Search results

  1. S

    Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

    Walisha sema "AFRICA IS A BLACK CONTINENT". Hata hivyo ya Kagame ni ya mkosaji. Hakumbuki amezika wangapi kwa ajili ya white house.Na wananchi hawamtaki,nilishashuhudia akirushiwa mawe na chupa za maji huku wakiimba ...the killer,the killer.Mara nasikia wamemzushia kifo.
  2. S

    Masikini CHADEMA- Kwishnei

    Naomba kuuliza,hivi CDM wataingia lini madarakani?
  3. S

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Taifa lisilokuwa na imani na vyombo vyake vya dola k.v mahakama=S/LEON + SUDAN.
  4. S

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Rip young billionea the great.
  5. S

    Prof. Lameck Mabelya of MUHAS is no more!

    RIP MY BRO. Tunatarajia mazishi yatafanyika j5 kijijini kwetu Majahida-BARIADI.
  6. S

    Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    Tangaza nia tukuchague Oct 2012.
  7. S

    Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    Hata akichapia huyo ndiyo rais wa JMT mpaka 2015. Na kuna tetesi akaongeza tena miaka 5.Sheria si misaafu.
  8. S

    Kumbe Madaktari ndo wanaongoza kwa mishahara Mikubwa?

    Tatizo si mishahara mikubwa,madr wanadai malimbikizo ya 'duty/call allowance' ambayo hawajayapata kwa zaidi ya miezi 4 sasa.
  9. S

    Dr. Slaa alitushauri wa-TZ tukampuuza, sasa kulalama kwanini?

    Pia alitushauri tukiichagua CCM Dar itaelea(gharika).
  10. S

    Rais Kikwete asaini Muswada wa Katiba

    Utaingia mtaani we na nani?
  11. S

    Vipi Mishahara kwa watumishi wa umma?

    Hata mie nimeupata jana pungufu 16,000.Ngoja nisubiri salary slip ya Nov 2011.
  12. S

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    Huo ulikuwa mcheche wa kuingia IKULU manake tangu dunia iumbwe haijawahi tokea Tanzania hii mkuu wa kaya kufanya kikao na wapinzani wanaomwita 'mfalme'.
  13. S

    PICHA: CHADEMA wakutana na Kikwete Ikulu

    Mh. Lissu akimsalimia 'mfalme'.
  14. S

    nokia 2700

    Yangu ilishagomaga siku nyingi,cjui ni virus.
  15. S

    Msemo wa Leo....

    Kubeba BIBLIA siyo kuokoka.
  16. S

    Tamko la kamati kuu ya CHADEMA kuhusu mchakato wa katiba

    Andamaneni au maandamano nayo ni yetu?
  17. S

    Tamko la kamati kuu ya CHADEMA kuhusu mchakato wa katiba

    Ni bora akutane na waliahudhuria shuleni kuliko hao unaowaita wasomi kama tamko lenyewe ndio hilo.
  18. S

    Tamko la kamati kuu ya CHADEMA kuhusu mchakato wa katiba

    Hao ni matone katika bahari.
  19. S

    Tamko la kamati kuu ya CHADEMA kuhusu mchakato wa katiba

    Kwa maana hiyo, MFUMO BATILI=RAIS HALALI.
  20. S

    Tamko la kamati kuu ya CHADEMA kuhusu mchakato wa katiba

    Tatizo la kuvuta bangi bila kunywa maziwa fresh.
Back
Top Bottom