Search results

  1. ZLATAN

    Yupo wapi Adamu Mubago wa 5 celebity ya channel 5?

    ndundu mwingine chapa mamba
  2. ZLATAN

    Madhara ya mbuzi kagoma

    elli, usichanganye staili ya mbuzi kagoma na mambo ya sodoma, elewa mada vizuri.
  3. ZLATAN

    Madhara ya mbuzi kagoma

    bora umenena mkuu, watu wanachanganya staili ya mbuzi kagoma na mini kabaaang, unaweza kumuweka mbuzi kagoma lkn mini kabaaang uctumie.
  4. ZLATAN

    Pendekezo:Kikosi maalum cha kupambana na ugaidi

    uchonganishi ndugu yangu, una ushahidi?
  5. ZLATAN

    Mrundi afungwa mwaka mmoja nchini Uingereza kwa wizi wa debit card ya bibi kizee na kutoa pesa

    Dr. Deborah amepiga na cousin wake, ambaye ni Mtanzania wakati huo wapo UK, yule aliepiga nae picha ndio Mwamvita Gozza mwenyewe. Natumai umeelewa.
  6. ZLATAN

    Mrundi afungwa mwaka mmoja nchini Uingereza kwa wizi wa debit card ya bibi kizee na kutoa pesa

    Mambo ya ngoswe aachiwe ngoswe, dada mzuri waache vijana wa shekilango watakujeruhi kwa maneno, naona wanabishana na ukweli, sasa sijui wanataka uanze kuwatajia ndugu wa mwamvita aliyeko huko au kaka yake aliyebaki hapa ili wajue unajua kuwa mwamvita ni mtanzania na chori. CC: CHOMBA...
  7. ZLATAN

    Waziri wa Kenya aidharau Tanzania

    Sasa huo mkutano ulikuwa ni wa kuwaambia Watz ukweli ama? Sasa kulala kwetu si ndio faida kwao! Sidhani kama huyo jamaa anaipenda Tz kiivo mpaka atuambie ukweli, kana kwamba anataka tuchangamke tuinuke ili tuendelee kama wao au hata kuwazidi. Halafu mwisho wa siku iweje? Hizi ni kauli za wivu...
  8. ZLATAN

    Tweet ya CCM yenye Kingereza Kibovu iliyogeuka Kichekesho Kenya!

    Ni kweli mfalmee. Watu wanachangia kishabikiii. Nani asiyekosea humu? Watu mnajiona kama malaika. Tuache izo, kisa wewe mpinzani upo humu kuiponda CCM. Unakosoa utafikiri wewe ndo mwanzilishi wa hiyo lugha! We umeisoma tu kama huyo alieandika na hata hao Wakenya maf@l@... shw@ini
  9. ZLATAN

    wale wa mizigo kazi kwenu

    Hahahaaa, mwanangu hilo likij**ba saa 2 ushuzi unatoka saa 4...
  10. ZLATAN

    Asante wana Jamii/Mke wangu sasa kashika Mimba.

    we ni mjinga kama sio punguani. Kwani huyo aliyekupeleka wewe ukapate dawa, alikupa hayo masharti unayotuletea hapa? Tabia za kiswahili hizo. Kwani huyo mtaalam alikwambia dawa zake ni kwa wale wasio wagumba? Pili, wewe kuwa msemaji wa huyo mganga, ni ridhaa yake? Ama kweli maskini akipata...
  11. ZLATAN

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    Makala Jr, sio lazima usipoota leo kesho huwezi kuota. Aliposema hakuwa na ndoto ya Urais si kwamba hawezi kuiota. Mambo hubadilika na hata wewe usichokipenda leo kesho unaweza kukipenda, inategemea tu ni ushawishi gani umeupata na pia mabadiliko ya wakati mzee. Tusiwe na mawazo mgando bana....
  12. ZLATAN

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    Acha fikra mbovu na finyu... Nani kakwambia uraisi unasomewa??? Mtu yeyote na mwenye akili timamu, elimu ya kutosha anaweza kuwa rais we f@l@...
  13. ZLATAN

    Kikao cha siri cha Kaguta, Kagame na Kenyatta (tripple K) chaamua mambo mazito...

    Hata mimi nakuunga mkono ndgu, hebu tiache uoga, kwani bila ya wao hatuwezi endelea? Rasilimali tunazo nyingi sana hata bila ya huo umoja. Wivu umewajaa tu hao kuona mataifa makubwa yana interest na sisi. Kikubwa tujipange tu wenyewe na sera nzuri ili hata wanakuja nasi tufaidike
  14. ZLATAN

    Taarifa kwa umma mauaji ya mwanachuo wa Chuo cha Uhasibu Arusha

    Duh, Lema aliitwa akasaidie utatuzi!!!! Dah hao wanachuo kweli waliishiwa kufikiri. Sasa mbona alivokuja hakusaidia chochote, zaidi ya kuwakimbia wahanga pindi polisi walipokuja!!! Jamani raia tatizo likitokea msiite wanasiasa, toeni taarifa kwa vyombo vya usalama. huyo Lema sana sana angekuja...
  15. ZLATAN

    Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

    Timing usitegemee "new move" kuwa na mafanikio wakati old move hazifanyi kazi. We unafikiri hiyo bandari mpya itaendeshwa na nani tofauti na hizi za zamani zilizopo? Maendeleo sio kama mchezo wa kununua nguo mpya pale inapochanika ya zamani.. Hiyo mpya haitokuwa na maajabu ili ilete mabadiliko...
  16. ZLATAN

    Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

    Mkuu Fisi2 nashukuru kwa majibu yako uliyoyaleta hapa ingawa mimi nabaki na maswali mengi kichwani.. Hivi gharama za ujenzi wa bandari mpya unaweza ukawa chini ya upanuzi wa bandari iliyopo? (Bagamoyo vs Tanga) Pili unataka kuniambia kuwa Bagmoyo iko vizuri kimiundo mbinu zaidi ya Tanga? Tena...
  17. ZLATAN

    Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

    Sasa mjomba, umekuja tusimulia clip ile au ulitaka tuonyesha nini hasa? Huo utaalamu ulioutumia mbona hujasema ni upi zaidi ya kutuwekea dakika za vipengele vya ile clip ??? Au nawewe ulishiriki ktk kuandaa hiyo filamu? Hebu tuambie mna lengo gani na kwa manufaa ya nani?
  18. ZLATAN

    SMS hizi! Ungefanyaje?

    Dah mwanangu hii kabambe, tehe tehe teheeee
Back
Top Bottom