Search results

  1. M

    Msaada kurekebisha nokia asha 302

    Uliapudate new version kivp mkande classic
  2. M

    Msaada kurekebisha nokia asha 302

    Yan app zote za network na intanet hazifunguk zinastak tu
  3. M

    Msaada kurekebisha nokia asha 302

    Wadau napenda kutangulza shukran zangu za dhat kwenu! Nimekua nikipata msaada zaid kupitia nyinyi!!! Leo nimekuja na mada nyingne. Nina sim angu aina ya asha 302 ilikua ikifany kaz vzur ila kuna siku nikiwa katka matumiz ya intanet cm ili stuck ksha ikaandka conflict in OS. Nlijaribu kutoa betr...
  4. M

    Naomba msaada jinsi ya kuinstall whatsapp plus kwenye tecno p5

    SAIV NAINJOI NA WASAP PLUS KWNYE TECNO H5!! Mwl.RCT ahsante sana
  5. M

    Naomba msaada jinsi ya kuinstall whatsapp plus kwenye tecno p5

    Wadau nahitaji whatsapp plus lakin kila nikii itafuta playstore na other unknown source siipati!! Kama kuna m2 anaweza nipa direct link pls naomb ani2miae!!! Ahsanten
  6. M

    Msaada jinsi ya ku root tecno h5

    Kuroot ni risk sana kama huna ujuzi! Tayar kitecno changu kisha kuwa kimeo! Kinajizizma na kujiwasha chenyewe smtimes hakijai chaj!!! :(
  7. M

    Naweza kubadili windows phone kuwa android?

    Window ndo software sio window mobile wala window phone! Otherwise kuna window dell ambayo ni sw pia
  8. M

    Naweza kubadili windows phone kuwa android?

    Umekariri wewe!! Tena ukijitizama wew ndo upo cha kike!! Hujui hata masim ya ttcl yale ya kulipia barabalan nayo ni phone??? Neno mobile ndo unakua specific sio phone cos neno phone lipo general sana
  9. M

    Real & Perfect ways of making mean money online

    Sasa mkuu blogs na website si ndo nyenzo za kukuweka online??? Au unamanisha nin kufanya kaz online???
  10. M

    Kwanini usifanye hivi kupata data zaidi kwa siku?

    Nina wik 3 sasa lain ya voda cjui hata ilipo
  11. M

    Tusapotiane watanzania

    Wanajamvi kuna application nimetengeneza inaitwa ''masaba chat'' ila bado sijai publish kwenye play store wala amazon store sababu nikutaka kujua ubora wa application yangu na inaweza kusapot sim gan na haisapot sim gan!!! Nataka kujua hayo yote ili niimalizie kuiediti na kisha kuiweka sokoni...
  12. M

    Kuhusu shujaaz fm kuna ukweli au tumefumbwa macho

    Hivi majuzi nimekutana na mapromo kibao kuhusu kijana wa miaka 19 anaejiita dj tee kufungua kituo chake cha redio geto kwake , inavo semekana eti ana rusha matangazo yake kwa ku hack airwave za redio nyingine!!! (Hapa nilimsifu sana, niliona tunakua kiteknolojia na ana jiita dj tee sababu hatak...
  13. M

    Msaada jinsi ya ku root tecno h5

    Ndo unipe mwongozo mkuu cjui nianzie wapi
  14. M

    Msaada jinsi ya ku root tecno h5

    Wanajamvi nina simu aina ya tecno h5 android version 4.2.2 (jelly bean ) nataka kuiwekea rom mpya ya kitkat 4.4.2 naombeni msaada jinsi ya kuroot iyo cm na kuweka custom rom inayo faa nisije uwa simu angu! Pia ningependa kujua app ipi ya ku root mungependekeza niitumia kulingana na sim angu...
  15. M

    Msaada: Jinsi ya kutengeneza bomu

    Nifundishe jinsi ya kutengeneza bom kwa ku2mia unga wa risasi za bunduki??? :)
  16. M

    Ni Laana kwa Afrika kufuta vibali vya Uchawi na Uganga Tanzania

    Wew unalaana kama sio laana kwenu ni wanga sugu! Ebu tuambie anaetukaza uchaw na anae mwamin Mungu nan yupo gizan??? Hapa elimu ni zero!!!!! Haiwezekan utukuze uchawi katika karne ya wasomi!! :( ok Tunaomba utuambie we tangu umekua mwanga umefanya kipi cha maana??? :) Usipanic nijibu kiroho safi :)
Back
Top Bottom