Search results

  1. igp

    Rais Magufuli atweet asubuhi hii kuhusu Mradi mkubwa

    Magufuli ni zaidi unavyomjua.
  2. igp

    IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    Napenda kuungana na mamilioni ya Watanzania kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli kwa uzalendo na mapenzi ya dhati anayoonyesha kivitendo kwa Wananchi na Taifa kwa ujumla kwa kuhakikisha analinda rasilimali, Mali, haki na maslahi. Hivi karibuni Rais...
  3. igp

    Magufuli ataligharimu taifa, wengi wanafurahia pasipo kujua athari mbeleni

    Katu haturudinyuma magufuli tupo naye begakwabega.
  4. igp

    Nipo tayari kukosolewa: Rais Magufuli kama kawaida ameongozwa tena kwa chuki, hasira na pupa!

    Hawa vijana wengine wajinga sana taifa linaibiwa wao wanaleta siasa za kibavicha hapa wapuuzi sana.
  5. igp

    2020 ni uchaguzi wa wabunge na madiwani tu, Rais Magufuli ameshashinda

    mkuu si bure umerogwa na aliyekuroga kafa.
  6. igp

    Kamanda Sirro awajibu waliosusia maiti ya kijana aliyeuawa akihisiwa kuwa jambazi

    utakuwa umerogwa mkuu, umeambiwa pesa zilikuwa zinapelekwa kwenye ATM sasa benk na camera inakujaje hapa.
  7. igp

    Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

    Hili ndiyo jibu sahihi zingine porojo tu zamani mwanamke aliweza kufanyiwa unyama wa kila aina na mwanaume lkn asiseme kitu kwakuwa hana pakwenda,hana kipato anategemea kila kitu kwa mwanume,kama ishu ni bikra mbona watu wameona mabikra nabado wakazinguana inategemea bana acha bangi za mchana.
  8. igp

    Arusha: Millioni 18 za rambirambi za watoto wa Lucky Vicent bado zinashikiliwa na Polisi

    Tumechoka na ujinga wenu sasa kila siku rambirambi.
  9. igp

    Hitimisho Makundi: Serengeti Boys 0-1 Niger, Angola 0-4 Mali

    Mungu awabariki vijana wetu
  10. igp

    Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

    Wadanganye bavicha wenzako.
  11. igp

    Kikao cha faragha baina ya rais Uhuru na rais Putin wa Urusi

    mshamalizana na Al-shababy?
  12. igp

    CHADEMA kwa sasa ni sawa na "toothless dog"

    kwani sasahivi niwakati wa mikutano au niutekelezaji wa ilani ya chama kilichoshinda.
  13. igp

    Makonda awaponza Star Tv na Sahara Media mbele ya TEF

    Sahara wanauhuru wakufanya wanalotaka wasivunje sheria za nchi tu
  14. igp

    Mbowe agonga mwamba kortini, hata TLS watagonga mwamba!

    Chama cha siasa badara kitumikie watu kutwa kuhanagika na ujinga mahakamani.
  15. igp

    Achilia mbali ruzuku na michango, CHADEMA ina vyanzo gani vya mapato?

    Wewe unasema huna chama kwani ulitoka lini bavicha mkoa wa pwani.
  16. igp

    Abdrahamani Kinana yupo Angola katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Vyama vya ukombozi

    Wajinga nyie mda wote mnawaza kuuza maneno tu.
  17. igp

    Zitto ulitaka bunge limchague Masha, umesahau haya maneno yako!

    Nilishangaa sana baada ya kusoma ujumbe wa Zitto akidai anajuta kuzaliwa Tanzania kwa sababu wabunge hawakumchagua Lawrence Masha kuwa Mbunge wa EALA. Zitto amesahau kuwa miaka tisa iliyopita alimtuhumu Masha akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani kuwa anapanga mkakati wa kumfilisi Mzee Reginald Mengi...
  18. igp

    Napendekeza Kippi Warioba ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro

    Ahsante kwa ushauri kwa niaba ya Rais atakuwa kaupata vema.
  19. igp

    CCM inavyokita mizizi yake CHADEMA

    Chadema kwasasa kimebaki kuwa chama cha hasira na matusi siyo chama cha siasa tena.
  20. igp

    Said Mecki Sadiki ataja sababu zilizomfanya aandike barua ya kuacha kazi ya ukuu wa Mkoa

    Aliyekuwa Muu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki , amesema ameamua kuondoka serikalini baada ya utumishi wa muda mrefu na anakwenda kupumzika mkoani Mwanza huku akiwa mfugaji wa samaki. Aidha Sadiki alisema pia kulingana na afya yake, anahitaji kupisha vijana wadogo wamsaidie Rais Dk...
Back
Top Bottom