Search results

  1. S

    Usafiri Dar kwenda Arusha

    Wadau jamani vipi hali ya usafiri kwa magari kutoka Dar kwenda Arusha. Nina safari ya huko tarehe 28 vipi gari zinapatikana au za shida? Wanaofahamu naomba wanijuze kama msongamano umepungua.
  2. S

    Naomba kujuzwa namna ya kutambua jinsia ya mtoto katika hali hii

    Jamani najua humu Kuna wataalamu wengine naomba mnisaidie, Nina mzunguko wa siku 28 ,nilisex siku ya 10 baada ya kuanza period yangu na nikapata mimba. Je, hapo mtoto anaweza kuwa wa jinsia gani?
  3. S

    Natafuta gari vitz,or Ist

    Kichwa cha habar kinajieleza naombamwenye nayo atoe sifa zake bei na picha niweze kutoa maamuz
  4. S

    Natafuta nyumba ya kupanga Arusha

    Nyumba iwe maeneo ya mianzini au sanawari iwe double(chumba na sebule) ikiwa self itakuwa vizur Zaid isiwe mbali na barabara kuu, kodi itatolewa kulingana na ubora wa nyumba mawasiliano 0768600941
  5. S

    Android phone for 50,000

    Ni Inote beyond(itel) ipo kwnye hali nzur. 0768600941
  6. S

    Mwenye Tecno L6 au M6 ya kuuza

    Nanunua hiyo simu bajet 180,000 Mwenye nayo anicheki
  7. S

    Natafuta mtu wa kunichakachulia modem

    Jaman kwa wataalam naomba mnisaidie ili modem Yangu iwe inatumia line zote
  8. S

    Mini Laptop for sale (Asus)

    Local disc 350 gb ,Window 7, Processor 1.6,Ram 2gb, bei ni shilingi 350000 Pm kwa unayehitaji laptop ni kama mpya ipo kwnye hali nzuri na inakaa na chaji sana
  9. S

    Uchumba wangu upo mashakani

    Habari zenu wanajamvi. Wazazi wangu wanataka kurudisha mahari kwa mchumba wangu kisa imani tofauti za kidini, kinachonipa wakati mgumu ni kwamba mwanzoni walikubali kupokea kisa nilikuwa mjamzito. Sasa nimepata miscarage wazazi na ndugu wamekaa kikao na wanakomaa mahari irudishwe kwa mchumba...
Back
Top Bottom