Search results

  1. Nding'oli

    Mliowahi kuishi vijijini

    Hicho kiti kinaitwa "kiti cha Marimba"
  2. Nding'oli

    Elizabeth Lauten amejiuzulu, profesa Tibaijuka unangoja nini?

    Kazi yake alikuwa Rep. Fincher's Communications Director.kwa maneno hayo tu kwa watoto wa Obama alisakamwa na akajiuzulu. hayo nadhani yanaweza kuwa 1/1000 ya kashfa ya 'Eskro'.
  3. Nding'oli

    Elizabeth Lauten amejiuzulu, profesa Tibaijuka unangoja nini?

    Elizabeth Lauten aliwaambia watoto wa Obama hivi katika facebook
  4. Nding'oli

    UKAWA ndani ya Magazeti ya Tanzania leo tarehe 13/8/2014.

    Mara nyingi TZ Daima habari zake hushabihiana na magazeti mengine kama inavyoonekana kwa magazeti mengi ya leo. Uhuru liko kinyume kabisa peke yake.
  5. Nding'oli

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Pole sana ndugu yangu Zitto,Mungu wetu tunaye mwabudu akufariji wewe pamoja na familia yenu yote katika msiba huo mkubwa.Amina.
  6. Nding'oli

    Askofu wa angilikana Dodoma G.M.Mhogolo ametwaliwa mbinguni

    Mh! Mtakumbuka mengi juu ya mtumishi wa Mungu ambaye yeye kamaliza kazi aliyotumwa na Muumba wakae hapa duniani. Ametumika alivyotumika. Atoaye hukumu ni Muumba wake ambaye ni wetu pia. Jipange na wewe ili ikipendeza umalize kazi yako vizuri kama anavyopenda Mungu kuwa sote tusipotee bali tuwe...
  7. Nding'oli

    Askofu wa angilikana Dodoma G.M.Mhogolo ametwaliwa mbinguni

    Pole ndugu yangu. Hukufanikiwa kumfahamu Bishop Mhogolo. Umeingia katika mtego wa wale waliomchukia na kumlisha maneno ambayo hakusema ili kuwafanya wafuasi pamoja na wewe, wamchukie na kumwondoa ili waingie katika nafasi hiyo. Kuhusu USHOGA alichosema kwa BBC alipohojiwa ni kuwa "Ushoga ni...
  8. Nding'oli

    Tanzania tutafika huku lini?

    Masikini sisi!!!!!! Tembo wetu wameishia huko!!!! Tazama walivyoendelezwa na utajiri wetu! Nabado wanaendelea kukombeleza tembo wachache waliobaki!!!!
  9. Nding'oli

    Kafulila si mbunge wa mahakama tena

    Vyama visivyo na Nguvu ya kutikisa na kukisumbua chama chetu cha mapinduzi ndicho cha kukisifia. Hicho cha CHADEMA lazima tukiponde kama ndugu yangu Lukosi anavyofanya kila anapozungumzia CHADEMA. Vyama vinavyotarajiwa hapo mbeleni kuchukua dola according to Bw Lukosi ni NCCR Mageuzi, TLP, PPT...
  10. Nding'oli

    CHADEMA ni msingi yazua balaa na kizaazaa

    [Yaani Ccm ife! Chadema iwe haijazikwa turn? Ccm tunashuhudia kifo na mazishi ya chadema . Ccm ndio Baba la siasa. Tulieni mjifunze, acheni kulia.) Usijidandanye ndugu yangu. KANU ya Kenya iko wapi? UNIP ya zambia iko wapi? Chama cha Obote kiko wapi? Chama cha Kamuzu banda kiko wapi? Chama cha...
  11. Nding'oli

    Vyombo vya habari na kiswahili

    Wanahabari wanatakiwa kuwa makini na matumizi ya lugha yetu adhimu ya KISWAHILI. Wajue kuwa wadau wao hupenda kitumike vizuri badala ya kukoseakosea.
  12. Nding'oli

    Upinzani 51% CCM 49% kwa tathmini ya kata 26 tu!

    Angalia tathmini fupi ya uchaguzi wa kata 26 (kwa niaba ya Mtu wa Shamba) Kata zilizokuwa wazi 26 Unyakuzi CCM wamenyakua kata 16 CDM wamenyakua kata 10 CUF wamenyakua kata 0 TLP wamenyakua kata 0 Msimamo kabla uchaguzi haujafanyika CCM walikuwa na kata 19 CDM walikuwa na kata 5 CUF...
  13. Nding'oli

    Upinzani 51% CCM 49% kwa tathmini ya kata 26 tu!

    CCM hatujaongeza kitu. Tumepoteza kata tano kwa CHADEMA na kupata mbili zilizokuwa za CUF na TLP, bado hatuna kata tatu kulinganisha na tulizokuwa nazo awali yaani kumi na tisa. Mtasemaje tumeongeza mbili?
  14. Nding'oli

    Lema: Nitaondoka katika Ubunge Arusha Mungu akiamua

    By masopakyindi Na mimi nimemsikia huyu dogo. Kujifanamisha hata kwa ulinganishi tu na uwezo wa Mwenyezi Mungu ni kufuru itakayomfuata kokote aendako. Namshauri abadilishe maana ya usemi wake Mungu asijekupata wivu, Naye alikwisha kusema Yeye ni Mungu wa wivu. Hapo ni wenye akili tu...
  15. Nding'oli

    Member wa Fri masonry,haojiwa Sumbawanga TV

    Huyo mtoto anatafuta kutambulika tu kanisani. Alichosema juu ya Freemason ni uongo na hadithi ya kufikirika ili Wachovu wa kufikiri yaani wale waliokaa kanisani wakisubiri isemwe bwana asifiwe, nao wapige kelele za amen. Jamani someni Habari za watu hao wanaoitwa Freemason katika maandiko, yako...
  16. Nding'oli

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Asante sana kwa mwanzisha thread hii, imekuwa ya manufaa sana kwangu kwani swala la OD katika gari ya automatic lilikuwa linanisumbua sana. Sikujua kuwa nikiliweka kwa great thinkers litapata ufumbuzi. Thank you so much.
  17. Nding'oli

    CBE yawapiga marufuku wasichana wanaosoma chuoni hapo kuvaa nguo zinazobana

    Naunga mkono uamuzi wa uongozi wa CBE juu ya kuzuia nguo za kubana na kuonyesha viungo kwa wanafunzi wa hata hivyo na mavazi kwa baadhi ya vijana wa Kiume yaangaliwe pia, hayafai.
  18. Nding'oli

    Airtel Tanzania yapandisha gharama za internet!

    Mimi nimepata bundle yangu ya 400MB jana tu na naendelea kutesa nayo hadi sasa. Labda iwe ndio ya mwisho, ambayo kwa kweli itakuwa mbaya sana.
  19. Nding'oli

    Mzee Faraj Katalambula Amefariki Dunia

    R.I.P. Mzee Faraj Hassan Katalambula
Back
Top Bottom