Search results

  1. G

    Serekali ya kihuni: DAWASCO kutoza fees kwa watu waliochimba visima vya maji kwao

    Binafsi huwa sipendi mambo ya kuitukana serikali na wanasiasa lakini katika hali ya uchumi ilivyosasa kuna mpango kambambe ushapitishwa na HARUNA MASEBU na wenzake kuwa kila aliyechimba kisima cha maji nyumbani kwake atatozwa fees This is unfair na nadhani its about time tukaanzisha petition...
  2. G

    Tanzania's CAG Report; March 2012

    mbona hajatupatia ripoti ya ATC?
  3. G

    William Malecela: Dissaster waiting to happen

    william nakuomba kaka uje sisi wote ni vijana na nchi inatutegemea
  4. G

    CHADEMA acheni kupoteza muda, Tamko lishatolewa na Mtei

    inatisha sana bado tunasubiri tamko
  5. G

    Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

    nimerudi tena na majibu yangu bado sitochoka
  6. G

    Kimya cha mawaziri kivuli wa CHADEMA

    Hilo la uozo ulipo medical store lina ukweli na limelalamikiwa mpaka na NGO mbali mbali zinatozoa huduma kwenye zahanati na hospitali zetu kama hawawezi kazi hawa mawaziri Free awabadilishe tuu
  7. G

    Ludovic Utuoh anapoficha ripoti zake

    Pasco umechemsha hapo kubali yaishe
  8. G

    Kimya cha mawaziri kivuli wa CHADEMA

    naunga mkono hoja hawa jamaa wako kimya sana
  9. G

    Ludovic Utuoh anapoficha ripoti zake

    Kwa bahati mbaya hoja zako zote zimekuwa clouded by emotion . kulikuwa na ubaya gani ukatoa maelezo bila kutukana na kurusha maneno makali hivyo? Nilitaka kukunga mkono lakini nashindwa na sababu kuu ni 3: 1. Wananchi hawajaelimishwa juu ya hizi ripoti za CAG na ukweli ni kuwa nyingi ni za...
  10. G

    Ludovic Utuoh anapoficha ripoti zake

    matusi ya nini kaka? kata kama tunatofauti haina haja ya kunitukana na naomba radhi sana kama nimekuudhi kwa kusema niliyoyasema kuhusu CAG
  11. G

    Ludovic Utuoh anapoficha ripoti zake

    bump////////////////...........
  12. G

    Kimya cha mawaziri kivuli wa CHADEMA

    lakini hawa mawaziri vivuli wamekuwa invisible kabisaaa huwaoni huwasikii na inaonekana bosi wa Bwana Freeman hakutani nao na akawapa ukweli kuwa wamekuwa invisible inatisha na naogopa sana naona nchi zingine seriali zao zinavyooendeshwa mbio na mawaziri vivuli kwetu wao wame relax tuuu
  13. G

    Ludovic Utuoh anapoficha ripoti zake

    katika hali ya kawaida ofisi yake toka saa 6 usiku ilitakiwa ishapandisha ripoti live kwenye website lakini ukweli ni kuwa jamaa hataki na sijui anaficha nini National Audit Office of United Republic of Tanzania lakini ana mtetetzi wake atakuja kutea hii incompetency yake na ofisi yake
  14. G

    Kimya cha mawaziri kivuli wa CHADEMA

    Waziri kivuli wa afya mbona kimya juu ya ufisadi Medical stores? waziri kivuli wa utamaduni mbona yuko kimya juu ya ufisadi unaoendelea kwenye wizara ya emanuel nchimbi? (serikali kugharamia mazishi ya kanumba, sheria na miswada kuandikwa kwa kiingereza, ripoti muhimu zote kuandikwa kwa...
  15. G

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa na mkewe ambaye ni binti wa mwanzilishi wa Chadema bwana Edwin Mtei Edwin Mtei ambaye ni mwanzilishi wa CHADEMA na pia baba mkwe wake Mwenyekiti wa Chadema bwana Freeman Mbowe (Mbowe kaoa binti yake Mtei) aliyoa kauli ya malalamiko kuwa wajumbe wa katiba mpya wengi...
  16. G

    Ikulu Dar vs Ikulu Nairobi: Membe take a note

    Salva na Sefue wanaweza hii ya jamaa wa Kenya: State House let rip: "The world has changed, and so have our priorities", the diplomats were in effect told. "The countries you represent are rapidly declining in importance. So stop trying to jump the queue. The President's diary is full...
  17. G

    Mkuu wa zamani wa Majeshi ya Ulinzi is NO MORE

    tofauti na Nyerere ambaye jeshi lilimgharimia MABILIONI kumjengea nyumba kwako Butiama na nyumba nyingine msasani na makari kem kem cha kujiuliza nyerere alishindwa vipi kuishi maisha ya kawaida kama msuguri?
  18. G

    Mkuu wa zamani wa Majeshi ya Ulinzi is NO MORE

    Alikuwa na elimu gani?
  19. G

    Ikulu Dar vs Ikulu Nairobi: Membe take a note

    I wish watu wa Ikulu Dar wangekuwa na guts kama hawa jamaa wa Nairobi : ............................................................................................................ What Kibaki's snub means for old Europe There is bad news for those aggrieved European diplomats whose...
Back
Top Bottom