Search results

  1. Nafaka

    Ongeza kipato chako kwa kupitia simu au PC (Personal Computer) yako

    Oooh poa. Vni ngumu sana kufanya bado watu hawajawa na uelewa wa kutosha clients na freelancers.
  2. Nafaka

    Introducing New Range Rover Sport

    Ni ya TATA group ambayo mmiliki ni Ratan Tata mhindi. Huyu mhindi taarifa inasemekana angekuwa mmoja kati ya watu matajiri sana labda hata wa kwanza ila faida kubwa ya kampuni yake inatumika katika kufund shughuli za kijamii dunianj kama elimu, afya n.k duniani na yeye mapato anayochumiliki ni...
  3. Nafaka

    Introducing New Range Rover Sport

    Aliinunua sio partnership bali aliinunua mkuu na kuunda jaguar landrover.
  4. Nafaka

    Introducing New Range Rover Sport

    Hivi bado mmiliki ni TATA?
  5. Nafaka

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Ngoja waje watow mwongozo. Biashara ingekuwa rahisi hivi basi bila shaka unachukua mkopo bank ndani ya miez 3 umerudisha.
  6. Nafaka

    Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

    Kama wengine walivyoondoka wakatushitaki tukalipa mabilioni au sio
  7. Nafaka

    Tanzania ni nchi pekee duniani inayopuuza tamaduni zake

    Inawezekana lakini kukubalika kwa watu wote si rahisi. Hivi mguu unajua like vazi la asili la wanawake wa kiganda linaitwa guma kumbe alilibuni mzungu kama uniform ya wanafunzi wa shule aliyokuwa akiiongoza enzi za ukoloni
  8. Nafaka

    Kitu gani kitanizuia kuwa Kama Elon Musk

    Kwani michael jordan ni mweupe kama elon? Mimi namwowngelea elon musk mweupe yule na haijawahi kuwa proud kuwa ni mwafrika. Anaji refer zaidi being Canadian kuliko hata usouth african.
  9. Nafaka

    Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

    Hata mimi sikubaliani na mkataba kabisa ila hii approach inaleta mgawanyiko na wateteaji wanaitumia vilivyo. Maaskofu wangeendelea kupga kelele kivyao
  10. Nafaka

    Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Ni kweli alisema hivyo na ndio maana akasema alikuwa anamwini sana hussein mwinyi na ndio maana kwenye awamu yake ya kwanza akamfanya kuwa waziri wa ulinzi. Ilikuwa kwenye mkutano wa ccm.
  11. Nafaka

    Napitia magumu na makubwa moyo unaniuma natamani kuchukua maamuzi ila sina nguzo imara ya kusimamia naombeni ushauri

    Achana naye. Narudia tena achana naye uumie sasa ila ukiendelea naye ndio ujue wewe ni mtumwa wa mapenzi
  12. Nafaka

    Ongeza kipato chako kwa kupitia simu au PC (Personal Computer) yako

    We ndiye ulikuwa unamiliki ile platform ya freelancers ambayo mlifanya baraka ambasador?
  13. Nafaka

    Ongeza kipato chako kwa kupitia simu au PC (Personal Computer) yako

    Hata mimi nlitaka kusema hivi ila ikabidi nikae kimya. Haiwezekani kutengeneza hata dollar 400 kwa mwaka mzima huko. Tasks zake zina ela ndogo sana kama mtu anavyoona hapo. Ila ni vile watu wanataka earn via referrals walau wapate kidogo cha kutoa
  14. Nafaka

    Nape Nnauye abadilishwe Wizara haraka sana

    Mkuu sorry nataka nikuulize jambo, magila tech yuko connected vipi an E-GA? Nilimwona juu kwa juu na kampuni yake lakini sikipata details za kutosha.
  15. Nafaka

    USHAHIDI: Leo nimeamua kui-challenge ChatGPT kwenye uwezo wa kusuka algorithms lakini nadiriki kusema 'AI is not yet super helpful'

    Mkuu chatgpt ni LLM hata ikiandika kweli ukaiambia umekosea itakubali na kuapologize hili ni jambo nalishuhudia kila siku napokuwa naitumia. Halafu pia chatgpt inajifanya sometimes kujibh kila swali kumbe inakupeleka chaka. Kuna articles nilikuwa naziandika so naitumia initaftie relevant...
  16. Nafaka

    Kitu gani kitanizuia kuwa Kama Elon Musk

    In reality akizaliwa Afrika na makaburu. Si mwafrika yule
  17. Nafaka

    Binti aliyeniacha 2020 kisa kupoteza kazi. Amerudi 2023. Nishaurini hapa

    Acha ubwege.... Kakurudia kwa sababu katendwa maana yake asingetendwa asingekurudia. Tafsiri ni kwamba, plan A imemkimbia wewe kwake ni plan B siku akioata tena plan A atakutosa. Eti umwache huyo mjamzito, kwa kosa gani? Kwenye mapenzi sometimes tumia akili sio hisia utaumia. Kama waona inakuuma...
  18. Nafaka

    Picha: Jamaa Dubai ghafla akutana na Mfalme ndani ya lift

    Sheikh Maktoum inaelekea ni jamaa simple sana. Hata mwezi uliopita ghafla akaingia mgahawani watu wanakula basi full kuomba selfie na jamaa wala hana noma.
  19. Nafaka

    Hizi ndizo bidhaa original toka enzi

    Sabuni yangu pendwa. Nilirithi toka kwa mzee wangu maana ndio ilikuwq sabuni yake toka najitambua mpaka anaaga dunia mwaka juzi
Back
Top Bottom