Search results

  1. birungi

    Network Support Technician vacancy at MSNET FIBRE

    VACANCIES @MSNET FIBRE Work Role: NETWORK SUPPORT TECHNICIAN Workstation: UBUNGO Posts: 2 KIGAMBONI Posts 2 UKONGA Posts 2 Start Date: 1st SEPTEMBER 2022 Purpose of Role The purpose of the role is to oversee all WAN/LAN Outdoor and Indoor Network related services. Emphasis will be on Tower...
  2. birungi

    Plot4Sale Kiwanja Tabata Mawenzi kinauzwa

    Kiwanja kizuri na kikubwa kinauzwa Tabata. Bei mil 11 Ukubwa ni 30*30 Huduma zote zipo maji na umeme. Mita chache kutoka barabara kuu ya mawenzi. *ardhi ina mchanga mwingi utapata was kujengea hapohapo Hakina Dalali Mimi ni ndugu wa mmiliki * kinauzwa kwa shida Luna mgonjwa anahitaji matibabu...
  3. birungi

    Amerudi

    baada ya kimya kingi sasa amerudi alikua na kazi nyingi,ukweli mda haukuzidi kama ujuavyo kimya kingi kina mshindo mkuu birungi tena nimerudi, na habari nzito zilizo kuu. katika pitapita zangu,mengi nimeyaona nkafanya tafiti zangu,vidogo na vilivyonona nkaona moja liwe langu,isije baadae...
  4. birungi

    Mzee wa upako abariki dawa ya babu

    Habari za leo wanajamii wenzangu. jana katika kipindi cha tutashinda cha mzee wa upako channel 10 nilimsikiliza mwanzo mpaka mwisho.kilikua ni maswali na majibu kuhusu huduma yake na mipango kiujumla maana anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa arusha...
  5. birungi

    Ushauri

    USHAURI WA BURE POINTS ON HOW TO IMPROVE YOUR LIFE by Randy Pausch Personality: 1. Don't compare your life to others. You have no idea what their journey is all about. 2. Don't have negative thoughts of things you cannot control. Instead invest your energy in the positive present...
  6. birungi

    wasanii vijana wananiboa

    habari zenu jamani wadau wa JF. mimi hili jambo limenikaa mda mrefu nalichambua na kutafakari,zaidi sana linazidi kuniboa.:A S cry: nimeangalia kampeni nyingi za siasa kama si kuona hata kwenye vyombo vya habari. ni ukweli usiopingika kuwa chama tawala kina watu wengi ila ni watu wenye umri...
  7. birungi

    Sales manager

    dear fellows,nimeikuta hii jaribuni kwa wanaomeet qualifications. JOB VACANCY Precision Air Services is a fast growing private Tanzanian airline which operates in partnership with Kenya Airways, with its strategies to expand wings beyond East Africa and Africa. In order to keep...
Back
Top Bottom