Search results

  1. Majestic wolf

    January Makamba anastahili kujiuzulu, anaowabebesha mzigo hawana kosa

    Kwa hili la umeme tulimvumilia alivyosema scheduled repair ila sasa imekua too much. Brother Makamba fanya kitu Cha kuonekana laasivyo ...you are loosing credibility Kwa waTZ wa kawaida huku
  2. Majestic wolf

    Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

    Based on those criteria Tanzania Assemblies of God might be a good fit. Nasema hivyo nikiwa muumini wa RC
  3. Majestic wolf

    Clone ipi ya Creed Aventus kali na unayoikubali?

    Club de Nuit intense ni kama Aventus. Only pros in fragrance might notice the difference
  4. Majestic wolf

    Maandamano yaendelea kushika kazi Afrika Kusini kufuatia kukamatwa kwa Jacob Zuma

    Labda una Nia nzuri ya kufikisha ujumbe fulani ila mfano uliotumia sidhani kama unafit. Wasouth wanashida nyingi sana na wakipata chance tu ya kuloot na kufanya vurugu, they take it. Haohao wanaoandama kwaajili ya Zuma ndio haohao kipindi yuko rais walilalamika anawazingua. Vurugu za South ni...
  5. Majestic wolf

    Ubaguzi umezidi, hamu ya kurudi nyumbani inanijia kwa kasi

    Nna jirani yangu kila tukipishana anapandisha barakoa mbili juu [emoji23][emoji23]. Na supermarket ukitoa noti kubwa lazima cashier aikague kama sio counterfeit
  6. Majestic wolf

    Nani anatoka Marekani kuja kutibiwa Tanzania?

    Labda ni awe au wawe Wamarekani ambao tayari walikuwepo Tanzania [kwa sababu yoyote ile] halafu wakapatwa na matatizo ya moyo ndo wakapelekwa hapo kupata matibabu. Hichi ndio sahihi. Kuna raia wakipatwa na shida wakiwa TZ, sio kwamba walifunga safari kutoka US kuja huko Ngumu kuamini….
  7. Majestic wolf

    China ndiyo nchi pekee duniani iliyofanikiwa kudhibiti gonjwa hili la COVID-19 kwa kiwango kikubwa, timu yetu ya Corona ifanye ziara China

    Israel nayo ni Kati ya nchi zilizodhibiti COVID kwa kiasi kikubwa. More than 70% ya population yao iko vaccinated enough to induce herd immunity. Maisha yamerudi kama kawaida, ruksa kutovaa mask sehemu za wazi.
  8. Majestic wolf

    Majuto ya P Funk Majani yanatufundisha nini Vijana ambao hatujaoa?

    Nimejifunza mengi mkuu asante. Kwa anaesoma hii thread halafu anajipa moyo kwamba huyo mwenza wake atabadilika, acha tu hayo mawazo. Kuna baadhi ya tabia ni kama ngozi
  9. Majestic wolf

    Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Ipo kijitonyama na ndo hio mzena. Inatibu sanasana watumishi wa idara
  10. Majestic wolf

    Uchaguzi 2020 Shinyanga, Umakini unahitajika

    Hii kasumba ni mbaya sana. Pia nadhani ni wakati nyie wenye asili ya "kitanganyika" kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi pia tafuteni hela kwanza ili msije kulalamika mnaonewa. Lala chief mda umekwenda kweli kweli
  11. Majestic wolf

    Polisi waagizwa kuwakamata wanaofunga ving’ora na vimulimuli kwenye magari

    Honi za fuso[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unapisha kumbe bodaboda na kiduku chake anapita
  12. Majestic wolf

    Ni maeneo gani kwa Morogoro mjini ni mazuri, tulivu na salama kwa kuishi?

    Kama wewe ni mtu mwenye Uwezo basi tafuta maeneo ya Forest huko. Kama wewe sio tajiri na wala sio maskini yaani uko middle income flan ivi bas tafuta mazimbu, bigwa, falkland, kihonda kilimanjaro, lukobe, area 5 etc Kama wewe ni wa kipato cha chini basi tafuta mwembesongo, mafisa, mji mpya...
  13. Majestic wolf

    Classic men dressing

    Chief uko poa. Ila mara nyingi inapendeza rangi ya mkanda ikaenda sambamba na rangi ya viatu.
  14. Majestic wolf

    COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

    Mkuu huo ndio uandishi wake wa siku zote. Halafu naona una kitu personal na The Bold maana tangu post zako za juu hapo unamuattack sana halafu sababu zako hazina mashiko, kama wewe ni msomaji wa makala zake kuunganisha matukio sio jambo geni (ingawaje siku hizi anatuburuza...
  15. Majestic wolf

    COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

    Nimekua msomaji wa makala za The Bold kwa mwaka wa 5 sasa. To be honest hapa kibongo bongo sijaona mwandishi kama The bold(au labda kwa sababu ya usomaji wangu duni wa kazi za watz). Ila brother habib siku hizi naona kama story zako zinakosa udambwiudambwi fulani ivi ulikuoepo enzi zile. Sio...
  16. Majestic wolf

    CCM tukutane hapa, kuna mambo mazito ya kujadili

    Ingawaje wewe unaweza kuwa sio mwanaCCM ila huo ndo ukweli. Tuweke siasa pembeni tuangalie hasa sisi mwelekeo wetu kama taifa ni upi katika hili. Ego ya mtu mmoja inatucost sana. Mawazo ya mtu mmoja hayawezi yakawa consensus yetu sote. Akisema kufanya hivi ni dawa basi wote humo akisema hivi...
  17. Majestic wolf

    Naomba kujua ubora wa elimu itolewayo Open University

    Mkuu jaribu kurejea. SUA ni cha pili
  18. Majestic wolf

    Twitter siku hizi imevamiwa na 'wapwa' na 'mabloo', imekuwa ya hovyo sijawahi kuona

    Mpwa what you see on your TL depends na umemfollow nani na yeye kamfollow nani. Fanya hivi nenda kaunfollow "wavuta bangi" wote halafu follow kina Trump na daily news. Hapo nyuma nilikua na fikra kama zako ila nikaja kugundua maisha haya ni mafupi sana. Since then I've been a firm believer of...
Back
Top Bottom