Search results

  1. S

    Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

    Kweli Kweli ni ww au wame hack akaunti yako au ndiyo Mambo yakina DC flani kule Arusha kabla haja ukwaa uDC
  2. S

    Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika uspy wao

    huyo Mchungaji R.I.P huko aliko nadhani baada ya yeye kutaja mikakati husika wakati tunaelekea kwenye uchaguzi mikakati ile haikuwahi kukwama imefanikiwa sana na kwahilo Rwanda imeshinda, natamani sana mtu huyu angekuwepo kwani alikuwa mstari wa mbele kutibua na kutaja mikakati mbalimbali na...
  3. S

    Mbowe: Kauli ya Mbatia kuhusu wabunge wa UKAWA kurudi Bungeni ni hisia zake

    Clouds ni walumumba hao wanajipendekeza
  4. S

    Waraka wa Mbunge Elibariki Kingu kwa Wabunge CCM kuhusu fao la kujitoa

    hivi si sahihih kusema nchi ya viwanda italetwa kwa kutumia michango yetu sisi wavuja jasho wa nchi hii huku nikufilisika na kukosa dira na maono, haiwezekani mfanyakazi aliye na ajira isiyo na uhakika akaja achishwa kazi kabla umri wa kustaafu eti asubiri huku ni kumnyima haki. Ndo maana...
  5. S

    Baada ya matokeo na CCM kuangukia pua mwanachama wa CCM afariki dunia

    ww acha kejeli huyo ni mama mkwe wangu wala kifo chake hakina uhusiano na matokeo ya arusha ntake radhi na uache zihaka muogope Mungu.
  6. S

    Baada ya Baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere anayefuatia kwa uongozi bora ni Rais Magufuli

    Nikweli UKAWA ndo mwarubaini wenyewe hebu ona mwenyewe jinsi gani CCM wanavyokula matapishi yao (1)SHULE BURE wakauliza mtapata wapi fedha wakaonye njia moja wapo nikubani MATUMIZI (2)FUTA SAFARI ZA NJE na fanyike zile zenye tija tu kwa nchi (3)kufanya mapitio upya sheria zenye...
  7. S

    Orodha ya marupurupu wanayolipwa wabunge na haja ya kuyapunguza

    Ni Wakati Muafaka Na Wao Wakalipakodi(PAYE) Kuanzia Mishara Yao Na Mafao Yao
  8. S

    CCM bado hamjairudisha Kanda ya Ziwa

    Hapa Ndo Mifiem Ipo Ifikisha Nchi UKABILA na UBAGUZI ndo urithi alio uacha baba riz1
  9. S

    Mtandao umezikwa rasmi leo

    huko huko kanda ya ziwa tusubiri ya ukanda ya kiendelezwa hapo ndipo tulipofikishwa CCM,
  10. S

    Wanasheria wa Zanzibar wataka ZEC ifute tamko la kubatilisha uchaguzi

    watabana mwisho wata achaia waliofanya uhaini wa kuibaka demokrasia siku yajaa wakae tayari kuukabili mkono wa ICC.
  11. S

    Usichague UKAWA, Usimchague Lowassa, Chagua CCM, Chagua Magufuli, Chagua Amani

    yale yale ya Omari Mahita na majambia uchaguzi wa mwaka 2000 serikali ilibuka na propaganda za ati CUF imeingiza makotena ya majambia ondoa hiyo propaganda ya kizamani badilisheni mbinu mwaka huu mmenoa Lowassa anaenda kuwa Rais hatutishwi na siasa zenu za maji taka ama kweli imeishiwa.
  12. S

    Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!

    Kiama Chao Hata Wafanye Nn Hawezi Zua Mafuriko Ya Kura Wataiba Watashindwa. Watafitini Hataweza MACCD. NA WATAKUFA KAMA KANU kwani walizoa vya bure kupitia halmashauri za wila iwe kampeni au ziara za kawaida au kampeni.
  13. S

    UKAWA ya Lowassa yapumulia mashine, BAVICHA wakosa hoja

    Ama Kweli Nimekubali CCM ni CHOO kama alivyosema kibaraka wenu na mtahangaika sana sisi malofa ni MABADILIKO,
  14. S

    Kwa WanaUKAWA Jinsi ya Kuzuia Bao la Mkono Tusikubali Haya yatokee

    Wakuu Habari wanajamvi. Naomba kuchukua wasaa huu kupeana mikakakati ya kuzuia bao la mkono,kwa maCCM yamezamiria kutupoka ushindi. Tuhakikishe kila kituo cha kupigia kura tuna weka mawakala ambao ni watiifu na waaminifu kwa CHADEMA/UKAWA Kila wakala ahakikishe kura za Udiwani,Ubunge na...
  15. S

    Time for change is now. Asante Komredi Lowassa

    Kweli ww umeishiwa na uache kupanic. CCM mmezoe kuhubiri utengamano badala ya umoja wa nchi pale mnapokuwa mmezidiwa chezeni ngoma yenu ya ubaguzi ooh ukanda ila mjue kibo kiko palepale na hamna jipya safari hii wananchi tumewacho lazima tuwatoe tu madarakani tumezichoka dharau zenu CCM,
  16. S

    UCHAMBUZI: UKAWA epukeni kufanya makosa kama ya CCM wakati wa kampeni

    Kupanic Kwake Kukamfanya Aombe Huruma Ya Watanzania Wasije Waka Iua CCM.
  17. S

    ‘Lowassa-mania’ na ya mpiga filimbi wa Hamelin!

    umemaliza tafakari sana ninani aliyewafanya watanzania wakawa watu waliokata tamaaa kama siyo hao unaowaona wana sera navision za kuendelea kuwa wafanya watanzania watumwa wao na kuzidi kuwafanya maskini kuwa maskini na matajiri kuwa matajiri, pili naomba nikukumbushe wewe msaka tonge, mwaka...
Back
Top Bottom