Search results

  1. F

    Kikwete avuruga vita vya mafisadi

    Ha ha haaaa! Yaonesha JMKK ni mgumu kuelewa na mwepesi kusahau!!
  2. F

    Kumbe Katibu Mkuu CCM analipwa Mil11 kwa mwezi

    Sasa huyu poti (Mukama) anajichanganya mwenyewe... mara ooh sijui nalipwa kiasi, ndio kwanza nina mwezi mmoja... mara oooh mshahara ni siri yangu! Ongea mwanamume si unatoka mkoa wa wanaume?! Duuh, kwa mshahara wa Dr. Slaa na CDM yake cha mtoto!!! Mukama analipwa kama expatriate/consultant...
  3. F

    Kikwete na semina elekezi kwa Mawaziri - Dodoma 2011

    Wanapoteza pesa zetu na muda bure. Ni bora wangeenda Loliondo wakapata kikombe, labda watapona huo ugonjwa unaowasumbua. Mawaziri na watendaji wa JMT wanaugua ugonjwa aina ya ukosefu wa akili ya kufikiri, kuamua, na kutenda (UAKUKUKU).
  4. F

    Hivi majukumu ya chuo cha utumishi wa umma(tpsc) ni yepi?

    Chuo cha Utumishi wa Umma (Tanzania Public Service College – TPSC {Tanzania Public Service College - TPSC}), Magogoni, Dar-es-Salaam ni wakala wa serikali aliyeanzishwa mahususi kwa ajili ya kutoa uwezo wa kimaarifa kwa ajili ya watumishi wa umma. Mimi naona badala ya seminar elekezi ambako pesa...
  5. F

    Mkulo anatuongopea?

    Kwa maana hiyo Mheshiwa Mkullo anataka kutuambia kuwa Serikali ya Tanzania ni mchumia tumbo? Makusanyo ni kwa ajili yao tu serikalini? This is very dangerous kwa ustawi wa Tanzania yenye neema!!
  6. F

    Unataka kujua yaliyotokea mpaka lowassa kusafishwa soma hapa.

    Hivi Lowassa ni nani mpaka Jakaya amgwaye kiasi hicho?
  7. F

    Anna Tibaijuka utaweza utapeli wa viwanja wizara yako? Anza na katibu wa sasa

    Nyie mnaomsifia Katibu Mkuu Patrick Rutabanzibwa hamumfahamu sawasawa. Huyu jamaa ni mrasimu sana na ni mnafiki na mtu wa kujipendekeza kwa wakubwa ndio maana Wizara zote alikopitia hakuna maamuzi ya maana yaliyofanyika. Tangia ameingia Wizara ya Ardhi hakuna jipya kafanya; mazuri yote...
  8. F

    Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

    Mimi nimependa namba 1, 5, na 11. Wasingekuwemo kwenye uteuzi huu, ningelisikitika sana.
  9. F

    Elections 2010 Kikweteee!

    Jaji Makame choka ile mbaya; 2015 hafiki!!!!!!!!!
  10. F

    Elections 2010 Ombi kwa professors na wasomi wa Tanzania

    Hata mimi huyo Jasson Rweikiza hapo Bukoba vijijini ajiandae kwa kimbunga hapo 2015 kwani nafahamu naye ni kama Karamagi; hatafanya lolote la maendeleo kwa wana Bukoba vijijini.
  11. F

    Elections 2010 Jamani just a curiousity did the US congratulate Kikwete?

    Obama mwenyewe bado ana maumivu ya chama chake cha Democrats kupoteza usukani wa Congress huko kwake. Ana hali ngumu sana uchaguzi unaofuata anaweza kupoteza urais; labda aombe mbinu za wizi kwa Kikwete maana hali inayomkabiri ni kama hii aliyokuwa nayo "mzee wa mvuto" lakini kapeta!
  12. F

    Elections 2010 Je Baregu, Marando walimsaidiaje Dr Slaa kuhusu wizi wa kura na uchakachuaji matokeo?

    Tatizo ni kwamba mbinu za wizi wa kura za mwaka 2010 ni tofauti na za 1995. Hawa CCM wanabadilika kama vinyonga. Ndio maana nasema CCM mzuri ni yule aliyekufa.
  13. F

    Elections 2010 CCM Ughaibuni mko wapiiiiiiiiii?

    Hawa wana CCM walioko huku ughaibuni hawana kitu. Kazi zao kusafisha vyoo na nnya za wazungu; hata kazi ya kusafisha barabara hawawezi kuipata huku! Au mnataka niwatajie majina yao?
  14. F

    Elections 2010 SECRET PLOT REVEALED: Kikwete aongoza, Lipumba wa pili, Slaa wa tatu

    Ndo maana nadiriki kusema kuwa ccm mzuri ni yule aliyekufa. Lakini hawa ambao wako hai wote akili zao zinafanana, kuwa chama bora ni ccm hata kama alama za nyakati zinasema sivyo!!!
  15. F

    CCM: Jembe na Nyundo ni alama sahihi kwa nyakati?

    Waweke alama ya shilingi ya Kitanzania, ikiwakilisha wafanyabiashara; na alama ya baba, mama, na mtoto wakiwa wameshikana mikono, ikiwakilisha familia.
  16. F

    Elections 2010 Jamani CCM inatisha!!!

    Aisee inatisha sana. Hii documentary inabidi kumpelekea Ocampo, yule mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Uhalifu wa Kivita, The Hague, ili amkamate JK na mkewe, Makamba senior, Said Mwema, Pinda, Mwinyi junior, etc.
  17. F

    Elections 2010 GDP ndiyo kipimo cha Umaskini, Dr. Slaa alikuwa sahihi?

    Huo mtandao anaotumia Zawadi siyo authority katika masuala world economics. Namshauri atembembelee websites za IMF, WB, UNCTAD na ILO atajifunza zaidi. Lakini vile vile akumbuke ya kwamba kuna njia zaidi moja ambazo zinatumika kukokotoa GDP per capita, na kila moja inatoa figures tofauti...
  18. F

    Elections 2010 Unaupa point ngapi mdahalo (hotuba) ya JK? - Toa sababu...

    Time is money; ametupotezea muda wetu bure kwa sababu hakuna jipya, hivyo anakuwa penalized. Mini nampa -15% (minus 15 percent)!
  19. F

    Elections 2010 GDP ndiyo kipimo cha Umaskini, Dr. Slaa alikuwa sahihi?

    Zawadi hicho unachoongelea siyo GDP (ambalo ni pato ghafi la Taifa) bali ni GDP per capita (pato kwa kila Mtanzania). Huu mtandao siyo offcial; tembelea websites za World Bank, IMF, au UNCTAD utaelewa vizuri somo hili zaidi. Lakini vile vile inategemea Dr. Slaa alitoa takwimu kwa kubase kwenye...
Back
Top Bottom