Kama hutakua na...
  10. Somoche

    Mwaka 1983 Lowassa alinunua suti pair 10 wakati Nyerere na Sokoine wakiwa na kaunda suti zaidi ya pair tano

    Nchi ishauzwa hii usifumbe macho. simtetei Lowasa ila majizi ni Mengi mnoooo...Magufuli alijaribu kuyaondoa akashindwa nani atayaweza haya majizi??? Yanatuona sisi hatuna akili yanadhani yenyewe ndio yana akili iko siku watoto wenu wataona aibu kujiitia majina yenu yatakua yananuka
  11. Somoche

    Mwaka 1983 Lowassa alinunua suti pair 10 wakati Nyerere na Sokoine wakiwa na kaunda suti zaidi ya pair tano

    Sasa kama alikua na Hela angefanyaje?? Mana Lowasa mnamsema alikua Mwizi lakini nani haibi nchi hii?? Watu wanakula mandazi na kuamua umeme February mwisho wa mgao...wakila mandazi tena wanasema ooh March mara June....Nyie watu mmetuumiza sana nchi hii...Magufuli alipokua hai umeme uliwaka miaka...
  12. Somoche

    Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Hivi yule mlinzi hajakamatwa?? Unapigaje mtu asie na silaha yeyoe anaanguka chini kwenye shuguli za msiba??? Hivi ni lini hawa Polisi wataacha huu ukoloni mkongwe??
  13. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Estonia ni Sawa Na Bunju tu achaneni nayo hao hata Tanzania tunawapiga na Kikosi kimoja tu sio hata brigade....
  14. Somoche

    Papa: Wanaokosoa baraka za wapenzi wa jinsia moja ni wanafiki

    Kitima Ebu mtoeni huyu Mzee mana yawezekana ana shida pahala.Mfukuzeni asituletee
Back
Top Bottom