Search results

  1. E

    Kuporomoka Kwa Maadili, Kushamiri Kwa Ushoga Na Ukahaba

    Iko poa but hizo rangirangi zimenipa shida sana machoni
  2. E

    Vigogo wa CCM ndio wanaovusha sukari nchi jirani ya Kenya

    Uoga wetu na kujidai hatumaindi vitu vidogo ndo umetufikisha hapa tulipo, "kwani jero kitu gani?" Hatujui nini maana ya thamani. Hata ukisimama kutetea haki yako utasikia "Aaarhg! mwacheni njaa tu zinamsumbua huyo." tulipanda wenyewe wsas tunalalamika nini wakati wa Mavuno? acheni wafanye...
  3. E

    Elections 2010 Tandika kwazizima kwa vurugu!!!

    Nilikuwa naangalia Tv na kucheki vurugu za temeke. Polisi wamemkamata mshkaji na jamaa akawa mtii kama kondoo wa sadaka na alipoikaribia defenda polisi akampiga buti jamaa akaanguka chini. Alipoingia ndani ya defenda kama vile hatoshi polisi wakawa wanamshindilia chini. Je hii ni sawa wadau...
Back
Top Bottom