Search results

  1. michibo

    Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

    Kwani anawajibika kwako?
  2. michibo

    Ikiwa tumekufa tutaweza kutambua kama tumekufa?

    Roho haina ufahamu wowote, chenye ufahamu ni ubongo tu..... ndiyo maana roho zote kama mkienda huko mbinguni ziko sawa wala hazina akili.
  3. michibo

    Sababu za kufubaza udhaifu wa viongozi waliopo, ni pamoja na kumsema Hayati Magufuli alikuwa mporaji

    Hao unaoita wenye akili timamu huwa sio wapiga kura.
  4. michibo

    Mbunge Kaboyoka amesema Kamati ya PAC inashughulikia Ripoti ya CAG na wahusika hupelekwa Mahakamani!

    Mbunge wa CHADEMA Viti Maalum (kesi ipo mahakamani), sawa.
  5. michibo

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    Azam ni timu kubwa?
  6. michibo

    Leo nimekula mihogo mitamu na laini kama keki maeneo ya Mbuyuni

    Na huo ndio Uzalendo wa Kitanzania, mihogo oyeeee!!
  7. michibo

    Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ni Kansa kwa Wafanyakazi

    Tayari tushachapisha fulana za Mei Mosi, unavaa size gani?
  8. michibo

    Nilipopanga kuna wadada muda wote wanasema tap tap screen, nimakelele tupu

    Hatimae umehama kwa shemeji yako au umefurushwa?
  9. michibo

    Hii ndio bajeti ambayo haikosagi hela toka Serikalini

    Kwamba hadhi ya kiongozi na mpiga kura ziwe sawa?
  10. michibo

    Hii ndio bajeti ambayo haikosagi hela toka Serikalini

    Mkuu, ni kuendesha serikali.... asalimia zaidi ya 50 ya bajeti huwa ni 'matumizi' mengine.
  11. michibo

    Watu wanaogopa kujaribu mambo mapya?

    Kama tu unaweza kuvunjwa moyo na maneno ya watu wengine basi hutoshi kwenye safari ya mafanikio.
  12. michibo

    Hii ndio bajeti ambayo haikosagi hela toka Serikalini

    Ni lini serikali ilikosa fedha za uendeshaji?
  13. michibo

    Mo Dewj asema atazungumza na Wana Simba Instagram ili Wafanye usajili wa kishindo

    Ukiwa tajiri raha sana, wengine unawaona kenge tu.
Back
Top Bottom