Search results

  1. M

    Natafuta nyumba ya kununua Dar.

    Habari waungwana,natafuta nyumba ya kununua ya familia iliyokamilika nifanye kuingia tu na isizidi m70.
  2. M

    Farida nakutafuta

    naomba kama kuna mtu anamfahamu mwanadada anayeitwa farida au kama mwenyewe ni mwanachama humu anipm tafadhali ni muhimu sana.Anafanya biashara kati ya China na Bangkok kama sikosei ni biashara ya computer n.k,anaishi maeneo ya kndoni Muslim
  3. M

    imekaaje hii

    unakuta uko na uhusiano na mtu wa muda mrefu sana na siku zote haonyeshi kama anauhitaji huo uhusiano,ila anaponusa kuwa kuna dalili ya kuachwa anaanza kuonyesha mbwembwe za kila aina na kufanya yale uliyokuwa ukiyahitaji mwanzoni,ni uoga au alikuwa anakujaribu.
  4. M

    Ili iweje?

    Kuna baadhi ya wanaume tena wengine wababa wazima wakuwa na wajukuu majumbani wakiwa sehemu zenye watu wengi bila kujali mazingira au watu aliokaa nao wanaheshimiana vipi,akishaona wanawake anaanza kuhadithia namna anavyojua kudoo.ni kwamba mnatafuta sifa tuu au mnataka waje wawajaribu?
  5. M

    Huwa mnajisikiaje?

    Kuna mmke anaiba mme wa mtu na kamganda mwenye mme kwa urafiki wa kinafiki kiasi kwamba mwenye mke kamuamini mno mpaka inatia huzuni,na hawa wote ni WATZ hivi rohoni unajisikiaje kwa ushetani huu,umepora mpaka haki ya msingi ya mtu kufurahia mume kutimiza miaka 50 kwa kumrubuni huyu mbaba kwa...
  6. M

    Ngo ngo ngo

    Hodi jamani mimi nimgeni humu bado nina kamba yangu mguuni naomba mnifungue ili tushirikiane kulijenga taifa letu.
Back
Top Bottom