Search results

  1. S

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Sawa wa hayo yote umetoa wapi si ufikiri wako ni vitabu vya hadithi na sayansi uka summarize ukaja na hoja sasa basi vitabu vya wanasayansi na vya manabii vipi bora sisi tunaoamini tunaona bora vya manabii wewe ambae huamini fata vitabu vya wanasayansi
  2. S

    Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

    Kuna waislam wanafanya mema kila siku na kuna wanaofanya mema mpaka mwezi wa ramadhani na hii ni ruka ya binaadam kuzongwa na ibilisi na sio sifa ya muislam ni kujisahau kwa mwanadamu hyo wala sio hoja labda ubishani saw saw na papa kuruhusu ndoa za jinsia moja kwani ni wakristo wote mnapenda...
  3. S

    Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

    Katika aviator sio kila muda wa kuingia kuna tinlme entry na time exist Kuna stable market na unstable market unatakiwa ufahamu hapa kwanza utakuwa umejifunza kitu kitakusaidia nina mbinu nying sana key code mapigo ya aviator namba yangu nmeweka mwenyekunitafuta ndoa njia ya kukimbia umasikini
  4. S

    Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

    Tatizo unaingia kichwa kichwa kubet aviator unaformula yke Kuna namna ya kutafuta purple 🟣 na pink 🩷 huu formula inakupa ujuzi wa kujua pink inakuja dk ngap na sekunde ngap na purple hivyohivyo wazungu kila wanavyuoni kitu huwa inaformula zake kama unavyoona forex kama ulihitaji kujifunza...
  5. S

    Mchele wa msaada ugawiwe mashuleni kama ilivyodhamiriwa!

    Acha kukariri kama ulikuwa unafanyiwa ubaya nyuma ndoa usifanyiwe sasa wazungu sio watu wa kuamini ata kidogo hao wanaenda na mabadiliko ya kisayansi na technologia mfano huu wanataka kupunguza population duniani kutokana na madai ya rasilimali ni chache kuliko population zidi siku zinavyokwenda...
  6. S

    Dada aliyesababisha Jay Z kupewa kichapo na Solange ajitokeza

    Hivi nilisikia uvumi Jay z analiwa kiboga na p Diddy huu uvumi ni wakweli
  7. S

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Luton lazima apambane kapoteza michezo mingi we si umeona bomchum kapindua kwa Bayern hakuna mechi rahisi wazee
  8. S

    Je, Mungu aliumba ulimwengu akiwa wapi?

    Waandishi kama hawa nawashangaa wanawaamini wanasayansi wa kizungu kuliko Mungu yani vitabu vya wanasayansi mnaviamini kuliko vitabu vya mungu
  9. S

    Je, ni kweli kuwa ulimwengu huu ni kifungo cha nafsi?

    Wewe hayo umeyapatia wapi nyinyi ndo mnaanini vitabu vya maprofessa je hao nd wamekuumba wewe walikuwepo kipind Cha Adam na Hawa ujielewi acha kucopy na kupaste mungu akosei ss misingi yetu hpo katika dini na dini hyo nd umetupa upendo na ustaarabu sisi wenyewe nd tunafanya mzaa lkn bila dini we...
  10. S

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Kwhyo ww unawawmini hao wwwnasayans wako wanaokuandikia vitabu kusoma na kupaste ya mungu uyaamini unasmini ya mzungu akiri fup San na hao wanaokusupport wewe usiamini ss tunaamini endelea kuamini wachawi na wazungu
  11. S

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wabisaka hiv mnamchukuliaje tatizo mashabik wengine mnafatilia mpira ukubwani pia sancho ni sio mchezaj mbovu mfumo tunaocheza n mbovu sancho anataka tucheze kucheza atujui ebu review Dortmund muangaliechyo kiumbe Anthony kwasbbu tumetoa 100 ndo mnaogopa pale tumepigwa
  12. S

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tumecheza na timu zaifu dalot atuache ni element ya maguire
  13. S

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ten hag anazalau san katik sub zake adhajiona genius san hii inagharimu timu na huyu dogo malacia sijui tulivyoenda halftime kocha akumpa maelekezo anapenda kukaa na mali saan ule mpira alitakiwa aucheze mapema tu ila alitaka auchukue na kuuchezea dogo anazingua san. Sub ilikuw moja tu ya sancho...
  14. S

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    We mbona hupo ka shoga
  15. S

    Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Muislam ni mtu mnyenyekevu ambayae atafuata amri za mungu na kama utofata utaratibu wa aliopanga allah bas utakuwa muislam jina wala si muislam
  16. S

    Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

    Pointless ujui unachozungumza kam mzung asingewepo kusingekuwa na maginjwa ya ajabu wao ndo wanafanya uharibu mkubwa dudi shule kasome. Huu ndo ukoloni mambo leo ataki kutumia silaha za kutuuangamiza kwasbbu anajua nd vita ya dunia ya 3 uharibu utakuwa mkubwa na hizo technology azazitumia...
  17. S

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mkifungwa tena na barce muje kwa brother wenu man u atawatetea
  18. S

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Jifunze kuandike wewe ovyo
  19. S

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    lukaku s aliyeonekana bora alikuja akashindwa tukalalama akaondoka na athony itakuwa hvo hvo kocha kumnunua mchezaj sio tatzo na haimainish wwrghost nae kaletwa na kocha huyo huyo mnaembeza tatzo ni mapenz mnaendekeza. athony ni kiungo mshambuliaj anayetoka pemben kaz yke kuu ni kushambulia...
Back
Top Bottom