Search results

  1. A

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Watu sjui hawafikilii.mtu alishindwa uwazli, urais atauwezajeeee?
  2. A

    Sarafu za shilingi mia tano bado zipo?

    Hakuna kitu kinachonike kama kutumia noti mbili na nizaaina moja. Mf/ 10000,1000,5000 tz tnatumia aina mbli. 10000 mbli,5000 mbli. Loh
  3. A

    Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

    Kwa ushauli bora ukimbilie Burundi.
  4. A

    Mchango wako wa mawazo

    Kwakuwa kuuza mwili ni biashara haramu, je kunanjia mbadala ya kuwasiidia dada zetu wanojihusisha na hii biashara. Msemo wao: 1. Ajila hakuna. 2. Hali ya maisha ni ngumu.
  5. A

    Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

    Hata kama. Hiv ulishawahi kukaa somalia hata leave mda wa siku 7?
  6. A

    Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

    Wee weeee.. umzima kweli wewe
  7. A

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mb ongezeni. Hamuona wenzenu dk 15 mb 125 kwa sh 500 tu.
  8. A

    Tufanye nini kuwasaidia wanaojiuza?

    Kwakuwa dada zetu wanauza mwili kwa madai ya kwamba ajira hakuna na maisha ni magumu, na hiki kitu serikali ya Tanzania inakipiga vita. Je! Kuna njia mbadala ya kuwasaidia hawa madada ili wasiendelee na biashara hii!?
Back
Top Bottom