Search results

  1. Nafaka

    Usiombe ukutane na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza

    Aisee ikitokea umekutana na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza wengi ni much know. Niko na dogo hapa kamaliza mwaka wa kwanza anasoma masuala ya security yani yeye kila kitu anasema anaweza hack iwe gmail, wi-fi, mitandoa ya simu atumie net bure, anakwambia gmail haiko secure, instagram anaweza...
  2. Nafaka

    Wakenya kwa masuala ya directing na kuandaa filamu wako ahead of us

    Mimi si mpenzi sana wa filamu za kiafrika labda za South na zimbabwe kama neria, yellow card, Jerusalem na nyingine na soap operas kama isidingo n.k. Ila kuna baadhi ya tamthlia za kenya nilianza kujikuta nazipenda miaka hiyo ya 2014/15 kwa dstv lakini nilikuwa nimemezwa zaidi na series...
  3. Nafaka

    Huduma gani ya Virtual US address bora for shopping?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, ni huduma gani ambayo inatoa virtual US addresa bora na affordable for package consolidation kwa ajili ya shopping? Nataka nikinunua vitu amazon viende huko zikifika package zote ndio waziship kuja kwangu. Na je, wakati wa shipping mimi ndio nachagua...
  4. Nafaka

    Ukiaminiwa aminika: Kuvunja uaminifu kulivyosababisha Kifo

    Kisa cha kwanza Leo nimemkumbuka jamaa yetu fulani ambaye miaka mingi iliopita alikuwa mfanyabiashara kijana. Alikuwa akifuata mizigo Uganda na kuuza TZ. Mungu akambariki akanunua Fuso mbili za mizigo na gari moja la kutembelea. Akajenga nyumba yake na kwa umri wake na mkoa alipokuwa, alikuwa...
  5. Nafaka

    Jinsi Mpesa ilivyofanikiwa Afrika ikashindwa kwenye soko la Ulaya - Funzo wa madevelopers

    Katika ubunifu ambao umefanikiwa sana Afrika ni mobile money hasa ikizaliwa kutoka Safaricom Mpesa. Ubunifu huu tofauti na ubunifu uliozoeleka kuanzia ulaya ukaletwa Afrika, huu ulitengenezwa mahususi kwa mazingira ya kiafrika na ndio maana mbile money imefanikiwa sana afrika. Vodafone kuona...
  6. Nafaka

    Mauaji ya Darlene Krashoc - Muuaji akamatwa baada ya miaka 40

    Darlene Krashoc alikuwa na ndoto ya kuwa mwanajeshi tangu angali mtoto. Alitaka kuwa kama mama yake ambaye naye alikuwa mwanajeshi na hivyo aliwataarifu wazazi wake kuwa anataka kutuma maombi ya kujiunga na jeshi kabla ya kumaliza masomo yake ya sekondari. Kupatikana kwa Mwili wake Kipindi...
  7. Nafaka

    Mwenye kujua mkali mwingine wa kuzalisha songs za EDM kama Alan walker

    Kwa wale wapenzi wa nyimbo za EDM kuna mkali mwingine anazalisha mangoma kama ya Alan Walker anitajie maana ukiacha ngoma za kusikitisha ngoma nyingine ninazozielewa ni EDM..
  8. Nafaka

    Agricultural Manager, Tanzania - mshahara kuanzia milioni 7 hadi 10 na other benefits

    Location - Tanzania Salary - USD3000 to USD4000 plus accommodation, vehicle and medical aid, depending on experience Our client is a large established agricultural organisation who is looking for an additional 1 or 2 Agricultural Managers to join the team in Tanzania. Our client is a...
  9. Nafaka

    Makaburi yenye kina kifupi - Mauaji ya Familia ya MCStay

    Hiki ni kisa nilichoanza kukifuatilia mwaka 2012, japo familia ilipotea mwaka 2010 na haikujulikana wamekufa au wametoroka hadi mwaka 2013 ambapo mabaki ya miili yao yalipatikana yakiwa yamezikwa jangwani. Baada ya uchunguzi Bw. Charles Merritt ambaye alikuwa rafiki wa Joseph Sr alipatikana na...
  10. Nafaka

    Denise Williams - Mwanamama aliyepanga mauaji ya mumewe ili alipwe bima yenye thamani ya dola milioni 1

    Tarehe 16 Desemba, 2000, Jerry Williams ambaye alipendelea zaidi kuitwa Mike alitoka nyumbani Tallahassee, Florida majira ya asubuhi kama kawaida yake kwenda kuwinda bata maji lakini hakurejea nyumbani. Mike alikuwa amefunga ndoa na Denise Merrel ambaye walisoma wote katika shule ya upili ya...
  11. Nafaka

    Utafiti wagundua namna ya kumfanya mzee awe kijana na kijana kuwa mzee

    Maabara ya Boston imeweza kumfanya panya aliyekuwa mzee haoni kuweza kuona, misuli yake kupata nguvu, ubongo wake kuweza kufanya kazi kwa haraka na mwili wake kurudi katika hali ya ujana huku ikimfanya panya kijana kuwa mzee. Utafiti huu umehitimisha kuwa, uzee ni mchakato unaoweza kurudishwa...
  12. Nafaka

    Naomba kujua bei ya frameless glass doors

    Wakuu nilikuwa naomba kujua gharama za frameless glass doors kwa sqm. Mfano wake hizi za bafuni
  13. Nafaka

    Utapeli wa SBF - FTX lilikuwa jukwaa la kutakatisha fedha haramu na utapeli kuptia mgongo wa cryptos

    1. Wakati FTX wanafanya fundraising, Sam Bankman Fried (SBF) alichukua yeye binafsi kiasi cha dollar za kimarekani milioni 300 kati ya 420.69 zilizokusanywa kutoka kwa wawekezaji. 2. Mwezi wa tatu mwaka huu, SBF alikutana na kufanya kikao cha siri na mwenyekiti wa Federal Reserve, Jerome Powell...
  14. Nafaka

    Chinese city in Afghanistan

    Wachina ni watu ambao ni risk takers, baada ya Wamarekani kuondoka afghanistan, wajasiriamali kutoka China wamekuwa wakikimbilia huko wakidai kuwa Afghanistan kwa sasa ni kama China ilivyokuwa 1980s yani fursa kibao. Wengine wamewekeza kwenye mahotel, wengine kwenye biashara ya kuimport vitu...
  15. Nafaka

    DAWASA kuna nini? Maji yamekuwa ya shida sana

    Yapata siku ya nne leo katika baadhi ya maeneo ya Tegeta mpaka Bunju maji hakuna. Watu wanahangaika kusaka maji. Halafu utasikia waziri anapewa sifa kweli lakini kila siku maji sehemu mbalimbali utasikia shida. Au ndio kuna mgao wa maji
  16. Nafaka

    Tiktok inatuhumiwa kuchukua 70% ya donations ambazo wanatumiwa wakimbizi

    Watoto ambao ni wakimbizi huko Syria wamekuwa wakitengeneza videos ambazo wanaziweka Tiktok kisha watu wanaweza kuwatumia vitu vinaitwa diamonds ambavyo wanaweza kuvibadili kuwa pesa na kuitoa. Lakini, Tiktok huchukua 70% ya hizo donations na pia agent ambapo wanaenda kutoa pesa nao wanawakata...
  17. Nafaka

    Artificial Intelligence rapper-FN Meka dunia hii

    Hii ngoma hapa mmiliki wake ni artificial robot aliyekuwa signed na record label kubwa. It is all AI naona ufake umeingilia mziki. Soon tutaona artificial movies
  18. Nafaka

    Elon Musk Apiga chini deal la kuinunua Twitter

    Tajiri namba 1 duniani mwenye mbwembwe amejichomoa kwenye deal la kuinunua Twitter kwa malipo ya $44 bilion. Wakili wake anasema Twitter wameshindwa kumthibitishia madai yao ya kuwa idadi ya fake accounts ziko chini ya 5%. Lakini kulikuwa na kipengele kuwa asipomaliza deal itabidi awalipe $1...
  19. Nafaka

    Jifunze jinsi ya kuingiza kipato online bure kabisa

    Nimekuwa nikifanya freelancing kwa zaiid ya miaka 7 sasa. Nilikuwa na bado uwa naendelea kushare na watu humu tips za freelancing na mambo mengine lakini weekend ijayo nimejisikia kushare nanyi tips zaidi. Hivyo kwa wale watakaopenda kushiriki, nitafanya online mentoring kwa 1 hour kupitia...
  20. Nafaka

    Mwaliko wa Harry kwenda kwa familia ya William wapotezewa

    Harry alimwalika William na mkewe pamoja na watoto wake katika tafrija ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto Lili lakini William na familia yake hawakutokea kabisa. Inaelekea bado kuna mvutani kwenye hiyo familia ya kifalme. Harry na mkewe ilibidi warudi US siku ya Jumapili baada ya kuhudhuria sherehe...
Back
Top Bottom