Wadau wa JF tuchangie maoni kuhusu wafanya biashara kuigomea TRA kuhusu matumizi ya EFD. Je na nini kifanyike tuuokoe uchumi wetu... Tunaomba maoni wanaJF.
How about using those assets (mashamba na nyumba) as collateral to access loans from bank.. Kama ni kujenga tu bila investment idea hio ni issue.. But sometimes unajenga nyumba as a trust to access loan from any bank.. As Tanzania bila collateral mkopo utausikia tu..
I appreciate this extreemly good speech; Nadhani tukiwa na wabunge wenye mawazo kama haya tutaifikisha mbali nchi yetu.. Tujifunze yanayoendelea kwenye nchi ya UK ambapo wabunge walim-question CEO and others management staffs of Barclays Bank kwa benki yao ku-misuse LIBOR. Hivi hapa kwetu...
Huyu jamaa kinachomtatiza ni shule; hana shule na anataka kutumia vijisenti vyake vya magendo ya mafuta na nyama kuwarubuni wananchi... Wamekushtukia.. hapo ndipo ninapowapendea Wanamusoma.... Ukiwa na malaria sio lazima utumie Chloroquine chungu siku hizi kuna dawa chungu tele... Wacha...
Watanzania naombeni tupambanue kwa undani kwa nini nchi yetu kupitia shirika letu la ndege ATCL halina ndege? Je ni huu ufisadi au wameshindwa na hata Precision Air, Rwanda, Mauritius, na nchi nyingine ndogo kwa kweli ni aibu; wangetangaza kuuza hata hisa zao kwa wananchi. Linasikitisha kwa...
Wakuu nililipandea hilo train liko fast sana; nikasema ni lini Tanzania tutakuwa na uwezo wa kuwa na angalao lile la kawaida la speed normal la kwenda hapo Kigoma. Tunahitaji mabadiliko, nayo yatapatikana bila rushwa (walivyo Wachina) na serikali thabiti yenye uchu wa maendeleo na sio kula good...
The NHC is good but what make it unattainable is after this talk, and boses having khaki envelopes as well as journalist have their khaki envelopes to decorate the story like the above one (Guardian), it is the end of story. Msechu we dont care how clean you are but if this is your plan you...
How to Increase Penis Size with
Penis Exercises
By Peter Davidoff
Article Word Count: 380 [View
Summary] Comments
(17)
Ancient records tell us that exercises were used as a means of penis
enlargement thousands of years ago. However, only recently serious medical
studies and...
Ukweli ni huu: wadada wengi wa kitz au kiafrika mkishasoma mnakuwa na maisha ya movie; unapoteza uafrika wako ambao ndio chimbuko la ndoa. Unakutana na demu siku ya kwanza ananyonya "barafu" na kumeza maziwa yake directly utamuoa huyo kweli? Haya ndio maisha ya movie! Pia unakuwa na...
Uchakachauaji wa Bajeti iliyowasilishwa bungeni na ile iliyopelekwa kwa wahisani, nani awajibishwe? Na kifanykike nini serikali iwache kuchakachua?:angry:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.