Search results

  1. T

    Maambukizi ya VVU Jiji la Tanga yanatisha

    Ni jambo la kawaida kwa mwanamke jijini tanga kukusalimia na kuanza nastori kuwa kwa sasa mume aliya naya ni wa ...tatu...na,,,. Waganga wako bizii kuwathibitishia wanazo dawa za kuvuta wanawake na wanaume..matangazo yao ni mengi kuliko tahadhari ya hiv ooh. Wageni wamekuta ulimbo na umewanasa...
  2. T

    Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

    Mungu ni mwenye uweza wote. Furaha yake ishukie watu sasa
  3. T

    Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

    Batilda sasa niwakati wa kuchukua hatau inayofuata ambayo ni KUSAUN U MATOKEO ya kura
  4. T

    Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

    Wana JF,Uovu u umekithiri. Nguvu kubwa ya kushinda sasa ni kutumia silaha zitokanzo na Mungu Muumba wetu. Atatupa akili na uwezo pia ataangamiza kila nama ya uovu na fikra zenye nia mbaya kinyume na KURA ZILIZOPIGWA. TUWE MACHO WOTE
  5. T

    Elections 2010 Vyama vya upinzani matawi ya CCM ni hivi hapa!

    Hili linatoa fursa ya kuchagua kiongozi kwenye chama chenye msimamo wa kweli. Mpiga kura yeyote kwa tarehe 31 Oktoba fursa nzuri ni hii, CHAGUA CHAMA CHENYE UWAZI NA MSIMAMO ULIO IMARA. Mimi tayari ninao uamuzi, Wewe je?????????
  6. T

    Elections 2010 Mama Salma Kikwete alalamikia kuonyeshwa alama ya CHADEMA

    OK. Mwanadamu akikosa ufahamau na kutambua mwanadamu mwenzie ana utashi na maamuzi yake tofauti na ya kwake hupata taabu. Mungu awasaidie viongozi kama yeye kuwa na HEKIMA ya Kimungu katika maamuzi yake.Teru
Back
Top Bottom