Search results

  1. mandawa

    Dstv yaondoa channel ya Emmanule Tv ya TB Joshua

    😁😁 Mmekuwa kama wakatoriki na tamko la papa Fransis😀😀😀... Furahini tu mmejua what is behind the screen... Haiwezekani watu wote wale washuhudie mabaya yake kusiwe na hata moja la kweli... Na wengi wa azidi kujitokeza kusema yasioratibiwa na BBC... Kama huyu hapa aliekuwa mhariri wa habari wake👇...
  2. mandawa

    Unahoji uhalali wa BBC kuhusu tuhuma za TB Joshua ila unashindwa kuhoji uhalali wa Gwajima Kufufua Mfu!

    Kuna dawa huwa wanaowafanyia... I naitwa do as I say, wenyewe hunuiza kwamba waumini wao wafanye kama wao watakavyo, wengi huwawekea ktk maji yao ya upako, mafuta na wengine siku ya kwanza wakifika ktk hilo kanisa hupewa Chai hata kama mchana wakishakunywa basi akili zao zote wa akua wametekwa...
  3. mandawa

    Sadaka ya kweli ni ipi?

    Hizi tabia za wema wa Kimungu umekwisha kama sio kupungua. Na ndio maana maisha na ma Alaa yanatupata, tumekuwa wabinfsi Sana.
  4. mandawa

    Nimezama kwa mtumishi wa Mungu

    Nenda tu Mkazi sisi BBC tuko nyuma tukirekodi matukio kama tuliofanya kwa TB Joshua ili watu na waumini wake wajue kuwa baba yao wa kiroho ni fedhuli, mchungaji bandia na fanya biashara ya injili. Ila ujue utatumika Kisha utemwe kama wengine... Na usije kulia Lia hapa!
  5. mandawa

    Baba levo atabiri ajali ya ndege 2024

    Huenda ndege au pigo la bosi wake🤔
  6. mandawa

    Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

    Muongo na mzushi wewe, picha tu inaonyesha ji photoshop, huna huruma kwa bongo mwenzio loh... Ubaya huyu na hao hamas unaowwalinda mtaenda nao motoni... Hii damu ya Joshua iwe juu yako na wote wanaoshabikia uzushi kama huu...!
  7. mandawa

    BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    Utukufu kwa Mungu Mkuu, huu ni wakati wa kuwa fungua macho wote waliochukuliwa mateka na shetani kupitia wahubiri Feki, TD jakes na wenzake wote watazidi kuwekwa uchi mbele ya waamini....na watu wa Mungu atarudi ktk madhabahu takatifu sasa.... Halleluyaaah😍😍😍🙏 https://bit.ly/BBCAfricaEye
  8. mandawa

    Maoni yangu kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi , TAMISEMI isihusike na lolote kuhusu uchaguzi

    Anajua Sana ndio maana hawatakubari Mkakati wowote wa kurudisha nyuma makada wa kuiba kura.. Ila wajiandae maana mkao wananchi waliokaa ni kupiga chini yeyote wa kijani😁
  9. mandawa

    Wanaume wenzangu huwa mnarudi nyumbani saa ngapi?

    Sina uhakika kama naelewa muda wa kutosha wa kulala mtoto, kutokana na umri watoto wa natakiwa walale si chini ya Masaa nane, na pia mtoto akizoeshwa kuamka mapema ni afya kwake... Sasa we unataka mtoto avumilie starehe zako kwa kukosa usingiz I? Kwanini usiende nyumbani kwanza ndio ukutane na...
  10. mandawa

    Kikristo ni dhambi gani unakuwa umeitenda ukiamua kuwa na wake wawili au zaidi

    Uchawi, wivu, fitina ndio mahali pake, wake wawili siku zote wanapiga a kwa ajili ya Mume mmoja, na ktk kufanya hivo nguvu nyingi hutumia ikiwepo uchawi. Ikumbukwe kuwa tangu mwanzo Mungu aliumba mwamme na mwanamke... Ki-ration ni 1:1. Soma Mathayo 19:3-6. Wanaooa zaidi ni ubinafsi wao na...
  11. mandawa

    Je, upo tayari kufa kwa maumivu au kutumia chombo hichi kiitwacho Suicide Pod ( Sarco pod)?

    Shetani kazini... Si tunataka watu wa ishi mda mrefu yeye anataka kukatisha fasta... Ushindwe kabisaaa... Acha tumishi tuyafanye ma kusudi ya Mungu hapa duniani!
  12. mandawa

    Maharage Chande atabakia kuwa ndiye mkurugenzi bora zaidi kuwahi kutokea TANESCO

    Sasa nimeelewa fitina imetokea pale pale pale.. 🤔🤔 Kama mameneja alipewa allowance badala ya kubebwa na Dereva... Kwetu siebtunaopenda mtaani wajue Mi meneja tanesco siwezi kufurahi kamweeee... Mama embu fanya utaratibu kijana arudi Tanesco bana!!
  13. mandawa

    Avunjika mguu akicheza kwenye mvua uchi usiku.

    Wacha tu wampige mweleka, si alijifanya wenzao kumbe ni chawa tu... Akome asijaribu fani kama Hana ujuzi😁😁
  14. mandawa

    Hivi watu mna-handle vipi hii situation

    Inategemea na wewe unataka nini na unathamini nini(values) zako kimaisha. Nacho jua ukiwa na uhalisia bila kuhofia watu utakua huru, ila la msingi wa kwanza ni kuweka mipaka itayolinda maadili yako, kama hupendi mtu akuzoee kiwango cha kujibebisha, basi weka mipaka hiyo wajue huyu jamaa yuko...
  15. mandawa

    Polisi aliyekodi majambazi kumuua mumewe akamatwa, hawara ni miongoni mwa wahusika

    Huyu wakirudi mtaani hachomi maindi tu, anaingia ktk ujambazai wa kuua kabisa!!
  16. mandawa

    Mpe ushauri huyu kijana ili aufanyie kazi

    Kwa kuwa bado anampenda, na vile anamtoto wake basi kwa maslahi ya upendo wake na malezi bora ya mtoto basi Mi nashauri ana warudiane. Ila lazima arudi kanisani Tena kufunga ndoa... 😁
  17. mandawa

    Pambanua ndoto, maono na ulimwengu wa roho

    Umeeleweka vema, mim nafuatilia ndoto Sana, ila andiko hili limenipa maarifa zaidi, Mungu wa mbinguni akutunze ktk mwaka mpya na tuzidi kulishwa na wewe! 👌👌🙏
  18. mandawa

    Wachungaji wa Kilokole hamuoni hili?

    Umesema vema mtumishi, watu siku hizi hawaendi kusali Bali kuitika numba kama shule siku za nyuma, aonekane yuko bila kujali amepokea nini ktk ibada... Mim binafsi baada ya kugundua system nzima imeharibika, yaani sifa, kuabudu na mahubiri... Nimeona ili kuleta mabadiliko... Ni kuingia ktk...
  19. mandawa

    Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

    Usisahau huku ndo kule anafundisha familia ni aina tatu, baba na mama na mtoto, baba na mtoto, mama na mtoto, baba na baba, na mama na mama... Alafu useme ushoga hauruhusiwiii hapo? 😁😁😁
Back
Top Bottom