Search results

  1. jiwekuu770

    Dar es Salaam si jiji lenye gharama za juu kuishi Afrika

    Dar es Salaam ni mji wa Kibiashara Tanzania na ndyo jiji kubwa kuliko yote kwa East Africa (EAC/2020) ikifuatiwa na Mombasa. Kama ulikua hujui miji yenye gharama za juu kabisa za maisha hii hapa. 1. Dakar-Senegal 2. Adis Ababa -Ethiopia 3. Abidjan -Ivory Cost 4. Harare -Zimbabwe...
  2. jiwekuu770

    Je, Vita kati ya Rwanda na DR Congo vinanukia?

    Habari, Kulingana na mzozo uliopo kwa sasa kati ya DRC na Rwanda juu ya tuhuma za Serikali ya Reanda kuwa support waasi wa M23! Hali ya mzozo imeendelea baada ya DRC kurusha mizinga kadhaa mpakani mwa Rwanda Rwanda yaahidi kujibu mashambulizi! Swali? Je kuna uwezekano wa vita kutokea? Kama...
  3. jiwekuu770

    Kwanini Kenya bado inamiliki warplane za kizamani hivi?

    Kichwa cha habari cha husika!!
  4. jiwekuu770

    Je, benki unaweza kufungua akaunti ya kuweka madini?

    Habari Kwa mwenye uzoefu, watu wa benki au wafanyabiashara wa madini!! Swali langu ni Je, unaweza fungua account ya kuweka madini? Tumezoea acc zinatunza hela! Kutokana na hatari za kiusalama ya kukaa na mzigo wa madini ndani pindi unapo pata au kuanzisha biashara ya kukusanya au kujiwekea...
  5. jiwekuu770

    Sifa inayopata Rwanda Msumbiji ilibidi tuwe tunapewa Tanzania kama Jeshi letu lingeenda na kasi ya Mwl. Nyerere?

    Miaka 1960-1980 jeshi la Tanzania lilikua ni tishio Africa. Kwa East Africa ndyo lilikua kinara kwa ubora na kuogopeka kijeshi? Vita ya tz na Ug ililipa headline nyingine achilia mbali kushiri ukombozi katka nchi zingine. Lakin sasa zama zimebadilika Uganda ya sasa si ile Kenya nayo imepiga...
  6. jiwekuu770

    Je, DRC kujiunga EAC kutaleta amani Mashariki mwa Kongo?

    DRC ni moja ya nchi zilizopo Ukanda wa maziwa makuu!! Nchi hii imefanikiwa kujiunga na EAC hivi punde baada ya kupewa uanachama hapo 22Novermber 2021 Aidha uamuzi huo umekuja baada na timu ya EAC kwenda DRC kujiridhisha na utimilifu wa vigezo hapo 26june had 5 july KIFUATACHO -Itakua n...
  7. jiwekuu770

    Oparesheni ya kimbunga/ kufukuza wahamiaji haramu toka Tanzania inatazamwaje leo?

    Operation dhidi ya wageni au wahamiaji haramu kutoka RWANDA NA BURUNDI iliyotekelezwa na serikali ya tanzania miaka michache iliyopita !! Je ni kweli Tanzania ilikua inazuia Kagera na kigoma kuwa NEXT KIVU? or next eastern DRC? Je, umekua na tija kwa Tanzania? Nini kimebadilika sasa? Je, tuko...
  8. jiwekuu770

    EAC inatatuaje mgogoro wa viongozi kung’ang'ania madarakani?

    Jumuiya ya Afrika Mashariki hauhusiki kutatua mgogoro wa nchi viongoz wanao ng’ang’ania madaraka? Hapa tunazo kama Uganda, Rwanda na Burundi.
  9. jiwekuu770

    Ni inchi gani ikitolewa Jumuiya ya Afrika Mashariki itakuwa imara?

    Habari, EAC ilianza miaka na kuvunjika 1978, kwa kutokea kwa vita ya tanzania n Uganda. Miaka 40 baadaye EAC imekua dhaifu na iliyovurugwa kuliko jumuiya nyingine yoyote. Kifupi haina muelekeo ; wala mpango wa kuileta pamoja. Imeenda mbali na nje kabisa ya mategemeo na malengo Nini yalikua...
  10. jiwekuu770

    Nawezaje kupata apartment za bei rahisi Dar?

    Wap kwa Dar naweza pata apartment ya bei rahisi!! Rahisi nikimaanisha irange 200000-400000/= kwa mwezi Ikiwa katkat ya mji ni vizuri zaidi Ila hata pembezoni sawa tu
  11. jiwekuu770

    Msumbiji hawataki kusaidiwa na SADC au nchi za afrika ktk ugaidi lkn hapo hapo wanaamini mabeberu kijeshi?

    Aliyeturoga watu weusi cjui alikaaa sehemu gani, hasa waafrika!!? Rais wa Msumbiji na Serikali yake hawataki SADC iwaasaidie kupambana na ISIS wa Msumbiji kundi la kigaidi Sababu: Waanadai hawataki kuingiliwa uhuru wao LAKINI HAPO HAPO -Ameruhusu nchi za Magharibi ziisaidie nchi hiyo kijeshi...
  12. jiwekuu770

    Je, ni hasara gani tutapata kama Ngome ya Hima-Tutsi (hima-tutsi empire) itafanikiwa kujengwa?

    Ukiangalia hizi nchi za maziwa makuu unaona kabisa kuna mkakati unaendelea. Ukiwa funded na western allies kupitia baadhi ya nchi zilizozoko AFRICA MASHARIKI. Hapa tunaongelea nchi kama rwanda na uganda !! Ambazo ndo inasadikika zina hiyo ambition Je, ni ukweli? na ni nni kitaathirika kwenye...
  13. jiwekuu770

    Ni lini Serikali itafikiria kuweka surveillance Technology Mtwara kukabiliana na hali tete ya Msumbiji?

    Habari Wote tunajua kuwa kwasasa jirani zetu wanavohangaishwa na kuchinjwa n kundi la ugaidi msumbiji!! Siku chache lilifanya fanya uhalifu tz mtwara na baadae kuzimwa!! Lakini kama tujuavyo bado kundi hilo linakua kwa kasi na serikali imeshashindwa kulidhibiti!! Kumbuka haya makundi yanakua...
  14. jiwekuu770

    Je, Rwanda itakuaje baada ya miaka 50? (What rwanda will be like 50yrs to come?)

    Kwa propagant za west n kana kwamba rwanda inaendelea sanaaa kuliko sehem nyingine africa! Ingawa uhalisia wake unaonekana wa kawaida sana ukitoa ishu ya jiji safi kigali Je ni kweli kua rwanda inakuja kua SINGAPORE YA AFRICA BAADA YA MIAKA 50? Discuss
  15. jiwekuu770

    Mwanza wapi wanakodisha magari?

    Nahitaji gari za kupigia misele au shughuli zangu za hapa mjini Sasa kwa mwanza ni wapi wanakodisha. Bei kwa siku zikoje?
  16. jiwekuu770

    Tetesi: Tanzania kuwa nchi ya nane kwa idadi ya watu DUNIANI

    Habar Population au idadi ya watu ni suala pevu na lenye mashiko Linaipa nchi -bargaining power kwenye soko la dunia -fulsa ya biashara -nguvu ya jeshi kwakua na millitary man power -kupata talent mbalimbali -n.k Ifikapo mwaka 2074 tanzania tutakua nchi ya 10 kwa idadi ya watu syo AFRICA...
  17. jiwekuu770

    Siku ambayo Iran itashambulia Israel ndiyo utakuwa mwisho wa Taifa hilo

    Iran ndiyo taifa kubwa na lenye nguvu middle East ukiondoa ISRAEL. Hivi karibuni kumekuwa na tetesi ya kushambuliana Kwanza israel [emoji1134] imekua ikihisiwa kutaka kuishambulia Iran Sababu!! Tangu kutoka kwa trump ...Raisi Biden anaonesha nia ya waziwazi kuiondolea vikwazo iran. Iran...
  18. jiwekuu770

    Natafuta daktari wa mifugo aliyeko Mwanza

    Natafuta dakitari wa mifugo alieyeko Mwanza specifically. Igoma Buhongwa Kisesa au maeneo karibu na hayo
  19. jiwekuu770

    Will Swahili become the continental language led by Tanzania ambitions?

    Habari JF, Kiswahili ni lugha inayoongelewa Tanzania, na baadhi ya sehemu Kwa kifupi Tanzania ndyo imeshikiria dira ya lugha hii ya kiswahili na ndyo future na destine ya lugha hii Bado tanzania inajipambanua kama kiongozi na hatma ya Kiswahili. Nchi nyingine ni Kenya. Ingawa kenya ni lugha...
  20. jiwekuu770

    Wasomalia na Waethiopia wapi ni wabaguzi /racist kwa Waafrika wenzao /to their fellow black countrymen?

    Habar JF, Wasomali ni jamii ya watu wanaopatikana ktk pembe ya africa nchi kama kenya ,somalia,somaliland na ethiopia sana sana orgaden Waethiopia hapa tunaongelea wahabesha,oromo or cushitic. Kumekuwa na maneno maneno kua hawa watu n wabaguzi kupitiliza. By comparison Somalian n Waethiopia...
Back
Top Bottom