Search results

  1. P

    Utawala wa Magufuli na mitazamo finyu ya wasiojitambua

    Tangu michakato ya uchaguzi octoba mwakajana hadi leo hii nikiwa chini ya raisi magufuli nimejifunza mengi na naendelea kujifunza mengi Zaidi. Ninayoyaona mazuri ya magufuli yamekuwa yakitafsriwa vibaya na kutumiwa vibaya na baadhi ya watu wa ngazi nyingine za chini na watu wa kawaida,Binafsi...
  2. P

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Kwa uelewa na mtazamo wangu kw ujumla ninaona akina majaliwa wanafanya kazi nzuri tu kuudhihirishia umma kuwa kumekuwa na ufisadi wa kiwango kisichosemekana.mtu wa kawaida ambaye hata kupata sh.10000 kwa wiki kwake ni ndoto kimawazo lazima atatofautiana na mtu mwenye kipato au aliyeajiriwa.Kwa...
  3. P

    Serikali sasa iwalipe walimu madai yao

    mh shikamoo tz.kwa kweli sisi walimu tuna maumivu ya hali ya juu
  4. P

    Diamond alewa sifa na kutukana hadharani

    Kwa mastaa Wa bongo ni kawaida.wapo wengine wanavua nguo hadharani
  5. P

    TANZIA: Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Mfaki afariki Dunia

    Mungu ametoa na mungu ametwaa jna lake lihimidiwe
  6. P

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Naona hapa kama hakuna walimu kabisa.maana full kuchapia tu.kwa somo la kiswahili sekondari nione mim hapa.
  7. P

    Tanzania bloggers tukutane hapa.....toa experience yako hasa adsense

    Mhhhh hapa mim napita.nahisi suala hili ni la kitaalamu zaidi
  8. P

    Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

    Serikali inapopambana na tatizo la ombaomba tunaiomba isikamate tu wale ambao hawana wazaz au wanaozurura na kuomba.polisi nao wawe kwenye kundi la ombaomba.haiwezekani mishahara yao wajengee nyumba na kununulia magari halafu sisi tuwe marupurupu yao.kuna siku mambo yakibadilika watakuja juta
  9. P

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Ni hoja za msingi na zitatusaidia endapo tutakuwa wasikivu.one lov watanzania
  10. P

    Msaada wa kozi fupi ya kusoma Marekani na Ulaya

    Mie napita nje ya uzi jamanii.
  11. P

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo wilaya ya bagamoyo mi nije iringa au mbeya. 0657715579npo serious siyo utani. Idara ya sekondaRi.
  12. P

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo wilaya ya bagamoyo mi nije iringa au mbeya. 0657715579npo serious siyo utani.
  13. P

    Maoni ya wananchi kuhusu taasisi za usimamizi kama PAC, LAAC & CAG

    Swali langu ni mojà tu fupi,ni watanzania wangapi wana ufahamu mzuri kuhusu taasisi zilizoytajwa hapo juu.mim nina uhakika kuwa hata baadhi ya wakazi wa tegeta hawakujua uwepo wa escrow mpaka hali ya hewa ilipochafuk ktik akunti hyo.pointi yangu ni kuwa watazania wengi hawatakujua na pengne bado...
  14. P

    Kwa mtindo huu wa visimbuzi lazima masikini aumie

    Wadau hoja yangu kwa watumiaji wa visimbuzi vya azamu.mnalichukuuliaje suala la gharama za malipo ya mwezi kupandishwa bila kutathmini kupanda au kushuka kwa gharama ya maisha ya watz.
  15. P

    PSPF, Utaratibu wa mkopo wa elimu ya juu upoje?

    Na nkitaka nijue namna ya kupata mkopo pesa taslimu kwa ajili ya mambo yangu binafsi je inawezekana?na nitapatajee??
  16. P

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Utaalamu na utumiaji wa mashine katika kuhifadhi fedha umeongeza idadi ya waibiwaji hasa wanaoweka pesa zao benki. maana mlima mihogo na digitali lini na wap, akiuliza mbona hela yangu imekatwa anajibiwa "aaah hiyo ni monthly tax charge installement with vat inclusive. wizi mtupuuuuuuuuuuuu
  17. P

    Hivi ndivyo tunavyoubariki uadui

    Katika mazingira yoyote ya kazi hasa mazingira ya kazi yenye masilahi na wafanyakazi wa maeneo hayo kuwa watafuta riziki utakutana na mambo yafuatayo;- 1. Ushindani wa kimasilahi ikiwa ni pamoja na kutengenezeana skendo hata kwa gharama ili waatu fulani kuchafuliwa na kukosa sifa za kupata...
Back
Top Bottom