Search results

  1. DCONSCIOUS

    Uchaguzi wa Meya Ilala: CCM wasusa na kutoka nje, wapata kura 0 na UKAWA 31

    Ajabu na kweli CCM wamepata kura 0 uchaguzi wa Meya na Naibu Meya Ilala.Hii ni aibu kwa chama kikongwe kukimbia uchaguzi na kupata sifuri.
  2. DCONSCIOUS

    Mbinu ya CCM kwenye kesi za uchaguzi

    Msije mkafurahia mkisikia mbunge fulani wa CHADEMA ameshinda kesi aliyoshitakiwa na aliyekuwa mgombea fulani wa CCM. Hii ni mbinu ambayo huwa inatumika na CCM miaka mingi kuuibia upinzani. NINI HUFANYIKA? Katika chaguzi CCM huiba sana kura na muda mwingine humtangaza mshindi hata ambae...
  3. DCONSCIOUS

    chadema itolee tamko mambo yafwatayo

    1.Mauaji ya wanachadema yaliyo ratibiwa na mwigulu huko tarime 2.kuchanwa kwa mabango 3.kampeni za vitisho 4.Rushwa mfano ya kugawa viberiti 5.Kuwalazimisha wanafunzi kuudhuria mikutano ya ccm 6.kuzidisha mda wa kampeni mpaka 12:37 wakati lema alizidisha dakika 6 akalazwa sero
  4. DCONSCIOUS

    Hii ya kusimamisha msafara wa mgombea ni kampeni bila ratiba

    Ccm wanambinu ya kufanya mikutano bila kufwata ratiba kitu ambacho ni kinyume na sheria za uchaguzi.Wanawaandaa wanachama kujifanya wanauzuia msafala wa mgombea wake. Kisha anatumia hiyo nafasi kuhutubia. Wanajiandaa kwa kuvaa sale za chama kabisa. Mytake ccm wanambinu za kizamani hivyo ni...
  5. DCONSCIOUS

    baada ya watu kuisusa TBC sasa waja na simu tv

    Hii inalengo moja la kueneza propaganda za CCM dhidi ya UKAWA
  6. DCONSCIOUS

    Chadema: Kura za maoni ubunge majimbo mbali mbali

    Kura za maoini Jimbo la Temeke imeshamalizika na kupata mwakilishi mmoja kati ya wagombea watatu wa kinyanganyiro cha Ubunge ambapo idadi ya wajumbe 120.1. Benard Mwakyembe amepata kura 802.Emmanuel Msuya amepata kura 393.Samson Msambazi amepeta kura 1Tutaendelea kukujulisha majimbo mengine...
  7. DCONSCIOUS

    Watu wanasema, Ubunge ntawapa upinzani, lakini Rais CCM

    Watu wengi utawasikia mimi ubunge ntawapa upinzani, lakini Rais CCM. Ukiwauliza kwanini watakwambia aaa tunataka kue na wabunge wengi wa upinzani, ili CCM wasiweze kupitisha mambo kirahisi, na kusiwe na habari ya ndioooo. Wapo sahihi lakini jambo wasilolijua ni kwamba kura unayo mpa Rais ndio...
  8. DCONSCIOUS

    Tume kuhailisha zoezi la undikishaji sababu ya Idd lakini sio siku ya uchaguz

    Huu sio udini, lakini wachungaji wanahoji kwanini zoezi la uandikishiji linalo chukua siku 12 lihailishwe sababu ya Idd ya siku moja. Lakini tume hiyo hiyo imeshindwa kubadiri siku ya juma pili kama siku ya kupiga kura. Ambayo ni siku moja lakini ya ibada kwa wa kristo.
  9. DCONSCIOUS

    imethibitishwa Dr Slaa mgombea UKAWA

    Dr Slaa mapitishwa lasmi kua mgombea UKAWA. Kwa kupata kura nyingi kutoka kwa wajumbe. SOURCE mirrad ayo.com
  10. DCONSCIOUS

    Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

    Kama utakua unafwatilia bunge basi utakubariana na mimi kua. Kwa siku za hivi karibuni spika ameonyesha chuki za wazi dhidi ya mnyika. Hali inayo pelekea spika kushindwa kuzuia hisia zake nakujikuta anasahau kua yeye ni spika na kuanza kumshambulia Mnyika inpersonal.
  11. DCONSCIOUS

    CHADEMA kuja na oparation panda miti

    Ni oparation inayo lenga kuhifadhi mazingira kwa ku kuhimiza upandwaji wa miti, sehem zote yaliko fyekwa mapori na ambako bado hakukupandwa miti..hii inaenda kuandika historia mpya kabisa, ndani ya Taifa letu. stay tuned.
  12. DCONSCIOUS

    Zitto alivyozomewa Mbeya Mjini

    http://www.youtube.com/watch?v=Sf1PaBhS2Ms iliku ni aibu ya mwaka. Zitto alipo zomewa mbeya mjini, najua atasema sio yeye lakini ushahidi huo hapo juu. Mods mnaweza ifuta kama mtahisi inawakera kama mlivyo fanya kwenye ile ya Tunduma.Lakini ukweli hauta futika kamwe
  13. DCONSCIOUS

    Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

    Zitto wabunge waupinzani ni wezi maaana watapokea kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 200. Swali: unasema pesa hizo ni zawizi je wewe utapokea? Maana katibu wa bunge alisema unahaki ya kupokea. Zitto: Nitapokea lakini ntapeleka kusaidia maalbino. Watu: huuuuhuuuhuuu unauhakika gani hao wabunge...
  14. DCONSCIOUS

    Prof. Lipumba na mbio za Urais

    Tuikiwa tunaelekea kumpata mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA naomba niongee machache juu ya kile kinacho endelea ndani ya UKAWA .Kikubwa ni nachotaka kuzungumza ni juu ya Prof lipumba na chama chake kuiga yale yanayo fanywa na vyama vingine bila kuangalia madhara yake au muendelezo wake...
  15. DCONSCIOUS

    Mkurugenzi wa Walaya ya Rungwe, awazuia wananchi kujiandikisha

    Mkurugenzi wa waliya ya Rungwe amewazuia wananchi wa kata ya Kiwira amabao walishindwa kujiandikisha kwenye kata yao kutokana na ubovu wa mashine. Hivyo kuamua kufunga safari kwenda kwenye kata za jirani ambako zoezi hilo limehamia , lakini cha ajabu mkurugenzi ametoa agizo kua...
  16. DCONSCIOUS

    Kipindi cha Mkasi, siasa za siasa EATV

    Kuna kipindi kizuri cha siasa.
  17. DCONSCIOUS

    Vijiji ilivyoshinda CHADEMA W.Rugwe BVR zote zagoma

    Katika vijiji vyote W.Rugwe ambavyo CHADEMA ilishinda uchaguzi. BVR imebuma hivyo katika siku saba Ilizopangwa leo hajaandikishwa hata mtu mmoja katika maeneo hayo. Mfano Kata ya Kiwira Kituo kimoja kina watu zaidi ya 2000, kwani ni muunganiko wa vituo vitatu ya awali ambavyo vilikuwa na...
  18. DCONSCIOUS

    Baada ya Mkutano wa chadema, CCM wajibu mapigo

    Mkutano mkubwa uliongozwa na Salmu Mwalimu pamoja na Devid Silinde. Mjini tunduma umepelekea CCM kujibu mapigo.picha ya kwanza ni mkutano wa Chadema na ya pili na majibu ya CCM. Inawezekana usijue kusoma au maandishi ya mekosewa lakini picha unaziona.
  19. DCONSCIOUS

    Tundu lissu ndani ya EATV leo saa 3.30 usiku

    TUNDU LISSU NDANI YA EATV LEO SAA 3.30 USIKU Wadau Leo gwiji la sheria kutoka CHADEMA litakuwa likihojiwa katika kipindi cha Mkasi kinachorushwa na East Africa TV (EATV) kuanzia SAA 3.30 usiku. Gwiji hili litazungumzia mambo mbalimbali ya kisiasa na kisheria. Pia katika tangazo la kipindi hicho...
  20. DCONSCIOUS

    Asilimia 42 CCM imepita kwa mapingamizi

    ndugu yangu wa lumumba anasema asilimia 42 ya ushindi wao wameupata kwa mapingamizi. anasema kama yasingekua mapingamizi wasinge fikisha hata alimia 50% . hivyo watatumia hii mbinu mpaka uchaguzi ujao. My take Kirefu kipya cha CCM ni chama cha Mapingamizi. Nashuri sheria ibadirishwe...
Back
Top Bottom