Search results

  1. Mmanu

    Ally Kamwe amjibu Ahmed Ally

    Halafu kesho serikali inapitisha bakuli kwa wadau eti kuichangia timu ya Taifa...shit
  2. Mmanu

    Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti kundi kubwa la watu litahamia Arusha sasa

    Makonda ni mtu mwenye siha ya uongozi bila nongwa anajua kusimamia hasa katika kile anachokiamini kama kina maslahi kwa watu wake...hayumbishwi
  3. Mmanu

    TAHADHARI: Usichanganye pombe! Yaliyonikuta siyo poa

    Unaelewaje unapoambiwa pombe sio chai
  4. Mmanu

    Waziri wa Sanaa na Michezo aombe msamaha mashabiki wa Soka la Tanzania na Kutengua kauli yake kabla ya 29/03/2024

    Ila kumbuka hii pesa ya serikali haitolewi kwa wachezaji bali vinapewa vilabu vyetu.
  5. Mmanu

    Mabinti wanaomaliza vyuo na kurudi nyumbani wananyanyapaliwa sana na wazazi kuliko vijana wa kiume

    Hata kwa hao vijana wataenda kunyanyasika pia Ila suala la kutengwa na wazazi nadhini sio kwa wazazi wote na hili hata upande wa wahitimu wa kiume linatokea na case kama hizo Niko na vivid example ambapo nimeona vijana wakitengwa na wazazi wao mpaka kufikia hatua ya kuchukiwa kabisa. Ila...
  6. Mmanu

    Kuna mmama alikuwa ananiangalia sana hadi nikajishtukia, nilipomchunguza vizuri nikagundua ni class mate wangu

    Hata wewe alikuwa anakushangaa mbona umezeeka sana[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Mmanu

    Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

    Kuna jamaa yangu anazipiga zile kubwa za Mo extra mil 400 kama 6 hivi kwa siku
  8. Mmanu

    Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Hakuna mpango mzuri kama wa kuamua kulima asee unakuwa uhuru wa kujifanyia mambo yako kwa uhakika
  9. Mmanu

    Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Hapana mkuu tuko kwenye nafasi ya 3 miongoni mwa nchi zenye furaha duniani[emoji56][emoji56]
  10. Mmanu

    Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

    Kama ni binadamu unakula chakula na ukiwa na faya njema huwezi kushinda siku 3 bila kunyandua mzigo...any way... Ila hivyo vyoo vinakuchamba vyenyewe tu ukipresa yanakuja maji ya presha na kuondoka na mzigo wote uliogandia kwny vinyweleo
  11. Mmanu

    Akutwa na minyoo kwenye ubongo uliosababishwa na kula nguruwe

    Itakuwa ramadhani ya ushirombo huko[emoji38]
Back
Top Bottom