Search results

  1. Sir_Mimi

    Vijana wa siku hizi ni wavivu na wanachagua kazi

    Wengi wataolewa miaka kumi mbele wakiendelea na mtindo huo vigelegele vitakuwa vingi sana mitaani!
  2. Sir_Mimi

    Serikali kutumia Tsh. Bilioni 190.57 kununua V8 mpya za Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ujenzi wa Makazi na Utawala

    Kitu kinaitwa kodi nchi hii kama sijabananishwa kisawasawa hakuna siku nitakilipa. Lije jua ije mvua kwa hali hii hilo somo kwangu ni gumu.
  3. Sir_Mimi

    Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Ujinga tu wa watu kujifanya kuwa karibu na Mungu na kujifanya wanajua kila kitu.
  4. Sir_Mimi

    Naomba kuelewesha kuhusu kutafsiri move za action

    Kwamba mkuu unataka kufanya hivi?ngoja wanaojua waje.
  5. Sir_Mimi

    Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

    Kiimani kila mmoja anawajibika kwa anayoyatenda,huyu anapenda dhambi ile yule anaichukia,kuwa Mkatoliki hakumuondolei mtu kuwa na avipendavyo au kukengeuka. Kanisa Katoliki siyo la mtu mmoja kiasi kwamba hata akitenda jambo lionekane litayagusa maisha ya waamini wenzake moja kwa moja,kama...
  6. Sir_Mimi

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Ni kweli siyo la kukataa hilo,watumiaji wengi wa simu Tanzania tunapenda kuzitumia ki-star star (ndiyo ushamba wenyewe huo) Nina jamaa yangu anamiliki yard ya magari pale Manzese Tip Top simu anayotumia ni Tecno siyo kwamba uwezo wa kununua simu kubwa na ya gharama hana ni nadhani hajataka tu.
  7. Sir_Mimi

    Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

    Hivi ulipokuwa unaandika hizo sentence hapo juu ulitegemea kukutana na jibu kama hili?
  8. Sir_Mimi

    Kaolewa, kapasha kiporo kwa Baba mtoto, kaachwa!

    Ktk hiyo post kwenye comment kuna huyu jamaa nahisi ametoa jibu moja matata sana,mimi naongeza pia akuonyeshe cheti cha usajili vifo anaweza akabuni kaburi lolote akakupoteza
  9. Sir_Mimi

    Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

    Na utu uzima huu watu wanaomba isiwe kesho iwe keshokutwa alhamisi ili waunge mpaka jumatatu.
  10. Sir_Mimi

    Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Ukweli ndiyo huo. Hata kwenye tenda za serikali wakiwa kwenye vikao vyao vya kuzipitisha baada ya kujua percent yao swali lingine huwa una kadi ya chama gani?j Jichanganye sema huna au taja chama kingine usiponyang’anywa na tenda yenyewe.
  11. Sir_Mimi

    Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Jirani yangu nyumba ya tatu kutoka kwangu ni mjumbe wa shina,ilitokea offer ya dawasa kutembelea shina lake kwa ajili ya kuangalia na kuwafikia wahitaji wa maji. Siku hiyo nipo kazini wife akanipigia akisema mjumbe anauliza wewe chama gani,Inner voice ikaniambia sema CCM kesho yake pick up ya...
  12. Sir_Mimi

    Tofauti ya Kufanya mapenzi, kujamiiana na ngono

    Ikishakuwa mapenzi kama unaamini uwepo wa Mungu inabidi ujue hicho ni kitu chema alichowajaalia baadhi ya watu so still kama hauna ndoa unakuwa unafanya ngono.
  13. Sir_Mimi

    Msaada napata hedhi mara kwa mara baada ya kuchoma sindano ya uzazi wa mpango

    Inatisha. Na wengine hufikia kufanya hivyo just kuwafurahisha mabwana zao ambao hawana hata lengo la kuwaoa,ni kusema wanajitia ubovu siku akijichanganya kijana innocent hajui lolote anabeba zigo miaka 15 hata mimba ya kusingiziwa hamna.
  14. Sir_Mimi

    Video: Hamas akimshambulia mwanajeshi. Je, ni sahihi mwanajeshi kutumia bunduki dhidi ya kisu?

    Ukiitizama hiyo video vizuri utagundua huyo hamas alikuwa na chance ya kumletea madhara huyo Mzayuni ila alikosea alipoenda kuanzia shingoni kufanya kilichompeleka pale,angeanzia kwenye mbavu saizi tunaongea mengine. Mwanajeshi nae baada ya kugombelezewa na kukaa sawa akawaambia wale...
  15. Sir_Mimi

    Video: Hamas akimshambulia mwanajeshi. Je, ni sahihi mwanajeshi kutumia bunduki dhidi ya kisu?

    Hapo jamaa alikuwa ana-shout alahu akibaru alahu akibaru akijua ameshafunga hesabu mapema saa nne asubuhi za kwenda kupokea bikra zake 72 zenye macho makubwa kama vikombe.
  16. Sir_Mimi

    Wanaume mnakera sana

    Unatufokea sana ambia hiyo pimbi yako iliyokuzalisha taratibu kwenye message usitupigie kelele tusiohusika. Unajifanya kusema unazo zako lakini ukweli wewe una-sound kama mtu asiye hata na mia mbovu ya akiba.
  17. Sir_Mimi

    Wazee wa Horror Movies: Trauma 2017

    Kuna siku nilikutana na link yake mtandaoni nikai-check content zote zilikuwa zinaendana na ile part I ila haikuwa kali. Ilikuwa 2019
  18. Sir_Mimi

    Wazee wa Horror Movies: Trauma 2017

    Sijui ndiyo sijielewi ila hiyo kwenye bold siku naiangalia niliiona kama Shumileta tu. ”Drag me to hell” ile part I ndiyo kali sana part II walichemka.
  19. Sir_Mimi

    Mambo ni Shwari, Hakuna tena Matamko ya Pasaka kutoka kwa Wakatoliki na ACT(Umoja wa Makanisa).

    Alaah kumbee!!! Ndiyo maana hapo zenzibar mnafanya mnavyotaka siyo?
Back
Top Bottom