Search results

  1. Me too

    FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    mpira umeisha mshindi nani sasa
  2. Me too

    Wanawake hatari zaidi hapa Bongo

    mr champain ajiandae
  3. Me too

    Flaviana Matata yuko wapi kwa sasa na anafanya nini?

    usijiashue apo ulipo mtumwa tyr ukiskia baby kazime taa huyoo baru km umesahau chenchi kwa mangi alafu sa hii useme sio mtumwa.
  4. Me too

    Flaviana Matata yuko wapi kwa sasa na anafanya nini?

    s iufunguke sasa unatuacha na udende tu🙄🙄🙄
  5. Me too

    Flaviana Matata

    yes ni kama JAY DEE hii dunia ukiwa na misimamo ya kazi yako unachukiwa
  6. Me too

    Flaviana Matata yuko wapi kwa sasa na anafanya nini?

    nilimuulizia mkasema ni mimi najipost haya na huyo alieuliza ni flavia pia
  7. Me too

    Flaviana Matata

    yupo kazini km wewe kazi zako zinavokuruhusu kuvaa bwanga
  8. Me too

    Naomba video ya 'Napambana' ya Zuchu ifungiwe na BASATA

    kamuiga bosi wimbo wa yatapita zuwena si ndio ilikuwa hivo
  9. Me too

    Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

    anakaza shibgo sana... aniulize niliacha kazi kisa kamtaji kamenona siku nimeshaacha tu na kurudi kwenye kibarua changu mwezi mrefu mbona,,,,,,, aisee ilifika ndani ya biashara yangu nakaaa mpk unasinzia nzi ndo rafiki zangu,,, kurudi haiwezekani kuhama eneo haiwezekani hapo nilishalipia kodi...
  10. Me too

    Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

    sipo kwenye debate ni maisha yako na familia yako fanya
  11. Me too

    Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

    We jeurika na hako ka biznes utakuja kutamani kufuta koment humu. Hayo ni maisha yao na siri ya mafanikio katu akuna ataekuambia vyote zaid utaambiwa juujuu tu ili uzoleke km mzoga.
  12. Me too

    Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

    pesa konyo sana inatakaga mshindani sijui kwanini, mwenzetu ana mawili tu akifikisha matawi matatu si hata mama yake atamsahau anaitwa nani..
  13. Me too

    Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

    Kwa taarifa yako biashara yako imebebwa na nyota ya kazi yako, ukiiacha na biashara itayeyuka
  14. Me too

    Ushauri: Ameniacha anataka tuwe dada na kaka

    😂kwahyo diamond ameshaandika story yake ad jf?
Back
Top Bottom