Search results

  1. Travis 1

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Kama unapenda utulivu ni sehemu nzuri sana ya kwenda. Usiende siku za events tu, kuna bar nyingi sana ziko overrated but velvet wamejitahidi sana kuitengeneza. Wanafail kwwnye marketing tu.
  2. Travis 1

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Yeah! Si kama zamani, 2022 nikuwa hapo, na ndani watu walikuwa wengi sana. Entrance ilikuwa 20K
  3. Travis 1

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Inaitwa Velvet, jamaa wameinvest sana shida ni haina strong marketing team. Pia triple 7 bado iko.
  4. Travis 1

    Mo Dewji afunguka kutekwa kwake kipindi cha Hayati Magufuli

    Binafsi nimeshawahi shuhudia Bibi yangu Mlokole alikuwa anafunga mpaka siku 7 bila kula.
  5. Travis 1

    Mtazamo wangu kuhusu Mahojiano aliyofanyiwa Rais Putin

    Mkuu, huyu ni wewe? Kama si wewe nani amemuiga mwenzie?
  6. Travis 1

    Msaada wa ramani ya nyumba za wapangaji

    Naweza pata design ya studio apartment?
  7. Travis 1

    Prof. Janabi: Kujifungua Mtoto 'Bonge' si nzuri Kiafya

    Watu wanvyoendelea kumbishia hivyo, Ninachompendea Profesa huwa habishani nawajinga, atakwambia tu Gharama za matibabu then ufanye maamuzi.
  8. Travis 1

    Don Shkuba Yupo Huru

    Mpaka umetumia jina la huyo mtukutu😂. Nowadays naangalia “Fringe” yupo Alvarez pia.
  9. Travis 1

    Don Shkuba Yupo Huru

    Rangers watamuua kabla hajafanya hivyo😃.
  10. Travis 1

    Don Shkuba Yupo Huru

    One of my best series. Humo ndani kuna balaa la Emelard city 😃.
  11. Travis 1

    Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

    Atakuwa na ID nyingine. Ni ngumu sana kuachana na JF moja kwa moja.
  12. Travis 1

    Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

    Hii inanikumbusha battle kati ya CCNP Engineer na Humble African watu walipost mpaka vyeti kuonyesha ukipanga wao. I miss those days.
  13. Travis 1

    Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

    Wapo wengi sana, sema ni vipanga. Nenda Instagram page ya Tansao ujionee.
  14. Travis 1

    Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

    Diamond alitamani kumpeleka mwanae IST lakini mfuko haujaruhusu 😂 (Joking)
  15. Travis 1

    Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

    Mkuu, hivi unafahamu Technology inayotumika in the military huwa ni more advanced kuliko hii yetu? Imagine AI sasa
Back
Top Bottom