Search results

  1. Sir_Mimi

    Konk Konk Konk Master Oil Chafu...........

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  2. Sir_Mimi

    LG Nexus 5X!

    Habari wakuu! Nimepata majanga simu zangu zimeharibika zote kwa wakati mmoja yaani zimepishana kwa masaa tu. Infinix S2 Pro imevimba battery,Samsung J3 Prime imekata moto ghafla.Infinix nimeipeleka service center yao battery wanasema hawana nisubiri 2weeks Samsung mafundi wanasema imekufa...
  3. Sir_Mimi

    Zijue faini mpya za makosa ya uchafuzi ktk jiji la Dar

    Nimeipenda sana No 9.sasa unaruhusiwa kujisaidia haja kubwa na ndogo popote unapotaka ktk jiji la Dar es Salaam maana makosa hayo kisheria hayana faini.... Jionee mwenyewe hapo chini[emoji116] [emoji116] [emoji116] Enjoy your life!!!
  4. Sir_Mimi

    Unfortunately, Google Play service has stopped

    Habari wakuu,naomba kusaidiwa hili tatizo kwenye simu Samsung Galaxy Note3 imeanza huu mchezo tangu juzi.inatokea hivi kila nikifungua Play store,msaada wenu tafadhali.
  5. Sir_Mimi

    Jela sio pazuri..........

    Kila tutendalo duniani iwe ni kwa haki/sii kwa haki lazima tujue hakuna aijuaye kesho yake inafafanaje!!!kama hawa wawili,kipindi wana-sign makaratasi ili kupiga{sihukumu ila ndivyo wanavyosomewa huko mahakamani}na kisha kwenda kuishi kama malaika hapa kwenye mgongo wa nchi hapana hata mmoja wao...
  6. Sir_Mimi

    Tanzania Vs Russia

    Huyu jamaa Said Michael ana akili sana
  7. Sir_Mimi

    Msaada king'amuzi cha Azam

    Kifurushi changu kimeisha sasa nataka nitumie flash kwenye king'amuzi but movie hazichezi.sasa nataka kujua hadi niwe na kifurushi ndo niweze pia kutumia USB kwenye hiki king'amuzi au kuna sehem nakosea?maana files naziona mtihani kuzi-play.msaada wakuu
  8. Sir_Mimi

    Wife is wife...doesn't matter who u r,angalia mpaka mwisho

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwisho na kumshukuru utamshukuru!!!
  9. Sir_Mimi

    Kijana tafakri kwa umakini........

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. Sir_Mimi

    Katuni inasema...

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. Sir_Mimi

    Naomba kufahamu utofauti ktk hizi speakers

    Wakuu naomba mwenye ufaham wa hizi speakers anifafanuliehizi hazina kishimo[emoji115] .hizi zina kishimo. Zote ni 50Watts,je zina utofauti wowote kwenye ufanyaji kazi wake?pia ni zipi bora zaidi?asante
  12. Sir_Mimi

    Weekend inaanza hivi........

    Fomu za benki zinakuwa na maswali na wateja wanajibu maswali ,ndugu mteja kajibu swali anakwenda KUNYWEA POMBE
  13. Sir_Mimi

    Wazazi tuwe makini na malezi ya watoto wetu

    Hapa ninapoishi jirani kuna ki-dispensary kinachotoa huduma ndogo ndogo kama kupima malaria UTI etc,muda sio mrefu kuna mtoto alikuwa anapatiwa huduma{nahisi kuchomwa sindano}sasa wakati zoezi hilo likiendelea huyu mtoto ambaye kwa kumkadiria nahisi hata miaka mitano bado hajafikisha kwa ile...
  14. Sir_Mimi

    Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za NHIF

    Habari za weekend wakuu,naomba kwa anayejua anielekeze zilipo office za shirika la bima ya afya NHIF kwa Dar es salaam,nasikia ziko Mwenge itafaa nikiambiwa kwamba ziko mtaa gani hasa.nawasilisha
  15. Sir_Mimi

    Mtuhumiwa mkaidi.......

    .
  16. Sir_Mimi

    Get ready for this after marriage.....

    Kwenye ndoa hakuna sijui baby nikumbatie ili nipate joto lako hayo yanaishia kwenye uchumba.
  17. Sir_Mimi

    Options hizi zina madhara gani?

    Simu yangu Infinix S2 Pro nimeruhusu "developer options" nikaivuruga hapa[emoji116] Nika-select off ktk hizi sehemu tatu kama hivi[emoji116] Naona simu imekuwa na speed kweli kweli sasa wakuu kwa hivi kifaa changu hakiwezi kupata damage yoyote?nawasilisha!
  18. Sir_Mimi

    Breaking News.........

    Habari iliyotufikia hiv punde... Basi lenye namba za usajili 'T 767 BWK' kampuni ya Ngorika linalosafirisha abiria kutoka Arusha kwenda Dar,Dar kwenda Arusha lililokuwa linatokea Arusha kwenda Dar lilikua limebeba abiria 71 wanaume 43 wanawake 28 lilokua linaendeshwa na dereva Amosi John...
Back
Top Bottom