Search results

  1. bigcell

    Kibaha hakuna maji siku ya tano

    Wahaya wa mjini hamna kitu
  2. bigcell

    Mtoto aliwa na simba akiwa amelala na mama yake

    Inasikitisha sana Simba akigongwa na gari unailipa serikali usd 15,000, sasa simba kala mtu serikali inafanyaje hapo? Simba na Binadamu kipi muhimu kwa serikali.
  3. bigcell

    Kibaha hakuna maji siku ya tano

    Mji wa kibaha leo tuna siku ya 5 hatuna maji na hakuna Taarifa yoyote toka Dawasa kuwa kuna tatizo gani
  4. bigcell

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Sms za bili zinatumwa kwa wakati na usumbufu wa kukumbusha mara kwa mara kuwa kalipe au utakatiwa huduma
  5. bigcell

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Dawasa Pwani acheni ubabaishaji, mnatuumiza na bill hewa tunalipia upepo maji hayatoki mita zinazunguka upepo ukipita, mnatulipisha bili kubwa tofauti na matumizi yetu ya maji, mfano unakuta kwa mwezi unaambiwa umetumia unit 75 za maji na maji hayajatoka wk takriban 2 au 3, ukienda kutoa hiyo...
  6. bigcell

    Muswada wa Vyama vya Siasa uko tayari. Kusomwa bungeni Novemba 2018

    Walipofikia CCM lazima wajikubali ukisha zeeka huwezi rudi ujana,hata hao vijana walio nao wana adapt mawazo ya wazee wao ili kuganga njaa siku ziende.
  7. bigcell

    Mliowahi Kushinda Madau Makubwa BIKO au Tatu-Mzuka njooni mtupe ushuhuda!

    Washindi wengi ni mbagala, temeke, tandika, masaki, oysterbay, upanga sijawahi kusikia wala mhindi kashinda na wakati wao wanapenda kuchrza kamari ya Madau makubwa.
  8. bigcell

    Mliowahi Kushinda Madau Makubwa BIKO au Tatu-Mzuka njooni mtupe ushuhuda!

    Washindi wengi ni mbagala, temeke, tandika, masaki, oysterbay, upanga sijawahi kusikia wala mhindi kashinda na wakati wao wanapenda kuchrza kamari ya Madau makubwa.
  9. bigcell

    Nimeshangazwa kumuona Mrema kwenye mkutano wa CCM Dodoma

    Watoto wa mjini tunasema ukiweka ugoko sisi tunaweka ubao ngoma ndroo maisha yanakwenda, siasa za bongo ni kuganga njaa hakuna wa kutetea mnyonye.
  10. bigcell

    Polepole amjibu Lowassa(CHADEMA) kuhusu kusamehewa kwa Babu Seya

    Nakumbuka 2015 during kampeni EL aliulizwa na wananchi kuhusu babu seya na mwanae pamoja na Daudi Balali. Jibu nakumbuka lilikuwa "mkinichagua kuwa rais nitamtoa babu seya na pia nitamleta Saudi balali" watu walishangilia sana, sasa nasubiri huyo wa mwisho dalali.
  11. bigcell

    Basi la Shabiby T605 DJR linakimbia mwendo wa hatari asubuhi hii

    Dereva nakushauri nenda 30 kph wafike dar SAA 3:00 usiku, nenda kwa usalama okoa ajali Tujenge Tanzania mpya.
  12. bigcell

    Baada ya Road licence SUMATRA nako kuangaliwe

    Hiyo itakuwa badae ngoja kwanza tumalizie huu mwezi tusidaiwe tena Road Licence then tujadili Sumatra Sawa! Sawa?!
  13. bigcell

    Kwanini wanajeshi wanaita kazi za polisi ni za kike?

    Hapana, hakuna kazi ya kike katika mambo ya ulinzi na usalama coz wote tunao wanawake katika kazi hii. Naomba nikutoe hofu katika maamuzi yako ya kufanya kile ukipendacho katika maisha yako, amua na ufanye nini na usimsikilize MTU kama unachokifanya kina manufaa kwako ilimradi kisilete madhara...
  14. bigcell

    Mbunge Ally Kessy: Road licence ihamishiwe kwenye mafuta(petrol & diesel)

    Hiyo tozo ipo kwenye mafuta nani anakumbuka Road Toll? hili tozo lilikuwepo miaka ya nyuma na tulikuwa tunalipia pindi unapoingia barabara za kwenye Mikoa, Wilaya n.k. Lakini waliipigia kelele sana ihamishiwe kwenye mafuta na ikaingizwa, ninadhani ipo mpaka leo tunaendelea kutozwa ila hatujui...
  15. bigcell

    MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    naunga mkono hoja, ila nijuavyo kuna ile tozo ya barabara ambayo imeingizwa kwenye petrol "Road Toll", sijui imekaaje hapo mana Serikali hii haieleweki kuna kitu kimejificha hapo. Wenye kujua hapo mnijuze.
  16. bigcell

    Meya: RC Gambo hataki nipeleke rambirambi kwa wafiwa, hajaweka kamati, anaagiza Mil 50 za rambirambi

    Ndio naamini sasa kwa nini Bro Magu hakutinga msibani.......
  17. bigcell

    Msiba wa Wananafunzi: Clouds group kusimamisha vipindi vyake vya TV na redio ili kuomboleza

    EFM nao tangia alfajiri ya Leo wanaomboleza na nyimbo za dini na za kuomboleza big up Clouds Media na Efm
  18. bigcell

    Tetesi: Ajali Lucky Vincent School: Uzembe, Tamaa, Ubadhirifu na Kutokujali Usalama wa Wanafunzi

    Maajabu ya hiyo ajali hakuna damu iliyomwagika/kuonekana maeneo ya ajali, ni kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwepo eneo LA ajali. Sijamaanisha ushirikina.
  19. bigcell

    Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Ni huzuni sana sijui hali ya Wazazi wao zikoje naumia sana mana mwanangu ni rika lao waliofariki dunia Mungu ni mwema Jina lake lihimidiwe.
Back
Top Bottom