Search results

  1. aye

    Phone4Sale Simu za mezani za laini (sim card)

    Jipatie simu ya mezani inayotumia laini ya mtandao wowote ( tigo,voda,airtel,ttcl,zantel,halotel) Inau wezo wa kutuma message na kupokea, ina alarm pamoja na redio 80000/= call/watsup 0712326009 Dar free delivared Mikoani tunatuma kwa gharama za mteja.
  2. aye

    Azimio la kwanza kati ya nane akaunti ya Tegeta Escrow tumeliona Hongera Sana Serikali

    1 Bwana Harbinder Singh Seth na wengine Bunge linaazimia kwamba, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na Vyombo vingine husika vya Ulinzi na Usalama, vichukue hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za nchi yetu, dhidi ya watu wote waliotajwa na Taarifa Maalumu ya Kamati, kuhusika na vitendo vyote vya kijinai...
  3. aye

    Car4Sale TOYOTA NOAH 2002

    cc:2000 kilometer :78000 year 2002 inbox serious buyers
  4. aye

    Car4Sale Toyota Noah 2003 inauzwa

    10.5m maongezi yapo contact 0713270309
  5. aye

    Nimellipa faini kwa kosa la kuoshea gari katikati ya Mji

    Yamenikuta jana nimepaki gari mapema kabisa nimeingia zangu ofisini kufika lunch natoka nakuta gari limefungwa kwa kosa la kuoshwa katikati ya jiji sijamtuma wala kumwambia mtu aoshe yaelekea hawa jamaa wa parking wanakula na hao vijana waoshaji kwakweli muwe makini mpakipo magari maana ni...
  6. aye

    Baraza la Maadili ya Utumishi wa Umma lashindwa kumuhoji Andrew Chenge

    Baraza la maadili ya utumishi wa umma limeshindwa kumuhoji Mh Endrew Chenge baada kuwasilisha zuio la mahakama kuu lililozua kutokuendelea kujadili miamala ya Escrow huku wanasheria wa sekretarieti ya baraza hilo wakipingana naye kwa madai kuwa wao wanajadili ukiukwaji wa maadili na siyo miamala...
  7. aye

    Mawakala wa M-pesa na Tigopesa kuweni makini na utapeli huu

    Imetokea jana kwene duka linalotoa huduma za mpesa na tigo pesa maeneo ya mwenge kuna wahindi walikuja kutaka kutoa pesa kwene simu wakajifanya kwamba ni wageni Tanzania hawazifahamu pesa za Tanzania wakaomba kuona 10000 na 5000 baada ya kuziona wakasema wanataka kutoa milioni 1 ila kabla...
  8. aye

    Kampuni ya Erolink yajitetea

    Kwa ufupi Taarifa iliyotolewa naMeneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Larry Makala ilisema kuwa Elvis Kamanyilealiyetajwa kuwa mkurugenzi wa kampuni hiyo, hana uhusiano wa moja kwa mojakatika shughuli za utendaji wa kila siku wa kampuni hiyo. Dar es Salaam.Kampuni ya Uwakala wa Ajira chini ya...
  9. aye

    Hivi hii Biashara ya TelexFree Ndio ikojoe

    Hivi hii Biashara ya TelexFree Ndio ikojoe? ,Najiuliza sana zamani Watu walikuwa wananiconvice niingie Forever Living ..ila sikuingia lakini marafiki zangu wengi waliingia na wote hakuna aliye faidika na kuwa tajiri kama walivyokuwa wakihadithia kwenye Semina zao....Naona sasa imekuja hii Telex...
  10. aye

    Majambazi wapora bank ya I&M

    majambazi wamepora bank ya I& M iliyopo posta mpya na kuiba kiasi cha shilingi milioni 150. Source E.A Radio
Back
Top Bottom