Search results

  1. jiwekuu770

    Mimi ni Introvert, jamii inanichukulia tofauti sana

    Utofautishe kati ya introvert na Anti social ww n antisocial usijifariji na kuona uko sawa!! eti msibani huendi harusini huendi, jirani yako humjuii ww uko na tatzo Najua introvert wanakua na tatzo la kuchangamana na watu au kuwa waongeaji lakin c kwa haya uloongea ww
  2. jiwekuu770

    Matukio ya Ushoga duniani

    Ingawa napnga mauaji lakini binafsi huwa nakereka nimuone mwanaume ana ndevu au anamwili wa kiume afu anaongea kwa mapozi kama mwanamke.., Kifupi aibu huwa naona mm !!Naona kama tunadharirishwa!!…. sasa apo mwanaume kabisa amepaka wanja make up na anavaa kike afu uambiwe n mwanamke inachefua...
  3. jiwekuu770

    38 years man, single and searching

    Nadhani kuna shida pahala……
  4. jiwekuu770

    Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

    Saizi yamekua maraisi?? Mbona bado tunalia mishahara imepanda lakini kimaisha hamna mabadiliko!!… hela unaipata ukifika sokoni vitu bei kubwa kuliko ela uliyo nayo
  5. jiwekuu770

    Hali ngumu: 1980s Watu walikuwa na Fedha lakini bidhaa za kununua hazikuwepo, sasa bidhaa zipo ila Watu hawana Fedha mifukoni

    Kuwahamisha ilikua ni lazima!! laa sivyo kusingekua na miji unayoiona leo na vijiji!! watu walikua scattered sana walikua wanalima kila mahali !! na ilikua n ngumu kuweka serikali!! nyumba moja hapa nyingine had kilomita moja kifupi kulikua hamna mgawanyo wa ardhi wala matumizi sahihi!!!… Hivo...
  6. jiwekuu770

    Hali ngumu: 1980s Watu walikuwa na Fedha lakini bidhaa za kununua hazikuwepo, sasa bidhaa zipo ila Watu hawana Fedha mifukoni

    Niliambiwaga mtu yyte anaetumia oppo ana akili za wenge….sikuamini ila leo….
  7. jiwekuu770

    Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    ila wanasifa nyingine!! Mara nyingi ni malaya sana tena wa chini chini huwezi wajua!!..kama n mwanaume utakuta amekula mademu kalibia chuo kizma ndo mnashtuka!! na mkimyaa
  8. jiwekuu770

    Ni vitu vipi vinaiangusha Tasnia ya Bongo Movie? Changia Mawazo

    Budget zao ndogo ndo shida!! Utalaam wa kushoot katika angle tofauti!! Uhalisia mdogo sana hasa inapokuja sehemu ya kupiga mtu,kupigana,au kufanya kitu ambacho kinahitaj ufundi wa kimovie zaidi hawana platform nzuri za kuuza kazi Movie za kutafsiriwa
  9. jiwekuu770

    Nyumba ilivyo gharimu laki'4' ujenzi wa boma

    Kama ni mjini ukipangisha ndani ya mwaka ela yako inarudi!!!
  10. jiwekuu770

    Taifa lolote linapokuwa na kiongozi anayehadaa umma kuwa yeye ni mtu fair lazima liumie kwa kuibiwa na kiongozi huyo

    umeongea utumbo sijapata kuona?? hakuna sheria za wahujumj uchumi,sheria za makosa hazipo?? unawezaje mkamata pasipo na makosa?? mtuhumiwa ndan na uchunguzi unaendelea?? Kwaiyo kwa maana hiyo wapigaj waendelee?? sema anawaogopa na anashirikiana nao?? huwezi sema Kesi si kipau mbele?? haya...
  11. jiwekuu770

    Oman waamua kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro

    Huyu mama anapenda vya buree!!! Sijui kama anajua hamna BURE ISIYO NA GHARAMA
Back
Top Bottom