Search results

  1. S

    Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    He ! labda nipate kyupa hapa............... Watanzania wanahitaji kujua kesho kuna nini !!!!!!! Nani anasema nini, kwa manufaa ya wale walio wengi (wanyonge). Katika ngazi zenu tofauti tofauti katika kadhia hii,wekeni mbele maslahi ya Mtanzania, Have a nice day.
  2. S

    Alex Ndeki (mzungu wetu) tumkumbuke

    APUMZIKE KWA AMANI MZUNGU WA SIKONGE
  3. S

    BAKWATA wamuunga mkono TUNDU LISSU...

    Ngoja ntafikiria baadaye..... Lakini nahisi hapa, kuna mbumbumbu anajaribu kutekenyatekenya jambo la msingi......Kuchanganya dini na siasa..................... Kibaya zaidi ,Most of the human race are not wise enough to discover,how BEST to approach the two controversial foes........ Mwana JF...
  4. S

    Madaktari waanza kuikimbia nchi..

    THEY CAN JUST AS WELL ,DO US A FAVOUR BY DROPING DEAD,FOR ALL I CARE.....Waache waende zao huko,wakabebe zege.........TO HELL WITH THEM........Hapa heshima ya mtu,itatokana na huduma yake kwa jamii. Tutajisomea wenyewe notisi hizi na zile,afu Tutajitibu wenyewe .........kama atakosekana...
  5. S

    Madaktari waanza kuikimbia nchi..

    Hakuna Daktari anayeweza kuwa bora bila Kuwa Mzalendo kwa jamii yake....Madaktari Makatili nyie.
  6. S

    Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

    .......... Punguzeni Tabia ya kujiombea migao peke yenu ....... Haijatulia Tabia hiyo ! Hata sie wakulima na wafugaji ni wananchi kama nyie. Labda mmoja wenu,angeropoka ili na sie tulio vijijini,tunufaike na posho AU HATA MSAADA yenye uzani wa angalau 50,000.00 TSHS PER HEAD !!!!!!!
  7. S

    Madaktari kwanini wamtibu Dr Ulimboka wakati wapo kwenye mgomo?

    Baelezeee Baelezeeeeeeee .............. Labda wengine hawajawahi kuugua na kwenda hospitali(au kuwa na mgonjwa hospitali au mke mwenye ujauzito).
  8. S

    Gerald Hando muombe msamaha Dr. Ulimboka

    Mi napita hapa Kimya .....Leo sisemi....Nasubiri hapa Hospitali,Ninapougua bila Kupata the neccesary attention !!!!!!!! Nitakapokuwa nimeshakufa,I will be back A hundred years latter to accuse you ...........Kwa kutonipa matibabu nilipokuwa ninaumwa,kwa Kukalia tu Politike...........Kazi...
  9. S

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Kihiyo !............................. The word sounds really marvelous !!!! Inawezekana una vyeti graded bla bla bla........Labda you attended some bloody courses and got awarded accordingly.......... Lakini from your hojas, I can obsverve immaturity ,kutoelimika vyema,inferiority...
  10. S

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Big up mkuu ....... hasa ukizingatia ,Kukubali tofauti zetu ktk sura za kidini,makabila makabila,sehemu tutokapo(tulipozaliwa),ushabiki tu mfano mipira ,ukiwamo ule wa kiitikadi ,Ndiyo Nguzo kuu ya msingi kabisa,iliyopelekea Udumishaji wa amani na utulivu(uliodumu sana tu .......ambao ,dalili...
  11. S

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    KWA MWENENDO HUU HAPO KOMREDI KUNDECHA (BAKWATA ?)(HAUMSOMEKI KABISAAAAA KTK ADHIMA NZIMA YA TANZANIA SONGA MBEEELEEEE !!!!!!! ........ KWA KWELI INALETA HUZUNI ZAIDI,HUSUSANI UKIZINGATIA NAWE NI BINADAMU !!!!!!!! HAYO YOTE MNAYOYASHABIKIA IKIWAMO UDINI,UKABILA,UCHU WA...
  12. S

    Rage nae atoa mkataba aliosaini Yondani simba mwaka jana 23-December, 2011. Kazi ipo jamani..

    Nina shaka na mjelajela huyo..........bila shaka analeta za kijelajela !
  13. S

    Mama mwenye nyumba

    Mburudike !!!
  14. S

    Binti akisema amekufananisha na kaka yake!

    Mkuu yakukera nini kufanana na kaka yake...... Nyote si wanaume nyie ... au kuna vijimambo unafichaficha hapa ?
  15. S

    wanafunzi wa vyuo vikuu (wanawake)

    Wanazuga hao .......Wanataka wenyewe hao yakhe ! Waache walambe walichopanda !
  16. S

    MAMA huruma hawezi sema NO, na kaolewa

    Labda indume wake dolo ....... Lakini,kama ana shida ya kuburudikwa,mburudike huyo !!!!
  17. S

    Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    warodokaji baradhuri hao !
Back
Top Bottom