Search results

  1. Shebbydo

    Mada maalum ya ndege toka FB

    Hawajakupa jibu tu pamoja na kuandikwa nyuma ya viti? Lakini mimi nikiona tu hakuna control column, kuna control stick, moja kwa moja hiyo ni Airbus.
  2. Shebbydo

    Mada maalum ya ndege toka FB

    Ni kweli lakini hii ni basics. Kwa ndege kubwa angani katika spidi kubwa ukitumia rudder itakupa deflection kubwa. Kwa lugha rahisi katika spidi kubwa angani, ndege hutumia ailrons na baadhi ya spoilers. Hivyo ndege hukata kona ilikoinamia.
  3. Shebbydo

    Mada maalum ya ndege toka FB

    Marekebisho kidogo. Hiyo ni weather radar antenna. Weather redar ni system ambayo unahusisha Antenna na transceicer. Hapo kwenye pua ya ndege ni Antenna.
  4. Shebbydo

    Mada maalum ya ndege toka FB

    Well said..ndege kurudi kinyume nyume possible theoretically but in really world kuna ugumu wake.
  5. Shebbydo

    Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

    Kwa nini umekuwa conclusive kabla ya kujifunza kwanza?
  6. Shebbydo

    Tunauza Sangara kwa bei ya Tsh 7000/1kg

    Tunauza Sangara kwa bei ya Tsh 7000/1kg, Tupo Tegeta kwa ndevu. Mawasiliano 0678033668 Pia ninahitaji mtu wa kufanya marketing ya Samaki Sangara na Sato kwa jumla. Malipo tutaongea
  7. Shebbydo

    Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

    Kila.mtu na nyumba ya ndoto yake. Wote hawawezi kuwa na ndoto ya vyumba viwili na sebule.
  8. Shebbydo

    Yule Yesu feki hajafa anadunda tu na kula bata.

    Kwanini anaitwa wa bandia? Yule muigizaji wa Uingereza anayefanana naye ndiye halisi?
  9. Shebbydo

    Acheni tabia za kula nauli za watu kama hamna nia

    Ubunifu wa baadhi ya wadada wa kibongo ni wa hovyo sana. Huwezi kuamini wapo wadada ambao wanaonekana wana elimu nzuri tu lakini wamebuni njia ya kupambana na maisha ni kuwa matapeli. Kuna dada mmoja mimi nilikuwa nikichat naye na anaonekana kasoma bachelor ya IT. Mwisho wa siku kaishia kutapeli...
  10. Shebbydo

    Ban ya Google kwa Huawei inaifundisha nini dunia, hasa wewe mtanzania?

    Kumbukeni Windows OS ilivyokufa!!. Window OS ni nini na ilikufaje? Mimi ninavyojua ninkwamba; window, android, Ios, macntosh na nyinginezo zote ni OS. Mimi siyo mzuri sana kwa Computer Science maybe nikajifunza kitu kipya hapa.
  11. Shebbydo

    Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?

    Time travel is an illusion
  12. Shebbydo

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Gharama za uendeshaji za hiyo ndege ilikuwa ni kubwa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Shebbydo

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Mimi ni mhandisi siyo rubani Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Shebbydo

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Shebbydo

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Kuna mahesabu kidogo hapo mkuu kuhusiana na lift force. Lift force inahusiana linearly na parameter hizi; spidi ya ndege, eneo la mabawa na tungamo la hewa (air density). Hivyo ndege hukimbia kwa kasi wa kuruka ili kufikia take off speed ambapo ndege hupata lift force ya kutosha kuinyanyau...
  16. Shebbydo

    Aina hii ya ndege uchunguzi wa kitaalam kuhusu "performance" ya ndege unahitajika.

    You are welcome Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Shebbydo

    Aina hii ya ndege uchunguzi wa kitaalam kuhusu "performance" ya ndege unahitajika.

    Sijakuchanganya. Ajali ya LION AIR ilitokana na ghafla ndege kuingia kwenye mfumo wa kujiongoza yenyewe na ikaanza kushuka kwa kasi ili hali ilikuwa ikipanda. Karibu uulize tena kama bado sijaeleweka. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom