Search results

  1. REDEEMER.

    Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

    Mumshukuru njiwa pori kwa kuintroduce lodge za wavuvi zile za buku per night kwenye mialo yenu la sivyo hata maana ya lodge mngekuwa mna Google mpaka leo 😂
  2. REDEEMER.

    Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

    Marangu pamoto zaidi
  3. REDEEMER.

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hajapost interchange hata 1 Ni junctions 3 Wewe umeona interchange hapo?
  4. REDEEMER.

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kijana unajua maana ya underpass? Kama hii ni underpass basi hata nyumba unayoishi ni undershelter Sijaona barabara iliyopita CHINI YA ARDHI mpaka uite underpass wala hata juu ya hicho unachokiita underpass hakuna treni wala magari wala pedestrians wala ndege inayopita juu ya hiyo structure...
  5. REDEEMER.

    Nyie mnaopenda kusema eti mnatulisha, hebu kujeni kidogo

    Tunazidi kuwachagiza mje kwa wingi sababu ardhi bado ni kubwa na tunataka serious investors. Mkija mnatoa ajira, kodi, mnanunua malighafi Tanzania na kuineemesha Tanzania zaidi na ndio maana Tanzania Hakuna tatizo la ajira kama ilivyo kwenu.
  6. REDEEMER.

    Tanzania humiliated by Bill Clinton

    Wakenya wakiandika habari zao bila kuihusisha Tanzania kinamna yoyote Ile wanaona kama haitasomeka
  7. REDEEMER.

    Hii mishikaki huuzwa shilingi ngapi huko Kenya?

    Kama dhumuni lako ni kupata pesa ya Kenya yenye thamani kubwa zaidi ni simple tu, chukua pesa zako za kitanzania nenda bureau de change wakupe currency ya Kenya. Done
  8. REDEEMER.

    Nairobi, the most developed city in East Africa

    Kwani interchange ina Corona? Neno flyover linakupa mshawasha?
  9. REDEEMER.

    Nyie mnaopenda kusema eti mnatulisha, hebu kujeni kidogo

    Tanzania hizo ekari 2k huwa zinamilikiwa na mtu mmoja tena wa kawaida tu, ninyi ni serikali nzima tena msaada wa Israel Angalia shamba la serikali linaloendeshwa na wananchi pamoja na muwekezaji wakilima ekari zaidi ya 30k za mpunga kumbukeni mchele huko Kenya ni bei mara mbili ya mahindi...
  10. REDEEMER.

    Tanzania yawa Taifa la 3 Afrika kugundua dawa ya Corona

    Dooh! Long time no see mkuu! Welcome back
Back
Top Bottom