Search results

  1. Aljazera

    Pharmaceutical Technician mstaafu anahitajika

    Mbona uko mbali sana ndugu?
  2. Aljazera

    Pharmaceutical Technician mstaafu anahitajika

    Nafasi ipo, je wewe ni Mstaafu? Pia unapatikana katika Wilaya ipi kati ya hizo?
  3. Aljazera

    Mchanganuo wa Madiwani wilaya Mpya Dar

    Hawa watu wanajiona wameumbwa kutawala milele. Waliligawa Jiji la Mwanza na kuunda Manispaa ya Ilemela kwa uroho wa kupata Umeya.
  4. Aljazera

    Natafuta Chumba au sehemu ya kufungua Maabara Jijini Mwanza.

    Nashukuru Mkuu ila inaniwia vigumu ku edit kichwa cha thread, nimeenda kwenye sehemu ya kuedit inaniruhusu kuedit Ujumbe nilioandika. Mods naombeni msaada wenu kubadili hilo neno Maabara liwe Mgahawa.
  5. Aljazera

    Natafuta Chumba au sehemu ya kufungua Maabara Jijini Mwanza.

    Wakuu, heshima kwenu. Mimi ni mjasiriamali niko Mwanza mjini, Natafuta Chumba cha kupanga Jijini Mwanza kwa ajili ya kufungua Mgahawa wa kuuza chakula. Kwa ambae anaweza kunisaidia kupata Chumba au sehemu ya kufanyia biashara hiyo au mtu yeyote mwenye sehemu ya kufanyia biashara husika...
  6. Aljazera

    Stanslaus Mabula: Nyamagana msirudie kuchagua wakimbizi

    Mkuu hata hiyo Kampuni walimtapeli Mhindi wa kiwanda cha Samaki cha TFP yeye pamoja na Jack Masamaki. Kabla ya kutapeli hiyo Victoria Support alikua ni mpiga doria usiku kukagua malindo ya Knight Support.
  7. Aljazera

    Ulaya, marekani waingilia kati Zanzibar

    Mnapoenda kutembeza mabakuli kwenye Nchi zao je? Hapo ndio matatizo yenu yanakua yanawahusu? Pesa zenyewe za kufanyia Uchaguzi mpaka wawasaidie halafu mnajifanya vichwa ngumu.
  8. Aljazera

    Bunge laahirishwa ghafla, yadaiwa Serikali imekiuka taratibu za bunge

    Msiwe wapingaji wa hoja za msingi kwakua tu zimetolewa na wapinzani. Mbona Serikali imeiondoa hoja yake? Msiwe mtaleta ushabiki usio na maana kwa maendeleo ya Taifa letu, hii Nchi si mali ya CCM.
  9. Aljazera

    Kafulila azidi kulikaribia Bunge Dodoma, azidi kupeta mahakamani

    Mkuu nasikia Mabula aliambiwa aonyeshe nakala za matokeo yake akasema eti yameungua moto?
  10. Aljazera

    TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Kama issue ni watu wafanye kazi basi Vituo vyote vya TV Nchini viwe vinaanza kurusha matangazo yao jioni baada ya kazi.
  11. Aljazera

    TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    StarTv walikua wanarusha kupitia Mitambo yao ila wamekata baada ya mabishano kati ya Zitto na Chenge, Zitto akitaka mjadala wa kujadili hotuba ya Rais usitishwe wajadili ni kwanini TBC ikate matangazo ya moja kwa moja. Inaonekana wameamrishwa kukata hayo matangazo.
  12. Aljazera

    Mbowe Alipua Bomu la Siri ya Ushindi Wa CCM Zanzibar!. Waziri Mwinyi Alitegua!.

    Kumbe mnajua kabisa Kura za CUF zilizidi za CCM hivyo CUF walishinda Uchaguzi ila uroho wenu wa kung'ang'ania madaraka ndio unawasumbua?
  13. Aljazera

    Wadau: Kaa mbali na wasichana walioshiriki Miss Tanzania

    Mbona mtoto wa Mtemvu alishiriki?
  14. Aljazera

    Nahitaji ushauri: Namna ya kupiga plasta katika nyumba

    Ungetutajia hiyo product ya kulainisha Ukuta badala ya Gypsum Powder ungetusaidia wengi. Pia ututajie na madhara ya Gypsum Powder kwenye Ukuta,kwani ndio material inayotumiwa kwa sasa.
  15. Aljazera

    Ningependa kujua zaidi kuhusu biashara ya kusafirisha Mafuta na kumiliki vituo vya mafuta

    Kwanini usitoe nembo za jina lake ilihali umemlipa hela?
  16. Aljazera

    Je, Naweza kupata mkopo benki kwa dhamana ya hati ya kiwanja?

    Mkuu kwa uzoefu wangu pesa ya mkopo si ya kuanzishia biashara bali kuendeleza biashara au kukuza Mtaji.
  17. Aljazera

    Bei ya mafuta kwa wenzetu leo, lita 1 ni shilingi karibu Tsh 270-Tazama

    Sio kwamba kilihujumiwa makusudi kwa ajili ya maslahi ya watu wachache?
  18. Aljazera

    Bei ya mafuta kwa wenzetu leo, lita 1 ni shilingi karibu Tsh 270-Tazama

    Tunashindwa nini kua na kiwanda cha aina hiyo?
Back
Top Bottom