Search results

  1. O

    Gadner Habash, Mtangazaji mahiri asiye na maadili

    Mkuu utakua umekurupuka. Huu uzi ni wa 2017 ila kwa kua umeona tu jina la marehem ukarukia kutoa lawama. Tujenge tabia ya kutafakari ama kutafiti japo kidogo kabla ya kusema.
  2. O

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man City kashaliamsha huko
  3. O

    Wataalamu wa Hesabu njooni "Kutafuta P"

    Pembe mbili za ndani, yaani 25 na p jumla yake ni pembe ya nje yaani 105. Kwa hiyo 25+p=105 (nadharia ya pembe tatu) p=105-25 p=80. Au unasemaje mtaalam wetu?
  4. O

    TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

    Utakua ulimaanisha familia ya mzee Mtaragala Chilangi wa pale Kamunyonge jirani na kikosi cha kutuliza ghasia (FFU). Enzi za uhai wa mzee Chilangi ukipita kwake unakuta vibao mlangoni kulingana na mahali alipo kwa wakati huo. Mfano wa vibao ni HAYUPO, AMELALA, KATOKA, YUPO, KAPUMZIKA, nk. RIP...
  5. O

    Ndugai kakomaa kisiasa, Jenerali kaonesha ushamba sana

    Ampelekee jobo labda atamteua kuwa mwenyekiti wa kamati mojawapo pale mjengoni.
  6. O

    FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup | Simba SC Vs Azam FC | 1- 0 Uwanja wa Maji Maji

    Simba tushamaliza kazi, wajiandae utopolo tuwararue rarue.
  7. O

    FT: Yanga vs Mwadui (3-2) | VPL | Benjamin Mkapa

    Mwadui wanapapasa ile mbaya
  8. O

    Polisi Tanzania Vs Simba SC (0-1) | VPL | CCM Kirumba

    Simba 1 - 0 Polisi Dakika ni ya 35 sasa
  9. O

    Polisi Tanzania Vs Simba SC (0-1) | VPL | CCM Kirumba

    Luis kama kawa kakiwasha
  10. O

    Angalizo: Rais Samia kuwa makini na unayoyaacha leo, CHADEMA watayatumia kuibuka kisiasa

    Ulipotea sana dada au majukumu ya unaibu waziri yalikuzidia? Hata hivyo unapambana na nakukubali kwa kulamba miguu ili upate mkate wako wa kila siku.
  11. O

    2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Safi sana na bado kama bao 4 zinasubiriwa kufikisha wiki. Yule bwimbwili aliyejitapa mbele ya bwanake ana maoni yoyote mpaka sasa?
  12. O

    2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Wanabodi hivi makondoo fc washapigwa vingapi hadi sasa?
  13. O

    Nassari na Lissu wamekuja na mbinu mpya ya kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano

    Mkuu unaona kwa jicho la tatu. Haka kamwanamke siku hizi majukumu yake pamoja na yule wa hakuna ndoa bila cheti yanatekelezwa na mawowowo huku wao wakiwa hawana lakufanya. Fafafa ni bora kuliko hata wasomi, aibu.
  14. O

    Kwa jinsi RC Makonda anavyotukanwa sasa na Wakenya huko Mitandaoni Kwao nashauri Siasa isiingizwe Michezoni

    Umetumia microscope gani kung'amua hilo mkuu maana huo utaalamu natamani ningekua nao ili niwe nawatambua watu flani wenye "vitambulisho" zaidi ya kimoja?
  15. O

    Karibu kundini mwana mpotevu ila umekatwa mkia

    Majukumu ya kutawala mkoa si mchezo. Halafu limetuchafulia taifa stars likaifanya matako fc hadi wananchi tukaiombea ipigwe tu na kweli ikapigwa maana hakukua na namna.
  16. O

    RC Hapi na mwendo wa Iringa mpya unavomuweka katika safu za viongozi bora nchini

    Mi namshauri aje hapa kwa jina lake halisi ajitangaze kabisa anausaka ubunge 2020 kuliko kujificha na id ambayo ilishafunuliwa toka akiwa kinondoni akiraruana na bosi wake DAB.
Back
Top Bottom