Ila Mungu nisamehe kama yanayozungumzwa mitaani ni ya kweli kuhusu Mona na waume za watu,na kama si kosa la kiundishi kwa kijana wake inabidi tutafakari sana mienendo yetu na machumo tunayolisha vizazi vyetu
Siku mbili hizi story nnazosoma humu zinanipa tafakuri sana…ni kweli wanawake wamekuwa warahisi hivi au ni chai jamani elfu tano inakupelekea kulala na mwanaume usomjua kiurahisi rahisi tu hujiulizi!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.