Search results

  1. mmiy

    Mgeni!

    Unaweza kuelewana na nyoka kweli na akatoka bila ya kuumizana?
  2. mmiy

    Wachumba watatu.

    Oa mmbea baba,mwanamke umbea kusutwa sunna ati.
  3. mmiy

    Je,ni halali kumtuhumu mwenzio mwanzo wa safari?

    Hapo huyo jamaa hajakosea kujihami ila kosa ni vile ujumbe ulivyofikishwa uko too direct.
  4. mmiy

    Nani anayekuvutia kwa post zake katika jukwaa hili?

    Mi nafurahishwa zaidi na post zako,wakati mwingine zinachekesha wakati mwingine zinavutia na kuniudhi vilevile.
  5. mmiy

    We Mganyizi hebu acha mambo yako

    Bibie laiti ungebahatika kumuona Paka Mweusi wala usingemdhania hayo...
  6. mmiy

    We Mganyizi hebu acha mambo yako

    Huyo bwana ni huyuhuyu tunayemjua au mwingine
  7. mmiy

    Sikiliza wimbo huu kudumisha penzi lako.

    Kweli old is gold,wimbo ni wa zamani lakini message haichuji,thanks nyau for good message.
  8. mmiy

    Life without stress.

    Na wanaonekana wana furaha kwelikweli.
  9. mmiy

    Hapatoshi !!!

    Huo mchezo ikifika halftime itakuwaje maana timu si huwa zinabadilishana upande.
  10. mmiy

    My beauty of the day.

    Beautiful girls indeed.
  11. mmiy

    Africa's First Ladies...nani Zaidi?

    Mbona wa malawi simuoni jamani?
  12. mmiy

    Kivazi cha wanyakyusa.

    Walikuwa wanapendeza kwa wakati wao.
  13. mmiy

    Hapa ni Kanyigo au Mbinga

    Nimeipata hii kwa mmoja wa watani zangu wangoni anauliza hapa ni kanyigo(bukoba)au mbinga(songea)
  14. mmiy

    Elections 2010 Updates kutoka Royola every 10 minutes

    Mkuu unanitisha hao kina marando watamtoaje tena mtu bungeni isijekuwa kwa ndumba,lakini kama kwa sheria hapo hata mimi nitasupport.
  15. mmiy

    Poor Dar..

    Paka mweusi wewe ni mwalimu?
  16. mmiy

    Wakata wao wanapokuja kutuomba kura.........!!!!!!!!!

    Akija wa hivyo kwetu tunampiga mawe hata aibu hana.!!!!
  17. mmiy

    Maisha bora kwa mtanzania.

    Jamani hicho kibibi hakijala siku ngapi?
  18. mmiy

    Mrembo anawakaribisha Amarula

    sasa analibeba la nini hilo jembe kama hana kazi nalo.
  19. mmiy

    How to make a woman happy.

    Mungu samehe hii mtu.
  20. mmiy

    Elections 2010 Kama unaitakia mema Tanzania usimchague Mh Slaa

    Nikichangia nitapewa life ban na mods,ila tu mtoa mada akumbuke siasa za majitaka hazina nafasi katika Tanzania ya leo.
Back
Top Bottom