Search results

  1. P

    Nafasi za kazi

    Nadhani wenye uhitaji wataomba nafasi ya kazi.
  2. P

    Nafasi za kazi

    Kampuni ya kibinafsi Epic Engineering inatangaza nafasi za kazi kwa wale ambao wana diploma ya IT na Mechanical Engineering. Waliofuzu kutoka DIT au Arusha Tech watapewa nafasi za kwanza. Scan vyeti vyako kwa PDF format na CV utume kwa hii email: pisack3660@gmail.com Mwisho wa kutuma ni 15th...
  3. P

    PPF mafao

    Habari wadau. Mh Rais JPM aliagiza wafanyakazi wapewe mafao yao ambapo wanaondoka kwenye ajira kama ilivyokuwa hapo miaka ya nyuma. NSSF wanatoa bila vikwazo. Lakini nashangaa PPF wanazuia mafao ya wanaoyadai. Hela ukatwe wewe mfanyakazi alafu PPF waamue kama kukupa au kutokupa. Hela ya...
  4. P

    Wadau, naomba kuuliza kuhusu hii mikopo ya vicoba

    Wadau, naomba kuuliza kuhusu hii mikopo ya vicoba ambayo unatakiwa utume laki ili upate mkopo wa millioni 1, au laki 2 upate millioni 2 etc etc. Naomba msaada kujua kama kweli ni mradi halali. Natanguliza shukrani zangu.
  5. P

    Call back ringtone

    Naomba kuhoji, ni kwa nini hii mitandao ya simu wanatuwekea call back ringtone ambazo mwenye simu hata hana habari. Nyimbo zingine zinakera kweli unapompigia mtu harafu inaanza kuimba. Haki za wenye simu hazijaingiliwa hapa?
Back
Top Bottom